KIKAO cha SIRI cha WIZI wa KURA Kalenga

Wakuu hakuna siri chini ya jua!!!!

(Sitataja wapi kilikalika na nani walihudhiria, bali nitamwaga mikakati tu iliyoadhimiwa)

Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao maalumu cha ccm leo jioni kinachotafuta ushindi wa hila Kalenga, imenasa mtiririko wa mikakati hii hapa chini,

1. Karatasi za kupigia kura ambazo zimewasili jana na leo kule Kalenga zimetengwa maalumu kwaajili ya kupewa wajumbe wa nyumba kumi na wanaccm waaminifu kila mmoja karatasi (tupu) kuanzia 10-100,

2. Jumapili wajumbe hao watakwenda kupiga kura huku wakiwa na karatasi hizi mifukoni mwao, wakifika watakabidhiwa vitendea kazi vya kupigia kura kama kawaida, wakifika kwenye chumba maalumu cha kupigia kura, watazitoa sasa zile karatasi na kuzipigia zote upande wa ccm na kuzikunja kwaustadi mkubwa sana kisha kuja kuzitumbukiza kwenye sanduku la kura,

Hapo kila mtu wao atakuwa na uhakika wakupiga kura kumi na kuendelea,

Katika kikao hiki wanajisifu kuwa mbinu hiyo imewaokoa sana kwenye chaguzi za madiwani wiki chache zilizopita,

NB

Tume ya uchaguzi mpaka leo hii haijui idadi halisi ya wapiga kura Kalenga, Lubuva ameanza mawenge anasema tayari wanalo daftari la wapiga kura la 2014 hivyo litatumika hilo badala ya lile la 2005/2010 linalotambuliwa na uuma wote, hebu jiulize ni lini yalifanyika maboresho ya daftari hilo kwa mwaka huu wa 2014?

PENDEKEZO LANGU,

Chadema ihakikishe inawaambia mawakala wao wahakikishe wanakuwa jirani kabisa na sanduku la kupigia kura, na kila anaetumbukiza kura waangalie kwa umakini kama kakunja karatasi mbili au moja?

Ama ikiwezekana kila mpiga kura akaguliwe kwa uangalifu kabla ya kuruhusiwa kwenda kupiga kura.

Chapeni kazi Yericko acheni kuomba sympathy hapa kijinga...kila siku oooh tunachezewa faulo, kila siku oooh tunaibiwa...hizi singo tushazichoka bana, toeni albam mpya yenye mashiko. Mbona mnaanza kutukatisha tamaa na Chadema yetu!? ka mmeshindwa kazi kubalini tu make pembeni nasi tuje kujaribu...bla bla blaaah kila siku!
 
Mkuu karibu sana, chadema haijaweka uzio, kila mwanachadema ni mpiganaji
 
Wakuu mliokofront line hapo Kalenga,

Tafadhali naomba mfanye semina walau ya masaa kadhaa kwa mawakala wote watakaohusika j'mapili. Wafundishwe kila aina ya mbinu ya CCM na jinsi ya kuzikabili. Hii ni muhimu unaweza kuwa na wakala lakini asiyejua baadhi ya mbinu za hawa jamaa.

Mwisho nimesikia kwenye TV daftari la wapiga kura Kalenga lina majina 600 hayajulikani yalikotoka.....!
 
Kwa kuwa huwa kuna mchezo wa kununua shahada za kupigia kura, mawakala wa CHADEMA mhakikishe mnacheki picha na sura zawapiga kura wanapowasilisha vitambulisho vyao, muhimu sana pia, kama mtu anapiga kura kutumia kitambulisho cha mwingine mleteni kwetu si tutakuwa mita 100 tunalinda tutamfundisha asirudie tabia hiyo hata 2015!
 
Hili ni fundisho LAZIMA TUPAMBANE kupata tume huru ya uchaguzi na maboresho ya daftari la wapiga kura vinginevyo tunapoteza muda wetu bure
 
This is too good to be true!, ila pia kwenye siasa, ukiishazisoma dalili za nyakati kuhusu upepo unavumia upande gani, kutengeneza a good scapegoat pia ni justified dirty politics on the the dirty game!.
Pasco

Pasco do you thing this is possible? Idadi ya wapiga kura kila kata inafahamika na sanduku lina kuwa Mbele ya mawakala wote labda kama wana uhakika kuna vituo mawakala wote watakuwa CCM. Lakini hata hivyo kuna haja gani ya kujadili uzushi, kuna uthibitisho gani kuwa huu si uzushi tu!
 
Hiyo ni mbinu mojawapo ya ushindi. Hawa watu inabidi wathibitiwe. Lakini pia CDM ihakikishe inaweka mawakala wazalendo na wasio kuwa na njaa kwenye vituo vya kupigia kura. Najua pesa uwa inatembea ili kupindisha matokeo kwenye vituo.

Wekeni watu wasiokuwa na njaa ambao hawawezi kurubuniwa kiurahisi kwa kupewa laki mbili.

Tiba
 
Hadithi zimeshaanza...

BAVICHA kwa uongo wanamzidi shetani..

Kalenga CDM haiwezi kushinda hata kwa dawa.. naona babu ameshaanza kutuma vilamba kucha wake waje wasafishe upepo baada kugundua wanakwenda kushindwa huko kalenga..

Poleni sana mtasingizia mengi lakini hii ndiyo ishara ya mwisho wenu kwenye siasa za Tanzania..

bye bye CDM rest in hell...

Utatangulia wewe binafsi kwani cdm ni taasisi, naona hujui ulichokiandika hapo.
 
Wakuu hakuna siri chini ya jua!!!!

(Sitataja wapi kilikalika na nani walihudhiria, bali nitamwaga mikakati tu iliyoadhimiwa)

Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao maalumu cha ccm leo jioni kinachotafuta ushindi wa hila Kalenga, imenasa mtiririko wa mikakati hii hapa chini,

1. Karatasi za kupigia kura ambazo zimewasili jana na leo kule Kalenga zimetengwa maalumu kwaajili ya kupewa wajumbe wa nyumba kumi na wanaccm waaminifu kila mmoja karatasi (tupu) kuanzia 10-100,

2. Jumapili wajumbe hao watakwenda kupiga kura huku wakiwa na karatasi hizi mifukoni mwao, wakifika watakabidhiwa vitendea kazi vya kupigia kura kama kawaida, wakifika kwenye chumba maalumu cha kupigia kura, watazitoa sasa zile karatasi na kuzipigia zote upande wa ccm na kuzikunja kwaustadi mkubwa sana kisha kuja kuzitumbukiza kwenye sanduku la kura,

Hapo kila mtu wao atakuwa na uhakika wakupiga kura kumi na kuendelea,

Katika kikao hiki wanajisifu kuwa mbinu hiyo imewaokoa sana kwenye chaguzi za madiwani wiki chache zilizopita,

NB

Tume ya uchaguzi mpaka leo hii haijui idadi halisi ya wapiga kura Kalenga, Lubuva ameanza mawenge anasema tayari wanalo daftari la wapiga kura la 2014 hivyo litatumika hilo badala ya lile la 2005/2010 linalotambuliwa na uuma wote, hebu jiulize ni lini yalifanyika maboresho ya daftari hilo kwa mwaka huu wa 2014?

PENDEKEZO LANGU,

Chadema ihakikishe inawaambia mawakala wao wahakikishe wanakuwa jirani kabisa na sanduku la kupigia kura, na kila anaetumbukiza kura waangalie kwa umakini kama kakunja karatasi mbili au moja?

Ama ikiwezekana kila mpiga kura akaguliwe kwa uangalifu kabla ya kuruhusiwa kwenda kupiga kura.
huu uongo mazuzu na maboya wenzio tu ndio watauamini.........chumba cha kupigia kura kunakuwa na daftari la wapiga kura mtu unaenda unaonyesha kitambulisho chako msimamizi anakicheki anatafuta jina lako kwenye daftari la wapiga kura then analinganisha picha ya kwenye kitambulisho cha kura, sura yako na picha iliyopo kwenye hilo daftari kama vinalandana anatiki jina lako mawakala wa vyama wakishuhudia(ili usije kurudia kupiga kura,na alama ya kidole unachovya wino ili tu usirudi) then anakuruhusu kuendelea na procedures nyingine.......mwisho wa zoezi zima wanahesabu tiki zilizopo kwenye daftari la wapiga kura idadi yake unakuwa ndio muongozo wa kura zinazotakiwa kuwepo, kama kuna tiki kwenye majina 50 kwenye(daftari la wapiga kura) hicho kituo basi ni lazima jumla ya kura iwe 50.Nimewahi kusimamia hiyo issue nzima ya kura vituoni, so umakini wa mawakala ni kwenye kuhakikisha hizo details zilandane na ni yule tu mwenye vigezo ndio apige kura....hizo nyingine porojo. we kwenye daftari kuna tiki 50 then jumla ya kura zote inakuwa 100 hiyo inaingia akilini kweli???????hata mjinga hawezi kuiba kwa staili hiyo.
 
Babu,
Kilichomponza Mkapa ni tamaa. Ukisoma makala alizoandika Philip Ochieng, ambaye alifanya naye kazi inakuwa wazi kuwa tamaa ilimzidi alipoingia Ikulu. Nasikia yeye mwenyewe alikuwa akichukua 30% ya kila deal na alisikika akiwaambia marafiki zake kule NY baada ya kustaafu kuwa he is well taken care of financially.

Taasisi haifi, wanakufa watumishi
 
chapeni kazi yericko acheni kuomba sympathy hapa kijinga...kila siku oooh tunachezewa faulo, kila siku oooh tunaibiwa...hizi singo tushazichoka bana, toeni albam mpya yenye mashiko. Mbona mnaanza kutukatisha tamaa na chadema yetu!? Ka mmeshindwa kazi kubalini tu make pembeni nasi tuje kujaribu...bla bla blaaah kila siku!

hata huku muheza tulikamata mchezo huo mwaka jana kwenye kampeni wakahaha kwa woga ndio maana yakashinda kwa kura 9 magamba
 
Chaguzi zinapoendeshwa namna hii inakuwa ni upumbavu kabisa kwa nchi. Kwa nini tupoteze muda na uchaguzi iwapo serikali iliyopo madarakani ina mamlaka ya kuamua nani ashinde uchaguzi huo?
 
Mkuu. Recipient hayo ndo maneno, kama kuna kamanda wa CDM yuko macho, ujumbe USAMBAZWE KWA MAWAKALA WOOTE, ZOEZI LIFANYIWE KAZI!!
HATA BUNGE LA KATIBA JUZI KURA ZILIZIDI!!
MACCM BARAA KWA WIZII!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Yeriko Tafadhari weka MAWAKALA makini kila kituo, haya MaCCM ni wezi saana, bunge la katiba juzi kura zilizidi!!
Msiwaamini kabisa, karatasi ya kura ikaguliwe!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Liverpool usishangae huyu kadandia ID sio Ruta ninayemjua!!
Ila pamoja na kutokwa povu, wamekamatwa, vijana wawe makini tuu!!
 
Maboso kama hujui MaCCM kule Dodoma kura ZILIZIDI wapigaji zikarudiwa!!
Kama wabunge wao wanafanya hivyo itakuwa mabarozi nyumba kumi??
MaCCM wanaiba kila kitu hata twiga zetu!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom