Kikwete alivyovutia wawekezaji Italia, kupigia debe mapinduzi ya kilimo Afrika

malisak

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2006
Messages
477
Points
500

malisak

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2006
477 500
Hongera kikwete!!!!!!!! ila asilewe sifa akatulaghai kwa maneno matamu kisha atusweke njia panda maana wa TZ tumeshapinda kwani maneno y aviongozi ni asali ila matendo ni shubiri. Na maneno yao hunoga zaidi kipindi cha kukaribia uchaguzi, wasipozingatia wajibu na kufikia malengo tutazidi kua kichwa cha mwendawazimu. Kwani tunaelewa kuongea ni kipaji basi na isiwe tija wa kutfanya wajinga kupitiliza.
 

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Points
0

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 0
Mkuu Kitila,

Heshima mbele, kuomba tulianza toka enzi za Mwalimu, ni jadi yetu, sasa iweje leo iwe dhambi kwa sababu ni Muungwana?

Afrika ni nchi moja tu ambayo haiombi nayo ni South Afrika, wengine wote ni Mungu nisaidie! Wewe hujui kuwa hela za ruzuku za vyama vya siasa ni za kuomba toka Scandnavians?

Hela za helikopta zilitoka wapi kwenye uchaguzi wa rais uliopita? maana kama ni ruzuku basi ni zile zile za kuomba mkuu! Ni lazima tuendelee na misaada huku tukijitahidi kujaribu kusimama!
 

Kitila Mkumbo

Verified Member
Joined
Feb 25, 2006
Messages
3,348
Points
1,250

Kitila Mkumbo

Verified Member
Joined Feb 25, 2006
3,348 1,250
Mkuu Kitila,

Heshima mbele, kuomba tulianza toka enzi za Mwalimu, ni jadi yetu, sasa iweje leo iwe dhambi kwa sababu ni Muungwana?

Afrika ni nchi moja tu ambayo haiombi nayo ni South Afrika, wengine wote ni Mungu nisaidie! Wewe hujui kuwa hela za ruzuku za vyama vya siasa ni za kuomba toka Scandnavians?

Hela za helikopta zilitoka wapi kwenye uchaguzi wa rais uliopita? maana kama ni ruzuku basi ni zile zile za kuomba mkuu! Ni lazima tuendelee na misaada huku tukijitahidi kujaribu kusimama!

FMES:

i) Zipo nchi nyingi za Afrika zaidi ya RSA ambazo haziombi na zinapinga hatua kubwa kuliko sisi. Nakutajia mbili kwa harakaharaka: 1) Kenya 95% ya bajeti yao inatokana na vyanzo vya mapato vya ndani. 2% wanayoomba wameweka kwenye miscleneous. Botswana ni 2% ya bajeti yao wanapewa na wazungu. Nchi zote hizi zimepiga hatua kubwa kiuchumi kuliko sisi tunaoependwa sana na wazungu. Kwa vyovyote vile, nchi zingine kuwa ombaomba hazihalalishi sisi pia kuwa hivyo.

ii) Hela za helicopter za CHADEMA hatukupewa na wazungu. Tulichangisha sisi wenyewe wanachama na viongozi kwa kadri ya uwezo wa kila mwanachama. CHADEMA tunaiendesha wenyewe na ndio maana katika matatizo tuliyo nayo ugomvi wa fedha sio mojawapo.

iii) Kwa mujibu wa sheria za kuendesha siasa katika nchi yetu, hela za kuendesha vyama hazipaswi kutolewa nje ya nchi. Kwa hivyo ruzuku inatoka katika bajeti yetu ya ndani. Labda kama ulikuwa unaongelea ruzuku ya ziada kwa CCM. Katika uchaguzi wa 2005, pamoja na Mkapa kupenda sana hela za wazungu, alikataa msaada wa wazungu lilipokuja swala la fedha za uchaguzi. Of course, alifanya vile kwa lengo la kukwepa influence ya wazungu ili wasiingilie wizi wa kura, lakini angalau aliweza kuendesha uchaguzi kwa pesa zetu.

iv) Katika mambo yaliyonisikitisha sana Muungwana alipoongea na watz pale London mwaka jana ni pale aliposema eti yeye siku hizi anaitwa na wakubwa akina Bush na Blair "good boy" na alionekana kufurahia sana hilo. Akaenda mbali akasema eti hawa wakubwa wakishakukuita wewe good boy, ujue mambo yako ni safi!Nilishika tamaa, nikapigwa na butwaa. Ajabu ni kwamba idadi kubwa ya watanzania wenzangu tuliokuwa nao pale walimshangilia sana Rais wetu! Ndio hapo huwa wakati mwingine huwa ninakukubalia na wewe pale unaposema kuwa "viongozi wetu ni reflection yetu sisi wananchi". Nikifika hapo basi ninamsamehe bure JK kwa udhaifu wake wa kiuongozi.
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,846
Points
2,000

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,846 2,000
Je tunaweza kujitegemea kwa kiasi gani katika bajeti yetu kama:

a. Tutaongeza vyamzo vya mapato ya ndani
b. Tutadhibiti matumizi ya fedha zetu na kuhakikisha kila shilingi inatumika kama ilivyopangwa? Sasa hivi asilimia 20 ya fedha za manunuzi ya serikali zinaishia kwenye corruption. That is a lot of money!

Tukifanya mambo hayo mawili tu, tutapunguza utegemezi wa bajeti kwa kiasi gani?
 

Ngombo_Biro

Member
Joined
Jul 12, 2007
Messages
15
Points
0

Ngombo_Biro

Member
Joined Jul 12, 2007
15 0
KAMANDA fmes jK ANAJITAHIDI KUFANYA KWELI NA KUJIBU KIU YETU,TATIZO ULIONALO HUMU NDILO LILILOPO HATA KWA BAADHI YA WAKUBWA HUKO,;MUNGU AMPE NGUVU IPO SIKU TUTAFIKA MAHALA PAZURI,KEEP IT UP JK
 

Mwanamalundi

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Messages
3,129
Points
1,500

Mwanamalundi

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2007
3,129 1,500
Mkuu Kitila,

Heshima mbele, kuomba tulianza toka enzi za Mwalimu, ni jadi yetu, sasa iweje leo iwe dhambi kwa sababu ni Muungwana?
Mkuu ES, kuomba misaada toka enzi ya mwalimu is not a justification ya kuendelea kuomba mpaka leo. Viongozi wa tanzania wanapaswa kuiangalia hii issue ya kuomba misaada kwa kutumia lenzi mpya.

Kitila

Kama Jakaya alisema london kuwa wakubwa wanamuita siku hizi "good boy" basi ajue ni kinyume chake. Ukiona bush amekusifia inabidi ujiulize mara kumi kama hizo sifa ni za kweli.
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,846
Points
2,000

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,846 2,000
The Citizen (Dar es Salaam)

8 November 2007
Posted to the web 8 November 2007

Damas Kanyabwoya


The launching of general budget support in 2001 was in retrospect a milestone in efforts by the government and other stakeholders at making donor funding to Tanzania serve the interests of the country and thus produce the desired results.

Its main positive factor was its alignment to the national budget, an aspect that was expected to reduce donor conditionality and transaction costs. The donor money would have finally been used to fund Tanzanian budget priorities.


Whether the general budget support funding mode removed harsh donor funding conditionality making the money almost unusable remained an area of concern in the media and in government circles.

This was specifically so following the remarks by the British High Commissioner Philip Parham at the debut of the GBS meeting last week that the donors had prepared and circulated to the Ministry of Finance in September a matrix of donor conditionality on budget support.

He said the matrix "summarizes the conditions of each development partner for the provision of future budget support. Our decisions and actions will be with these conditions. We want to avoid surprise, and to base decisions on regular, close dialogue with the government, at both Ministerial and official levels."

He said development partners will take all these things into consideration as they decide their budget support funding commitments for 2007/08. When cornered by the media and some government technocrats, Mr Parham said the conditions were nothing new and definitely were not the harsh traditional conditionality that the GBS has tried to avoid. The conditions are just to ensure monitoring and efficient use their money, "to avoid surprises."

After all donors have a right to see their money well spent, and also not all conditions are bad conditions.

But what was of much concern to donors was how the government can become self-sufficient in budget funding in the near future. It was as if donors were becoming increasingly tired of funding the government budget.

"We expect the government to be able to fund its budget entirely in three years to come," said David Stanton, the head of DFID in Tanzania.

