Ladymasa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 877
- 335
kweli inashangaza daddy anataka kuleta timu ya mpira kwenye familia yetu
hivi kwanini mama naye anamkubalia kila mwaka anashika :mimba:
itabidi afunguke na atuambie hapa hapa kwani sisi tunajifahamu
kwa daddy watu8 na mama measkron tuko 8 tu ukimuweka na kaka yetu kipenzi
1 FirstLady
2 sweetlady
3 Passion Lady
4 ladyfurahia
5 Lady doctor
6 charminglady
7 WiseLady
8 Davie S.M
Hao ni watoto wa halaili wa daddy watu8 hivyo kama ana watoto wa nje ya ndoa aseme sasa hivi tumechoka kuletea vitoto home ambavyo hatuvielewi kabisa na tena haivifanani na mama yetu kipenzi measkron, hivyo daddy dadavua hapa la sivyo tutaenda kwenye vyombo vya sheria vinavyohusu haki ya watoto wazawa
Jamani mbona wawasemea dady na mamy measkron, wamesema hivii mimi mtoto wao halali, halafu wewe si ulikuwa kwa mjomba kule ukerewe wakati mimi nalelewa na wazazi nyumbani!
Last edited by a moderator: