CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari za asubuhi waungwana!!!
Imekuwa ni kawaida watoto kuibuka na kudai kuwa ni watoto wa Mr. watu8, na bila hiyana wa kinyongo daddy amekuwa akiwakubali...
Aliibuka Passion Lady tukatambulishwa kuwa ni dada yetu/mdogo wetu na wengine ambao hawajulikani ila tulioneshwa kwa kidole .... "Yule pia ni ndugu yetu"
Sasa kaibuka tena binti mwingine anaitwa Ladymasa, huyu hatumfahamu ila tunaona yuko karibu na daddy as douta & daddy..... Mwongozo tafwazali....
Sasa mie naomba weekend hii Ukoo wote wa watu8 tukutane ili ataje watoto wake wote hata wasiofahamika na Ukoo, manake mwisho wa siku tutakuja kutoana roho bure kwa mali atakazoacha daddy....
Naomba kuwakilisha.....
Waione Mummy measkron, Passion Lady, WiseLady, sweetlady, ladyfurahia, FirstLady1 , Lady doctor na wanaukoo wote!!!!
N.B. Sina nia ya kuchonganisha ndoa ya wazazi wangu bali nina nia njema tu kwa ajili ya future ya familia nzima
Cheers!
charminglady

Last edited by a moderator: