KIKAO cha SIRI cha WIZI wa KURA Kalenga

Practically hiyo njia haiwezekani hata kidogo. Yericko Nyerere acha uzushi na umbea mtoto wa kiume.
 
Last edited by a moderator:
Yericko haya unayosema unataka kweli tuyaamini? Kila kituo kina idadi ya wapiga kura kwa mujibu wa daftari la kudumu. Je hizo kura za ziada zitahesabika vipi? Vinginevyo wawe pia na orodha ya watu watakaoshindwa kutokea kupiga kura!

Mkuu hawa kwao balance ya idadi ya wapiga kura huwa siyo issue, issue kura zimezidi kuliko za CDM halafu anaamrishwa msimamizi kutangaza matokeo - finish!
 
Hadithi ya kitoto eti wataiba kwa ustadi mkubwa, kwa hiyo hii haina uhusiano na kuboresha daftari la wapiga kura, mbona mapema mnaanza kuondoa milingoti ya magoli hata mpira bado.
 
mkuu.,. eti mpiga ripu yericko ndio inteligensia ya chadema. hiki chama ni cha mataahira kweli

njaa inamsumbua ndio maana akalia kushinda ufipa hana hela nauli ya kurudi kigamboni anafanya kuchangiwa.....

Jamaa anauza sana utu wake kwa tamaa za pesa na umaarufu ambazo hawezi kuja kuzipata
 
Wakuu hakuna siri chini ya jua!!!!

(Sitataja wapi kilikalika na nani walihudhiria, bali nitamwaga mikakati tu iliyoadhimiwa)


Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao maalumu cha ccm leo jioni kinachotafuta ushindi wa hila Kalenga, imenasa mtiririko wa mikakati hii hapa chini,

1. Karatasi za kupigia kura ambazo zimewasili jana na leo kule Kalenga zimetengwa maalumu kwaajili ya kupewa wajumbe wa nyumba kumi na wanaccm waaminifu kila mmoja karatasi (tupu) kuanzia 10-100,

2. Jumapili wajumbe hao watakwenda kupiga kura huku wakiwa na karatasi hizi mifukoni mwao, wakifika watakabidhiwa vitendea kazi vya kupigia kura kama kawaida, wakifika kwenye chumba maalumu cha kupigia kura, watazitoa sasa zile karatasi na kuzipigia zote upande wa ccm na kuzikunja kwaustadi mkubwa sana kisha kuja kuzitumbukiza kwenye sanduku la kura,

Hapo kila mtu wao atakuwa na uhakika wakupiga kura kumi na kuendelea,

Katika kikao hiki wanajisifu kuwa mbinu hiyo imewaokoa sana kwenye chaguzi za madiwani wiki chache zilizopita,


PENDEKEZO LANGU,

Chadema ihakikishe inawaambia mawakala wao wahakikishe wanakuwa jirani kabisa na sanduku la kupigia kura, na kila anaetumbukiza kura waangalie kwa umakini kama kakunja karatasi mbili au moja?

Ama ikiwezekana kila mpiga kura akaguliwe kwa uangalifu kabla ya kuruhusiwa kwenda kupiga kura.
This is too good to be true!, ila pia kwenye siasa, ukiishazisoma dalili za nyakati kuhusu upepo unavumia upande gani, kutengeneza a good scapegoat pia ni justified dirty politics on the the dirty game!.
Pasco
 
Inaonekana hujawahi kupiga kura wala hujui mazingira ya kupigia kura yanafananaje! haiwezekani mtu kuingia na karatasi kutoka nje ya chumba cha kupigia kura na akazitumia na bado zikawa kura halali, otherwise labda pawe hakuna waangalizi, mawakala etc

Kwa ccm inawezekana. Wanachofanya huwa onakua kama wanapiga kura za wale ambao hawakujitokeza. Cdm muwe makina hatua kwa hatua cheki kadi mpiga kurA kama ni yake namba inaendana na iliyo daftarini waksti wa kutumbukiza iwekwe kura moja tu. Kabla ya kuhesabu idadi ya vitini viendane na idadi ya kura ndani ya box.
 
Te te teh!
Chadema raha sana.. tangu nimefuatilia na kushiriki siasa za Bongo sijawahi ona mpango wa akili toka kwa maCCM.. Kweli hata Mungu ameshawalaani.. kila hila inabuma!
 
This is too good to be true!, ila pia kwenye siasa, ukiishazisoma dalili za nyakati kuhusu upepo unavumia upande gani, kutengeneza a good scapegoat pia ni justified dirty politics on the the dirty game!.
Pasco

Tutawadhibiti kwa nguvu zote kabisa
 
Acha umbea! Kwanza unaongea vi2 ukiwa huna evidence.
Usiwe unapost vi2 ambavyo huna full evidence navyo.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Haaa!!!
Kumbe yanajisifu chopa3 kata3 halafu yalifanya udanganyifu, daaah!!! haya majamaa ni noma.
 
Tutawadhibiti kwa nguvu zote kabisa

Naanza kuunganisha dot!!!!

wajua ni kwa nini maccm hununua shahada za kupigia kura?

================JIBU==============
Ili wakatengeneze mahesabu yao ya wizi!!!!!!!

this time karatasi ya kura iliyopigwa itahakikiwa kwenye kitini (kikonyo) cha kitabu ilikochaniwa, zitakazo hang hang zitatupwa.
 
Wakala wa CDM afanye haya yafuatayo pia:
1. Baada ya kuhakikisha kuwa sanduku la kura lipo tupu na limefungwa seal, ahakikishe anarekodi namba ya seal
2. Wakala ahakikishe kitabu cha leaflets zina makaratasi 50, na anaandika namba ya kitabu walichoanza kuitumia, yaani leaflet ya kwanza hadi ya mwisho, inayofuaya vile vile.
3. Kabla ya kuhesabu kura wakala wa chadema ahakikishe ana idadi ya karatasi za kura zilizotumika, baada ya hapo sanduku lifunguliwe kuhakikisha idadi ya kura zilizopo kwenye sanduku ni sawa na kura zilizopigwa. Akiona idadi ni tofauti na kura zilizopigwa basi waanze kuhakiko namba ya karatasi ya kura kuanzia moja hadi nyingine ili kubaini kura zilizozidi.
hii imekaa vizuri kamanda
 


njaa inamsumbua ndio maana akalia kushinda ufipa hana hela nauli ya kurudi kigamboni anafanya kuchangiwa.....

Jamaa anauza sana utu wake kwa tamaa za pesa na umaarufu ambazo hawezi kuja kuzipata

msukule mwenzake ben saanane chadema wameshamnjichia baharini baada ya kumtumia kumchafua zito. ben saanane kashashtuka chadema hawamuhitaji tena. yericko anajitahidi sana kujipendekeza kwa wenye chama lema na mbowe bila mafanikio. mnyalu na wachaga wapi na wapi
 
Back
Top Bottom