Donors were highly concerned that despite abundant natural resources that the country has, revenue collection mechanisms were very weak and as a result the government was getting peanuts, and relying instead on foreign aid for budget funding. In forestry for example, donors said, only 27 per cent of all potential revenue was being collected.

The recent 'Discussion Paper on Forestry'by the Tanzania Development Partners Group estimated that revenue from forestry alone, if the sector was adequately and sustainably exploited, would be able to fund the current budget annually. Currently the revenues from forestry account for less than one per cent of the budget funding.

Mr Parham said categorically that Tanzania must be fully aware and face the main budget challenges ahead. He said the $5 billion annual budget was still very small for a country of almost 40 million people, comparing the malnutrition situation in Tanzania to be equivalent to post-conflict countries of Angola and Liberia.

He said Tanzania is now rowing in calm waters and should use this chance to ensure it benefits and become self sufficient in funding its public expenditure.

"This (GBS) review comes at a time of huge opportunity for Tanzania, arising from a happy confluence of positive factors. Tanzania must grasp that opportunity by attracting the necessary aid flows and using them effectively, and by quickly improving the environment for investment," he said.

He mention the factors as a strong foundation of stability, harmony and constitutional development, good macroeconomics, increasingly vigorous democracy and accountability, enormous economic potential, particularly in agriculture, tourism and minerals, considerable international goodwill and global liquidity.

It was hard to tell whether budget self-sufficiency in the near future was part of government's main concerns in the GBS review meeting. Most of government presentations dwelt in technicality of the government budgetary process.

But what was absolute clear was that there was no timetable set by the government to graduate from aid. There was scarce talk from the government of setting a timeframe for budget self-sufficiency.
 

Mfwatiliaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
1,325
Points
0

Mfwatiliaji

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
1,325 0
Hili swala la kilimo ni gumu sana.Hayo yote tuliyoelezwa hapo juu kwenye makala ni kama danganya toto tu.Mfano mtu kama Kohler kule kwao ujerumani siku hizi mkulima akiacha shamba lake bila kulima analipwa ruzuku kwamba amelinda mazingira kwani wameona mechanization inachosha ardhi.Suala la soko la mazao labda angelenga target directly.Hawa FAO si lolote, ni jina kubwa tuu,lakini hawana meno wala nguvu yoyote.Ni kama PCCB yetu hapa.Angewashawishi WTO labda ingesaidia kidogo.Kikubwa angeenda kutafuta soko kwa nchi kama China ambao wana negative balance kwenye grains kutokana na idadi yao na kukua haraka kwa uchumi kulikosababisha na ufugaji kuongezeka,vivyo hivyo consumption ya grain kuwa kubwa.Hii sijui FAO et al yote ni mashirika ya ulaji tuu,hawana ubavu wa kutukwamua.
 

Mfwatiliaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
1,325
Points
0

Mfwatiliaji

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
1,325 0
Hivyo opportunity nzuri ilikuwa ni ule mkutano wa WTO.Nina shaka muungwana hakuutumia ipasavyo kwani kipindi hicho ndiyo kashfa ya ufisadi BoT ilikuwa imepamba moto.Mimi binafsi sikumsikia kabisa labda wanaJF mnikosoe kwa kumsingizia. Hivyo huo mkutano wa Dar ulikuwa muhimu 100x ukilinganisha na huo wa FAO.
 

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Points
0

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 0
.Warehouse Receipts System Seen Successful By Our Local Farmers!

Many local farmers are happy with the new Warehouse Receipts System because it guaranteed them fair payment for their crops. Under the new system, farmers take crops to Warehouses belong ing to their primary co-operative societies where they are paid 60 per cent of the value crop and get the balance later after the sale of produce.

The new system has so far proved to be a success to Coffee growers in Kilimanjaro, Mbeya, Ruvuma and Kigoma. It also worked well to cotton farmers in Manyara and Shinyanga. And the farmers like this system because they are not exploited anymore as what used to be the case in the past.

The government has also introduced the system to farmers of other crops including maize and rice in Morogoro, Mbeya, Manyara and Kilimanajaro regions. Plans are underway to introduce the system to all agricultural crops and the government has decided to implement the system to cashew nut farmers in Mtwara Region effective this season 2007/08.
 

