yani mamy ana moyo
kila siku mtt khaaaa!!
afu Lady doctor dady ndio
afungwe kizazicho!!
tatizo ni wewe daddy ambaye hujatulia wewe kila king'aacho waona ni dhahabu
shauriro vingine ni almasi
mama wala hatanidhuru chochote na wala hataniachia radhi yoyote kwani anajua
uchungu wa kunifyatua mm pale kcmc moshi
We mtoto weee unaanzaje kumwambia baba yako hajatulia???
Watoto wa siku hizi bwana!!Kuna siku baba mmoja aliwahi kuniambia kuwa baba yako akija amelewa huwezi kumwambia,''Baba umelewa,unasema baba umekunywa''.Ndizo lugha za adabu za kuongea na wazazi!
tena dady watu8 aandike wosia mapemaaa
mi naona dalili za kuja kutoana roho kabisaaa!!
wataibuka pa kuibukia huko afu iwe patashika!!
Sasa hapa ndio tunaongea lugha moja!
anaweza kuwa mama huyo.
Dunia imewaharibu sana hawa vijana...ila ndio watoto hatuwezi kuwakana
Binti yangu mimi babayo nakupa baraka hizo...uwe na wana wengi kama mamayo measkron...na watoto wangu wote waseme amina!!!
Watoto wa siku hizi bwana!!Kuna siku baba mmoja aliwahi kuniambia kuwa baba yako akija amelewa huwezi kumwambia,''Baba umelewa,unasema baba umekunywa''.Ndizo lugha za adabu za kuongea na wazazi!