KIKAO cha SIRI cha WIZI wa KURA Kalenga

Mmmmh! mhooooo!!!!! Ngati naa manya gunai. CCM mnataka nini uma hauwapendiiiiiii! Mnatuharibia nchi. Ninyi sio miungu acheni wengine waongoze nchi. 2015 hamtoki kama ilivyokuwa 2010 ni busara tu ilitumika kuepusha shari, kumbukeni hilo.
 
Mawakala tulioko hapa Kalenga tuna uzoefu mkubwa sana, hata janja yao ya kutaka kusababisha vurugu wakati zoezi la kupiga kura linaendelea tumeshabaini na tuko tayari kudhibiti hali chafu yoyote. Tunamaanisha hivyo, na tumejipanga vilivyo..
 
Mnajua mmechindwa CCM ndio maana kila siku mnaenda kituo cha polisi kati hapo iringa kuomba msaada, hao polisi sio kwamba wanawapenda ni amri tu, ipo siku mtageukwa hamtaamini. Tatizo lenu hamsomi alama za nyakati.
 
Kwa uzushi wa kwenye mtandao nakupa namba moja.
Nyerere wa kujipachika unakimbia jina la baba yako mzazi
 
Thats why yericko nakukubali i like intelligencia ya chqdema, na hii inatuonyeesha kuwa cdm ni chama kubwq yenye mitandao mingi.
 
Chadema huwa wanaiba kura arusha na kwingineko kote wanakoshinda..kama uchaguzi ni kuiba kura..tafsiri ninayoipata..
 
Chadema huwa wanaiba kura arusha na kwingineko kote wanakoshinda..kama uchaguzi ni kuiba kura..tafsiri ninayoipata..

Unachoandika ni uongo wa karne wewe! Huwa tunafuata misingi ya demokrasia kwa kupiga kura tu.
 
Mimi nalaumiwa kwa lipi kijana? Ilaumu ccm kwa mbinu yao ya kijinga

Nakulaumu kwa kuleta uzushi hapa ambao hata mtoto mdogo anajua kabisa huwezi ficha karatasi za kura mfukoni halafu ukaingia nazo kituo cha kupigia kura na zote ukazitumbukiza kwenye sanduku la kura bila kukamatwa.
 
Pole sana ndugu,
 
Back
Top Bottom