CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Umenena sana dada itabidi tupange upya jinsi ya kukutana na kulijadili hili maana!
I am too young to adopt kid(s). Sorry!
Kwa kiswahili ni kuwa, mimi bado Ngorongoro boy.
Thank you though.
uko sawa honey, hata mi bado ka miss kadogodogo sitaki kuitwa mama mapema yote hii
cc: my sis charminglady

Heheh we si ulitaka kurithi mikoba ya mamayo kuwa na makinda wengi...anza na huyo basi...
daddy taji nimetwaa juzi tu Leo nianze kubeba watoto mgongoni..? Hakunaga hiyo!
Mikoba nitarithi daddy ila si kwa kipindi hiki daddy wangu
Heheh haya binti yangu...ukiwa tayari utakabidhiwa kijiti na mummy