Kikao cha dharura cha Ukoo wa watu8

Kikao cha dharura cha Ukoo wa watu8

KWA HIVYO UNATAKA KUTUGOMBAINISHA NA BABA YETU
NANI AMEKWAMBIA KUWA MM NIMEMSEMA VIBAYA DADDY?
USIDANDIE MAGARI KWA MBELE WENZIO WANADANDIA NYUMA
DADDY watu8 USIMSIKILIZE HUYU ANATAKA KUNIFANYA NICHAPWE
BURE JIONI UKIRUDI TOKA KAZINI KWANI DADDY MM SI MTOTO N
NILIYE HESHIMA KWAKO HAWA WANATAKA KUTULETEA BALAA
JUA NAMPENDA DADDY watu8 NA WALA SIWEZI MSEMA BABA YANGU
VIBAYA, ACHA UCHONGANISHI WEWE

tatizo ni wewe daddy ambaye hujatulia wewe kila king'aacho waona ni dhahabu
shauriro vingine ni almasi

mama wala hatanidhuru chochote na wala hataniachia radhi yoyote kwani anajua
uchungu wa kunifyatua mm pale kcmc moshi

We mtoto weee unaanzaje kumwambia baba yako hajatulia???

Kama una busara ladyfurahia utakaa kimya na Um PM baba yako umuombe radhi,au hayo uliyoandika huyakumbuki?!!Shauri yako dadazako ladydoctor wanaomba baraka kwa wazazi wewe unakimbilia kulumbana na kumwambia baba yako hajatulia,what a shame on you!Ungejua baba yako watu8 alivyo na heshima hapa JF!
 
Last edited by a moderator:
mambo ya familia yetu hayakuhusu
kwanini unanifuatilia hivyo nimekukosea nini jamani
huyo daddy wewe ndo unaishi naye
sipendi kufuatiliwa namna hiyo

Kama una busara ladyfurahia utakaa kimya na Um PM baba yako umuombe radhi,au hayo uliyoandika huyakumbuki?!!Shauri yako dadazako ladydoctor wanaomba baraka kwa wazazi wewe unakimbilia kulumbana na kumwambia baba yako hajatulia,what a shame on you!Ungejua baba yako watu8 alivyo na heshima hapa JF!
 
samahani sana baba watu8 sikutaka niandike vile ilikuwa ni jokes tu
ila nimeona watu wanafuatillia sana imenibidi niombe msamaha
samahani sana najua nimekuuzi mm kama mtoto wako sipendi niendelee
kukuuzi katika kipindi hicho cha mwisho wa mwaka kwani natambua ukimkosea
baba umemkosea Mungu kwani Mungu alimuweka baba kuwa mungu wa dunia
kwa mtoto wake, hivyo daddy naomba uniwie radhi
NAOMBA NAMI UNIPE BARAKA ZANGU KAMA NDUGU ZANGU ULIVYOWAPA
ILA SI ULINIAMBIA NIKITUNZE ILE HATI YA NYUMBA YA PAKISTANI HEEE!
 
Good girl!
Cc watu8
 
Last edited by a moderator:
mshauri na chukua hatua ya kumfunga ila daddy Watu 8 asijue maana akijua kitakula kwetu

loooh!!! kumbee, mi ndio maana nikamwambia mommy nimfunge kizazi, hii familia imeshajitosheleza, tukiwa wengi sana mwishoe tutasahauliana bureee.
 
Last edited by a moderator:
Kama una busara ladyfurahia utakaa kimya na Um PM baba yako umuombe radhi,au hayo uliyoandika huyakumbuki?!!Shauri yako dadazako ladydoctor wanaomba baraka kwa wazazi wewe unakimbilia kulumbana na kumwambia baba yako hajatulia,what a shame on you!Ungejua baba yako watu8 alivyo na heshima hapa JF!

Kweli huyo mtoto balaa... anaweza akamkatalia dingi yake asioe....!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaahhahaa watu8 una uzazi kama wa nyau lol.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom