Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Pesa haichoshi bwanaRaha ya pesa kwangu labda nivae na kuendesha mavitu makali japo itafika time utachoka tu na kuona kawaida
Pesa haichoshi bwanaRaha ya pesa kwangu labda nivae na kuendesha mavitu makali japo itafika time utachoka tu na kuona kawaida
Hela isivyo na adabu kuna mda inakataga ghafla sasa ndio hapo utajua hujui maana malaya anataka bill ziendelee kulipwa vile vile kama wakati una hela!Ukiishiwa pesa tunamdaka tunamtia muhogo kibabe afu tunatoroka tunapotelea gizani
Huna ndio maana unasema haichoshi walioizoea ndio hao mnawaonaga hawana mbwembwe 😅😅😅 ila nina hakika ukikamata mzunguko wa ghafla 100M plus kila mwezi vituko utavyofanya lazma tutastaajabu!Pesa haichoshi bwana
Amini nakwambia kuna vijana wanateseka na mapenzi dem gani utampata kwa siasa now days yani avue chup bila helaKupata mwanamke kila ukitaka sio lazima uwe na pesa! Siasa tu inaweza kukupa madem tani yako uwe tu na ujanja wa kuwa treat vizuri kihisia!
Hao mnaohangaika nao ni malaya mkuu! Malaya ametumia gharama kujiremba huwezi mtia bure mzee ila wanawake wapo mbona mzee!Amini nakwambia kuna vijana wanateseka na mapenzi dem gani utampata kwa siasa now days yani avue chup bila hela
Hapa naona ni lugha gongana mkuu, uwe na jioni njemaHuna ndio maana unasema haichoshi walioizoea ndio hao mnawaonaga hawana mbwembwe [emoji28][emoji28][emoji28] ila nina hakika ukikamata mzunguko wa ghafla 100M plus kila mwezi vituko utavyofanya lazma tutastaajabu!
Pengine hata huyo baba naniliu ukawa umetengana nae ndani ya muda wa miezi 6 tu! Sababu utaona anakubana bana.
Nawewe nakutakia jioni njema bibieHapa naona ni lugha gongana mkuu, uwe na jioni njema
Hahahaa niache aseeee 😂😂😂Eve seremaaa seremaaa
una uhakika wanawake zao ndio walioamua kuwaacha na sio wanaume kuamua kuachana na wake zaokwani biligeti hana hela?![emoji28][emoji28]
na yule tajiri wa mtandao mkubwa kuuza na kukua bidhaa mtandaoni hana hela?[emoji28][emoji28]
.
for me pesa sio mapenzi...
.
nilichogundua wanaume wenge hawajui kuishi na wanawake na ndio maan wanaume wengi wanaburuzwa kwenye mahusiano yao...
Am this kind of woman mpaka na utu uzima wangu usipo nipa treatment nzuri usitegemee nikae nawewe eti una pesa! NEVER.Kunywa Pepsi Big! You are well experienced bila shaka,,, kuna watu wanaishi kwa assumptions halafu kuna watu wanaishi na real situations. Wangapi wamewapa mahela wanawake na still wametombewa halafu mtu anasema mwanamke umpe hela tu upate real love ni uwakii!
Treating a woman well does assure love more that dime dependency syndrome! Unaweza usimpe hela ila ukampa treatment akakupenda vibaya mno na akakimbia anakopewa hela for impression. Thats where thugs win the game!
Mapenzi na pesa ni vitu pacha ni sawa kabisa maana mapenzi unaweza kununua ila upendo huwezi kununua ni kitu natural pesa siyo kigezo. Upendo ni gift from God thamani yake ni kubwa kuliko chochote .Usichanganye Upendo na Mapenzi ni vitu tofauti sana sana , Upendo msingi wake ni Mungu mwenyewe, Mapenzi msingi wake ni nipe nikupe yananunulika kama bidhaa ndiyo maana yana soko ukitaka unakwenda sokoni kununua kunaitwa kufanya mapenzi au ngono"msema kweri mpenzi wa Mungu"
Unachozungumzia ni ngono zembe (sex) ila unaiita mapenzi, stop icing that eiishhh sema tu ngono inanunulika and it has a bare price tag!Mapenzi na pesa ni vitu pacha ni sawa kabisa maana mapenzi unaweza kununua ila upendo huwezi kununua ni kitu natural pesa siyo kigezo. Upendo ni gift from God thamani yake ni kubwa kuliko chochote .Usichanganye Upendo na Mapenzi ni vitu tofauti sana sana , Upendo msingi wake ni Mungu mwenyewe, Mapenzi msingi wake ni nipe nikupe yananunulika kama bidhaa ndiyo maana yana soko ukitaka unakwenda sokoni kununua kunaitwa kufanya mapenzi au ngono
[emoji23][emoji16][emoji16]Hahahaa niache aseeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa na ufanisi hela utapewa za kutosha hujui hata kutuma salamu unawaza pesaHahahahah watu wanalipia ufanisi wa kuongeza tija [emoji28][emoji28][emoji28]
Ukiwa na ufanisi hela utapewa za kutosha hujui hata kutuma salamu unawaza pesa
Tu