Aweke na kengele, wkt wa kula awagongee.
Hahahahahahaah kama wanafunzi wa shule lol....na vyumba ajenge kama hostel lol
Aweke na kengele, wkt wa kula awagongee.
Ehhh watu8 ni kweli au masikio yangu?
Akooo bibi sitaki kijogoo mimi!!!!Kaza moyo...
Ndio ukoje huo farkhina ...
Akooo bibi sitaki kijogoo mimi!!!!
Hhhahaahaha hongera itafika kipindi itabidi uwaite majina kwa namba lol..
Ehhh watu8 ni kweli au masikio yangu?
Lisemwalo lipo na kama halipo linjiani!!!!wananisingizia...
aka zao ni majina ya magari...buick, benz, ferrari n.k
wananisingizia...
farkhina huyu babu anaweza akuue hivihivi!!!Na magonjwa ya dunia yalivyoenea hebu mie!!Hahhahaahahah vumilia mama ake charminglady na msururu mwengine..
Watoto telee...kila kona
Hahahahaahha unalo leo..
Lisemwalo lipo na kama halipo linjiani!!!!
Hhahahahahha santeee..
Langu halipo kabisa kwa kuwa njia hakuna....nilishafunga kizazi miaka hiyoooo😎
kweli inashangaza daddy anataka kuleta timu ya mpira kwenye familia yetu
hivi kwanini mama naye anamkubalia kila mwaka anashika :mimba:
itabidi afunguke na atuambie hapa hapa kwani sisi tunajifahamu
kwa daddy watu8 na mama measkron tuko 8 tu ukimuweka na kaka yetu kipenzi
1 FirstLady
2 sweetlady
3 Passion Lady
4 ladyfurahia
5 Lady doctor
6 charminglady
7 WiseLady
8 Davie S.M
Hao ni watoto wa halaili wa daddy watu8 hivyo kama ana watoto wa nje ya ndoa aseme sasa hivi tumechoka kuletea vitoto home ambavyo hatuvielewi kabisa na tena haivifanani na mama yetu kipenzi measkron, hivyo daddy dadavua hapa la sivyo tutaenda kwenye vyombo vya sheria vinavyohusu haki ya watoto wazawa
Umenena sana dada itabidi tupange upya jinsi ya kukutana na kulijadili hili maana!