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Points
0

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 0
Now this ndio tunaita good news ambazo zinafanyika kila siku ya Mungu kwa wananchi wetu, ambazo zinathibitisha nia na baadhi ya ahadi zilizotolewa na rais wetu wakati wa kampeni za uchaguzi.

Rais aliahidi mambo mengi, ambayo ndio maana sasa hivi ni haki yetu wananchi kum-question pale tunapoona kuwa kuna some lack of seriousness kutoka kwake, kwa mfano ishu za rushwa na mikataba mibovu ya madini, hata cc nayo pia imemkumbusha rais kuwa eneo hilo linahitaji some attention na rais kwa unyenyekevu mkubwa amekubali kuyaangalia zaidi masuala hayo, lakini wananchi bado pia tunamwambia kuwa aliyokwisha yafanya so far hayatoshi, na maneno yake pia hayatoshi, ujumbe umefika na rais wmenyewe kwenye hotuba nyingi za kribuni amekubali hilo la kuupata ujumbe wa wananchi.

Suala la umatonya, hatuwezi kulirekebisha kama collectivelly as a nation and society, hatuwezi kuliangalia kwanza lilikoanzia, maana ni bin-adam juha tu ndiye anayeweza kuangalia mbele tu anakokwenda bila ya kuangalia nyuma alikotoka kwanza. tukaweza kujua ni kwa nini lilianzishwa anyways? Ukweli ni kwamba lilianzishwa kutokana na the fact kwamba wazungu ambao wamekuwa watawala wetu kwa muda mrefu toka hatujawa huru, na hata sasa baada ya kuwa huru kwa njia za ujanja,

sisi hatukuwa na maendeleo kwa standard za wazungu, kwa hiyo hatukujua value ya any of all the natural resources tulizokuwa nazo, ni wazungu tu waliokuja kututawala ndio waliokuwa wanajua kwa hiyo wakachukua sana na kutengeneza big profits ambazo waliishia kuzi-invest in USA to this day, sasa out of guilty wazungu wakaamua kuwa watakuwa wakitupatia na sisi angalau chochote, out of almost 15 Billion US Dollars kwa hesabu ya mwaka 2001, ambazo wao wamekuwa wakipata toka Afrika, kila mwaka tena tax free!

The matter of fact to this day bado kuna a very valid argument among our African's leaders, kwamba hiii misaada tunayopewa na hawa wazungu kama kweli ni misaada au wanaturudishia hela zetu tu "wanazotuibia". Kwa hiyo la msaada rais wetu amelirithi na hatuwezi kutegemea alitatue in two years ishu ambayo tumeishi nayo for the last 42 years, Wananchi mara nyingi kwa kupitia kura za uchaguzi mbali mbali, wamekuwa wakisisitiza kuwa hii kwao sio ishu so far, kwa mfano uchaguzi wa Tunduru, na majuzi juzi udiwani kwamba la upinzani na misaada sio namba one ishu kwao,

Sasa hivi kwa kuzisoma kura kuanzia za udiwani, mpaka za NEC ni kwamba wananchi wanataka ishu ya rushwa na mikataba mibovu ya madini itatuliwe kwanza, hayo mengine baadaye na rais amekubali kwa hotuba zake mwenyewe za hivi karibuni, sasa mimi kama mwananchi mwenye uwezo kidogo wa kuelewa ishus, ninahitaji kumpa rais wangu nafasi ya kupumua na hizi ishus ili aweze kuzitatua with a permanent solution na sio temporary one ya baadhi yetu ya kutaka kuona tu viongozi wa juu wakifukuzwa au kukosa kazi, wakuu nchi haiongozwi namna hiyo kwa kumkaba rais tu kila kukicha bila hata ya kumpa nafasi ya kuyatafakari yaliyoko usoni kwake,

Kwa kweli kama uchaguzi wa majuzi Dodoma, sio enough kuonyesha nia njema ya rais wetu, kwa hili taifa basi sidhani kama kuna siku atakuja fanya jema kwa wenzetu wa upande wa pili ambao siku zote huangalia ishus za taifa letu kwa makengeza, wananchi tumpe nfasi rais apumue kidogo huku alijaribu kutimiza aliyoaahidi na pia kuyafanyia kazi yale yanayoshauriwa na wale ambao wananchi automatically wamewapa hiyo kazi, yaani upinzani, lakini sio sasa kazi waliyopewa ni kukaripia serikali na rais tu kila kukicha, hapana maaana hata kule Egypr na Jangwani, wana wa-Israeli walipozidisha kumshambulia mtume Musa kila kukicha Mungu aliwaadhibu kwa kuwazungusha mahali hapo hapoi 40 years, tuwe waangalifu kidogo tusije na sisi tukawa tunazungushwa kutokana na hizi kelele zsizokwisha wala kupumzika kama za wenzetu walipokuwa na Musa kule Jangwani!

Haya wakuu tuendelee kukata ishus kiroho mbaya mpaka kieleweke hapa hakuna kulala! Kumkoma nyani mpaka giladi tena mchana waziiiiii!

Ahsanteni Wakuu Mungu Aibariki Tanzania!
 

Mkandara

Verified Member
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,472
Points
1,250

Mkandara

Verified Member
Joined Mar 3, 2006
15,472 1,250
Field Mrshall Es,
hapa uncle naipa tanoi serikali kwani nakumbuka swala hili tumelizungumzia kama miaka miwili/ mitatu ilopita na nilipendekeza sana kuwepo kwa mfumo kama huu. Lakini kidogo ningependa kueleweshwa zaidi kuhusu hizi Primary Cooperative Society zinazo zungumziwa hapa isije kuwa wamiliki wake haswa ni Walanguzi fulani badala ya kumilikiwa na wakulima wenyewe wakisaidiwa na Wataalam wa serikali ktk kuhakikisha quality, soko na kadhalika. Maanake Bongo kwa kamba mjomba naogopa hata kuamini mengi...Stunt zinapigwa mbele ya macho yetu na kila kinachotangazwa mara nyingi sivyo kinavyoendeshwa..
Isije kuwa tu watu fulani wamefikiria hili wakavumbua hizi Co-ops kisha wakawatoza wakulima gharama za kujiunga na kisha wao watauza nje kwa faida kubwa wakimwacha mkulima mwanachama bila picha ya kile kinachoendelea ktk soko la zao hilo.
 

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,601
Points
2,000

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,601 2,000
Siungi mkono umatonya kwa sababu zozote. Kwani taifa haliwezi kuwa huru, huku likitegemea msaada kujiendesha.

Ukiona kiongozi anajisifia kuongezewa misaada, ujue huyo ana matatizo ya msingi katika fikra zake. Anafurahia kutawaliwa.

Nilisema haya kabla: Kama bajeti ya mwaka huu inategemea wahisani asilimia 40, basi mwakani walau ipungue kwa asilimia 3 au 4. Hivyo hivyo kwa miaka inayofuata. Wala haihitaji elimu ya mwezini kufanya haya. Nia yenyewe haipo.

Mkuu FMES
Nakukubali katika mengi. Ila hili la umatonya...mmhhh! Hilo suala la historia sidhani kama ni sababu kubwa. Mimi muelekeo wangu ni kupunguza utegemezi...hatimaye kujijengea heshima ya taifa linalojitegemea.
 

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
2,940
Points
1,500

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
2,940 1,500
..kama taifa linaomba misaada kila kukicha,je?linaweza kukataa likiombwa?ndio rasilimali zake!

..je?linaweza kusema kwamba watoa misaada wasiingilie mambo yake ya ndani?ndio mabalozi wasiliseme!

..je?linaweza kujipangia mipango ya kweli ya kimaendeleo?ndio ikiwa ni pamoja na kudai kodi zaidi kwenye madini!

..je?kwa kuwa hivi,hili taifa liko huru?
 

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Points
0

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 0
[B].Tanzania's Business confidence continues to grow! [/B]

"It is worth noting that the number of commercial banks has grown to 28 banks present leading to a very vibrant and profitable banking sector"

Tanzania business confidence has continued to grow, a latest report on a study covering several firms in east Africa shows. Improved business confidence has been a key factor in attracting more foreign direct investment (FDI) due to the country's good and reliable economic policies.

