KIKAO cha SIRI cha WIZI wa KURA Kalenga

KIKAO cha SIRI cha WIZI wa KURA Kalenga

propaganda hii ya kitoto ndo inamfanya babu aendelee kuwakamata nyie majuha

Hivi mbumbumbu unajua tofauti kati ya Propaganda na taarifa ya Kiintelijensia...?

Tulia dawa iingie...Tutawaumbua mpaka mshangae..
 
Inaonekana hujawahi kupiga kura wala hujui mazingira ya kupigia kura yanafananaje! haiwezekani mtu kuingia na karatasi kutoka nje ya chumba cha kupigia kura na akazitumia na bado zikawa kura halali, otherwise labda pawe hakuna waangalizi, mawakala etc

CCM walishawahi kutumia mathemosi kuwekea kura. Chezea CCM wewe
 
Godbless Lema na Mawazo wanatosha kuwathibiti hao wezi wa kura.
 
Naona ni kama ume-panic baada ya jipu kupasuliwa......

Tupo makini sana....Cheza na kila kitu ila usicheze na Intelijensia makini ya Chadema....Ni shidaaaaaaa!!!!

Hahaaa umenivunja mbavu mkuu,
 
Kwakweli Chadema mnapenda kutafuta huruma sana.

Hadi sasa mmeonesha kushindwa kwa kishindo.

Chadema ni watunzi wazuri wa uongo kupiitia Yericko Nyerere.

Msisahau mmetumia chopa mbili na mtaambulia aibu.




er.
 
Last edited by a moderator:
Kha ha ha ha ha haaaaaa! Hawa majinga maccm nimeshasemaga mbinu zao zote tunazo mfukoni na kamwe hawatashinda popote pale Tanzania hii bila wizi wao ambao huku tunakoelekea inafikia kikomo.
Mkubwa wangu Yericko Nyerere tunashukuru sana kwa hili na nakwambia pale Kalenga hawatoki kudadeki!
 
Last edited by a moderator:
sijiu kwanini Dr.W.Slaa umewalisisha bavicha uongo na uzushi
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli Chadema mnapenda kutafuta huruma sana.

Hadi sasa mmeonesha kushindwa kwa kishindo.

Chadema ni watunzi wazuri wa uongo kupiitia Yericko Nyerere.

Msisahau mmetumia chopa mbili na mtaambulia aibu.




er.

We msukule upo....Unacheo gani hapo ACT...?

Jenga chama chako mfu cha ACT wachana na mziki.mnene wa CDM......Ni shidaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Povu linawatoka magamba, hii issue ni kweli kabisa na Sombetini, Arusha na Moshi iliwasaidia sana juzi kupata kura otherwise wangeambulia -ve kura.
 
Ruttashobolwa unajua siaminigi kama hizi ni post zako! Mi mpaka leo nafikiriaga kwamba ID yako imechunguliwa.
Ckutegemea member kama wewe nikuone katika post kama hii!

Tarehe 16 si mbali!

Kwakweli Chadema mnapenda kutafuta huruma sana.

Hadi sasa mmeonesha kushindwa kwa kishindo.

Chadema ni watunzi wazuri wa uongo kupiitia Yericko Nyerere.

Msisahau mmetumia chopa mbili na mtaambulia aibu.




er.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu hakuna siri chini ya jua!!!!

(Sitataja wapi kilikalika na nani walihudhiria, bali nitamwaga mikakati tu iliyoadhimiwa)


Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao maalumu cha ccm leo jioni kinachotafuta ushindi wa hila Kalenga, imenasa mtiririko wa mikakati hii hapa chini,

1. Karatasi za kupigia kura ambazo zimewasili jana na leo kule Kalenga zimetengwa maalumu kwaajili ya kupewa wajumbe wa nyumba kumi na wanaccm waaminifu kila mmoja karatasi (tupu) kuanzia 10-100,

2. Jumapili wajumbe hao watakwenda kupiga kura huku wakiwa na karatasi hizi mifukoni mwao, wakifika watakabidhiwa vitendea kazi vya kupigia kura kama kawaida, wakifika kwenye chumba maalumu cha kupigia kura, watazitoa sasa zile karatasi na kuzipigia zote upande wa ccm na kuzikunja kwaustadi mkubwa sana kisha kuja kuzitumbukiza kwenye sanduku la kura,

Hapo kila mtu wao atakuwa na uhakika wakupiga kura kumi na kuendelea,

Katika kikao hiki wanajisifu kuwa mbinu hiyo imewaokoa sana kwenye chaguzi za madiwani wiki chache zilizopita,


PENDEKEZO LANGU,

Chadema ihakikishe inawaambia mawakala wao wahakikishe wanakuwa jirani kabisa na sanduku la kupigia kura, na kila anaetumbukiza kura waangalie kwa umakini kama kakunja karatasi mbili au moja?

Ama ikiwezekana kila mpiga kura akaguliwe kwa uangalifu kabla ya kuruhusiwa kwenda kupiga kura.

Mkuu, labda walisema watatumia mbinu gani ili hizo kura zi tally na kura halali zilizopigwa?
 
kwenye kila kituo si kuna idadi ya wapiga kura inajulikana/...that mission is very complicated to be implemented if its true anyway!
 
Wakala wa CDM afanye haya yafuatayo pia:
1. Baada ya kuhakikisha kuwa sanduku la kura lipo tupu na limefungwa seal, ahakikishe anarekodi namba ya seal
2. Wakala ahakikishe kitabu cha leaflets zina makaratasi 50, na anaandika namba ya kitabu walichoanza kuitumia, yaani leaflet ya kwanza hadi ya mwisho, inayofuaya vile vile.
3. Kabla ya kuhesabu kura wakala wa chadema ahakikishe ana idadi ya karatasi za kura zilizotumika, baada ya hapo sanduku lifunguliwe kuhakikisha idadi ya kura zilizopo kwenye sanduku ni sawa na kura zilizopigwa. Akiona idadi ni tofauti na kura zilizopigwa basi waanze kuhakiko namba ya karatasi ya kura kuanzia moja hadi nyingine ili kubaini kura zilizozidi.

Au kila mmoja anayeingia kupga kura akaguliwe.hawa ccm wezi Sana .cdm mpango wa mungu
 
Huu uzi umekuwa mwiba mkali kwa magamba.....Baada ya kuona mbinu zao zimewekwa hadharani kila mtu anakuja kwa machale...
 
Wahuni tutalinda kwa chopa na ngumi ikiwezekana
 
Back
Top Bottom