KIKAO cha SIRI cha WIZI wa KURA Kalenga

KIKAO cha SIRI cha WIZI wa KURA Kalenga

Yericko haya unayosema unataka kweli tuyaamini? Kila kituo kina idadi ya wapiga kura kwa mujibu wa daftari la kudumu. Je hizo kura za ziada zitahesabika vipi? Vinginevyo wawe pia na orodha ya watu watakaoshindwa kutokea kupiga kura!

Tume ya uchaguzi mpaka leo hii haijui idadi halisi ya wapiga kura Kalenga, Lubuva ameanza mawenge anasema tayari wanalo daftari la wapiga kura la 2014, hebu jiulize ni lini yalifanyika maboresho ya daftari hilo???
 
Hivi wewe ,yerico huo uongo unalipwa na nani

Wewe unaoongoza kw fitna na uzushii hapa jf
 
Hahahahahhahahahah chadema mumeshaanza kutafuta sababu hahahahahh:sly::sly::sly:
Mpo dorooooooo wananchi wamewatupa haahhaahbaba

Kwa kilaza kama wewe ni ngumu kuelewa taarifa makini ka kiintelijensia za Chadema....

Tulia tuwaumbue kweupeee...
 
Uongo mwingine uko mbali sana na ukweli, ni mwendawazimu tu ndio anaweza kuamini hii hekaya ya CHADEMA.
 
mbona ni rahisi kinachotakiwa ni kujua wapiga kura waliojiandikisha na wapiga kura waliojitokeza siku husika kama kura zitakuwa nyingi kuliko idadi ya wapiga kura itabidi wajieleze kura zaidi zimetoka wake lakini muhimu mawakala kuwa makini

Hatuitaji kufika huko kote, maccm hawajari chochote hapo, wakifanikiwa tu kupenyeza huo mpago wao ni kutangaza tu mshindi yaliyobakia ni mahakamni. Cha kufanya ni kuthibiti tu huo wizi kwa njia zozote.
 
Kwa kilaza kama wewe ni ngumu kuelewa taarifa makini ka kiintelijensia za Chadema....

Tulia tuwaumbue kweupeee...

Inaonekana hujawahi kupiga kura wala hujui mazingira ya kupigia kura yanafananaje! haiwezekani mtu kuingia na karatasi kutoka nje ya chumba cha kupigia kura na akazitumia na bado zikawa kura halali, otherwise labda pawe hakuna waangalizi, mawakala etc
 
Hivi wewe ,yerico huo uongo unalipwa na nani

Wewe unaoongoza kw fitna na uzushii hapa jf

Vilaza na mnaofikiria kwa kutumia makalio badala ya ubongo ni ngumu kuelewa tunaposema taarifa za Kiintelijensia...

Ni vyema ukijijua wewe ni kilaza kukaa kimya na kuangalia uzi unavyokwenda..........Sasa naomba kuchukua nafasi hii kukumbusha kuwa wewe ni kilaza hivyo funga bakuli lako...

Tunazidi waumbua...
 
Hatuitaji kufika huko kote, maccm hawajari chochote hapo, wakifanikiwa tu kupenyeza huo mpago wao ni kutangaza ti mshindi yaliyobakia ni mahakamni. Cha kufanya kuthibiti tu huo wizi kwa njia zozote.

umenena vyema mkuu,hapa ni kuhakikisha hazipenyi.CCM hawana aibu,
 
Hapa Moshi mjini siri ya uwizi wa CCM imejulikana singu nyingi tangu 2010 wakaambulia kata 3 kati ya kata 21;

Makada toka Moshi watumiwe katika kuwathibiti uwizi wa kura.
 
Uongo mwingine uko mbali sana na ukweli, ni mwendawazimu tu ndio anaweza kuamini hii hekaya ya CHADEMA.

Naona ni kama ume-panic baada ya jipu kupasuliwa......

Tupo makini sana....Cheza na kila kitu ila usicheze na Intelijensia makini ya Chadema....Ni shidaaaaaaa!!!!
 
Walifanya hivyo Kata ya Themi Arusha, lakini mbinu zikagonga mwamba! shaame on them!
 
Back
Top Bottom