The country has improved its confidence by gaining 4 points in a year, from 63 from 59 by last December.
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,854
Points
1,250

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,854 1,250
Mimi nasema kama ni mvuto basi rais anao sana .Kuanzia sura na maneno . Dodoma wamefanya kiini macho na wadanganyika wameamini kwamba kweli kuna changes on the way . Mimi nasema ndiyo imetoka na watabaki kulialia kwamba wapewe muda kama kawaida. Mvuto wa sura na maneno matamu hayana maana kwangu ila vitendo vyenye mwelekeo wa kulikwamua Taifa hili .

Es una habari kwamba kuna mzungu mmoja kashiriki kutengeneza mpango wa utekelezaji wa miaka 5 ya CCM akiwa Ulaya na kuipeleka Dar? Nimeona hili kwa mamcho yangu .Hata mipango hii inafanywa Ulaya na huku wanasema hakuna wa kuwaambia cha kufanya .Nasema ni uongo nimeona kwa macho yangu mwenyewe na ukibisha nitataja hata jina la mzungu na nafasi yake .

Nakataa usanii
 

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
2,940
Points
1,500

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
2,940 1,500
Tanzania's Business confidence continues to grow!

"It is worth noting that the number of commercial banks has grown to 28 banks present leading to a very vibrant and profitable banking sector"

Tanzania business confidence has continued to grow, a latest report on a study covering several firms in east Africa shows. Improved business confidence has been a key factor in attracting more foreign direct investment (FDI) due to the country's good and reliable economic policies.

The country has improved its confidence by gaining 4 points in a year, from 63 from 59 by last December.
..fmes,

..hizi data hazisaidii kama hali na maisha ya wananchi ni choka mbaya!

..infact hazisaidii kwasababu hamna maendeleo yeyote ya maana katika uchumi wetu!

..nikuulize,hivi hizo benki ishirini na upuuzi zimewasaidia kiasi gani watanzania zaidi ya kuwanyonya kile kidogo walichonacho?sheria inahitajika[ambayo nasikia iko jikoni]kurekebisha ukopaji toka benki!.

..halafu,hizo fdi nyingi zimeenda katika uwekezaji unaopeleka faida nje,je?faida ikienda nje sisi tunafaidika nayo vipi?unafikiri jo'burg ilijengwa na nini?jamaa wangekuwa wanapeleka hela nje,isingejengeka!

..sasa,tuendelee kucheza ngoma za watu za kwetu tuziache zijae unyevu,tuone kama mwisho wa siku zitapigika na kutoa mdundo!
 

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Messages
4,818
Points
1,225

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined May 4, 2006
4,818 1,225
[B].Tanzania's Business confidence continues to grow! [/B]

"It is worth noting that the number of commercial banks has grown to 28 banks present leading to a very vibrant and profitable banking sector"

Tanzania business confidence has continued to grow, a latest report on a study covering several firms in east Africa shows. Improved business confidence has been a key factor in attracting more foreign direct investment (FDI) due to the country's good and reliable economic policies.

The country has improved its confidence by gaining 4 points in a year, from 63 from 59 by last December.
FMES,

Tatizo ni kwamba mara nyingi hizi habari nzuri haziendani na reality kule wilayani. Pamoja na bank nyingi zote bado kupata mkopo kwa ajili ya mradi wa maendeleo TZ ni kazi ngumu kweli kweli. Ukitaka ushahidi juu ya hili mimi nitakutumia kwenye PM.

Pia kuhusu hiyo system mpya ya malipo, naona itakuwa nzuri sana. Tatizo ni je wakati wanatangaza, wameona kweli inafanya kazi?

Katika baadhi ya mikoa waliyoitaja ndiko ninakotoka mimi na mpaka leo hii, mazao yananunuliwa na Mohamed Enterprise na Wahindi wengine kwa bei ya kinyonyaji mno.

Sera nyingi za Muungwana nzuri, ila utekelezaji wake ni mbovu mno. Wanakimbilia kwenye publicity kuliko kuangalia kama kweli kuna mafanikio.
 

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,601
Points
2,000

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,601 2,000
There is a new scramble for Africa. On one side there is China, establishing herself firmly in many african countries. The West is also coming back with full force.

Ukitaka kumpata malaya kwa bei poa...anza kwa kumsifia kwanza.
 

Forum statistics

Threads 1,379,068
Members 525,301
Posts 33,733,918
Top