Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
Duhh kumbe na wewe ladyfurahia DNA yako kwa watu8 ina mashaka?Unaona sasa mnavyoanza kumuaibisha baba yenu,baba na mama ndo wanaojua yupi ni mtoto wao na yupi sie!Nadhani ukinyamaza kama dada zako wengine itakuwa busara,baba yenu watu8 ameishasema ni mdogo wenu,unapoendelea kumnanga humu JF ni kumkosea heshima!Mbona wewe tu ndo unalalamika?
Mzee watu8 tumechunga nae ng'ombe enzi hizo kabla yeye hajaenda ufilipino na baadaye Urusi
Last edited by a moderator: