Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

Wasalamu ndugu wana Jamii Forum,

Namshukuru Mungu kwa kutupatia uzima wa kuendelea kupeana mafunzo kupitia majukwaa mbalimbali ya kijamii mtandaoni hakika hatuna budi kusema asante Mungu.

Nianze kwa kusema mahusiano bila pesa yanawezekana kwa siku za mwanzo tu lakini ukata wa pesa ukizidi kwa muda mrefu kati ya mke na mume mapenzi huanza kufifia.

Mapenzi na pesa yanaenda pamoja, kijana tafuta pesa ndio uanze kuwaza kuwa na mwenza wa maisha. Ukiingia kwenye mahusiano bila kuwa na channel nzuri ya pesa utaona kila mwanamke ni mpenda pesa na utaishia kuugua magonjwa ya msongo wa mawazo na kushindwa kuishi katika lengo.

Kijana tafuta pesa upunguze wivu wa mapenzi kwa mwenza wako. Mtu asiye na pesa muda wote anakuwa na wasiwasi kwamba anaibiwa mwenza wake hivyo mwarobaini wa kukata huu wasiwasi na kutokujiamini ni kutafta pesa ndio uingie kwenye mahusiano.

Pesa inarahisisha upendo na ni waridi ya kuimarisha mahusiano hivyo kwa duniani ya sasa hakika yapaswa kuwa na msingi mzuri wa pesa unapojiandaa kuingia katika mahusiano kwasababu tupo kwenye dunia inayokumbwa na changamoto za magonjwa mbalimbali.

Leo hii mabinti wengi wanajifungua kwa operations tofauti na wakizazi kilichopita hivyo mwanaume tafuta pesa ndo uingie kwenye mahusiano , siku moja mke wako akishindwa kujifungua utumie pesa kuokoa maisha yake kwa kumpeleka hospitali haraka.

Kijana tafuta pesa upunguze kujieleza kwenye mahusiano na kuonekana muongo. Ukiwa huna pesa hata kama ukimwambia mkeo au mwenza wako mipango ya maisha na harakati unazopitia hata kama ni zakweli atakuona ni muongo. Hivyo tafuta pesa ili uaminike na kuheshimiwa.

Kijana kama umeachwa kwenye mahusiano kisa pesa,nakushauri usiingie kwenye mahusiano mapya, tafuta kwanza pesa ndio uanze tena mahusiano na hii itakufanya uepuke kulaani kila unapomuona kiumbe mwenye jinsia yakike huenda pia ukawa unakufuru kwa muumba wake.

Usitoe pesa kununua mapenzi bali tumia pesa kuimairisha mapenzi. Ukitumia pesa kununua upendo utakuja kujikuta unalaani hili andiko pasipo kujua unatakiwa utumie pesa kuimarisha mapenzi na mahusiano.

Kijana kama utaendelea kuamini kwa hiki kizazi cha hii karne kuwa mapenzi bila pesa yanawezekana basi jiandae kupendwa na wazazi wako tu. Tupo kwenye kipindi ambapo pesa ina umhimu zaidi ya upendo. Hadi matajiri wana achana japo wana pesa lakini hii nikutokana na pesa kuwa na thamani zaidi ambapo hii pesa inatumiwa kumaliza shida zote za dunia ya sasa.

Mwisho, Kijana jiimarishe na kujijenhea misingi imara ya pesa ili ukiingia kwenye mahusiano ujiandae kuzaa watoto watakaokuta umejiandaa kuwalea, kuwapatia elimu bora wasiwe omba omba na kuiga tabia zisizofaa na uwe chanzo.cha laana kwa watoto na kizazi chote.

Asanteni kwa kusoma andiko hili, unaweza kuongezea ama kutoa maoni yoyote,karibu sana.
Mimi Ni tajiri Billionaire Asante Sana Mungu
 
Pesa haikuletei mapenzi ya dhati bali mbuzi waliojivika ngozi ya kondoo,

Tafuta pesa kwa ajili ya kukupunguzia stress, ukitaka kujua kwamba pesa haileti mapenzi ya dhati chunguza baadhi ya mabosi wanalalama wake zao kuliwa na wafanyakazi wao.

Wakati wa kujua rafiki au mpenzi wako sahihi ni kipindi ambacho huna kitu.
Kunywa Pepsi Big! You are well experienced bila shaka,,, kuna watu wanaishi kwa assumptions halafu kuna watu wanaishi na real situations. Wangapi wamewapa mahela wanawake na still wametombewa halafu mtu anasema mwanamke umpe hela tu upate real love ni uwakii!

Treating a woman well does assure love more that dime dependency syndrome! Unaweza usimpe hela ila ukampa treatment akakupenda vibaya mno na akakimbia anakopewa hela for impression. Thats where thugs win the game!
 
Wasalamu ndugu wana Jamii Forum,

Namshukuru Mungu kwa kutupatia uzima wa kuendelea kupeana mafunzo kupitia majukwaa mbalimbali ya kijamii mtandaoni hakika hatuna budi kusema asante Mungu.

Nianze kwa kusema mahusiano bila pesa yanawezekana kwa siku za mwanzo tu lakini ukata wa pesa ukizidi kwa muda mrefu kati ya mke na mume mapenzi huanza kufifia.

Mapenzi na pesa yanaenda pamoja, kijana tafuta pesa ndio uanze kuwaza kuwa na mwenza wa maisha. Ukiingia kwenye mahusiano bila kuwa na channel nzuri ya pesa utaona kila mwanamke ni mpenda pesa na utaishia kuugua magonjwa ya msongo wa mawazo na kushindwa kuishi katika lengo.

Kijana tafuta pesa upunguze wivu wa mapenzi kwa mwenza wako. Mtu asiye na pesa muda wote anakuwa na wasiwasi kwamba anaibiwa mwenza wake hivyo mwarobaini wa kukata huu wasiwasi na kutokujiamini ni kutafta pesa ndio uingie kwenye mahusiano.

Pesa inarahisisha upendo na ni waridi ya kuimarisha mahusiano hivyo kwa duniani ya sasa hakika yapaswa kuwa na msingi mzuri wa pesa unapojiandaa kuingia katika mahusiano kwasababu tupo kwenye dunia inayokumbwa na changamoto za magonjwa mbalimbali.

Leo hii mabinti wengi wanajifungua kwa operations tofauti na wakizazi kilichopita hivyo mwanaume tafuta pesa ndo uingie kwenye mahusiano , siku moja mke wako akishindwa kujifungua utumie pesa kuokoa maisha yake kwa kumpeleka hospitali haraka.

Kijana tafuta pesa upunguze kujieleza kwenye mahusiano na kuonekana muongo. Ukiwa huna pesa hata kama ukimwambia mkeo au mwenza wako mipango ya maisha na harakati unazopitia hata kama ni zakweli atakuona ni muongo. Hivyo tafuta pesa ili uaminike na kuheshimiwa.

Kijana kama umeachwa kwenye mahusiano kisa pesa,nakushauri usiingie kwenye mahusiano mapya, tafuta kwanza pesa ndio uanze tena mahusiano na hii itakufanya uepuke kulaani kila unapomuona kiumbe mwenye jinsia yakike huenda pia ukawa unakufuru kwa muumba wake.

Usitoe pesa kununua mapenzi bali tumia pesa kuimairisha mapenzi. Ukitumia pesa kununua upendo utakuja kujikuta unalaani hili andiko pasipo kujua unatakiwa utumie pesa kuimarisha mapenzi na mahusiano.

Kijana kama utaendelea kuamini kwa hiki kizazi cha hii karne kuwa mapenzi bila pesa yanawezekana basi jiandae kupendwa na wazazi wako tu. Tupo kwenye kipindi ambapo pesa ina umhimu zaidi ya upendo. Hadi matajiri wana achana japo wana pesa lakini hii nikutokana na pesa kuwa na thamani zaidi ambapo hii pesa inatumiwa kumaliza shida zote za dunia ya sasa.

Mwisho, Kijana jiimarishe na kujijenhea misingi imara ya pesa ili ukiingia kwenye mahusiano ujiandae kuzaa watoto watakaokuta umejiandaa kuwalea, kuwapatia elimu bora wasiwe omba omba na kuiga tabia zisizofaa na uwe chanzo.cha laana kwa watoto na kizazi chote.

Asanteni kwa kusoma andiko hili, unaweza kuongezea ama kutoa maoni yoyote,karibu sana.
Tafuta pesa nawe ufanye matusi na pisi kali achana na wauza vitumbua
IMG_20210504_211258_531.jpg
 
LET LOVE LEAD THE WAY! Hili neno mpenzi wangu alikuwa anapenda sana kunitamkia!ofcoz alikuwa ananipenda hilo nililiona ila shida yake alikuwa anagawa sana! Kuna wanawake humu duniani ukitia huruma tuu wakati unaomba mzigo anakupa!ndio alikuwa huyu.
Hahahahah mpenzi wako alikuwa mama huruma dah! Kimeo sana aisee mwanamke awe na sifa zote ila akiwa mama huruma ni huzuni maana kuwa na demu mzuri ila beki hazikabi ni jau! Its a very togh job to keep her hata kama ana mapenzi ya dunia!
 
Tafuta pesa nawe ufanye matusi na pisi kali achana na wauza vitumbuaView attachment 1859870
Hahahah kama ni kufanya matusi tu hapo uko sahihi kabisa 😋!

Ngono zembe na mwanamke yeyote inaweza kuwa facilitated na pesa pamoja na kuwa influenced na hela! Kwa ngono zembe tu you can freak out malaya wote classic! Kuwambato its an easy job when money is involved ila kupata mapenzi ya dhati ni very rare kwa mazingira hayo hayo ya kipesa😀!

Nadhani maelezo ya Topic yalitakiwa yawe haya juu kabisa pale kwa mtoa mada!
 
Watu wameweka ushuhuda mwenye uzi kakimbia [emoji23][emoji23]

Ila ma Bro wenye pesa endeleeni kuhonga mtupunguzie mzigo wadogo zenu. Sisi tutaendelea kusimamia ukucha ili mkiwapiga kimoja watosheke
Heheheheh strika namba 7
 
Nina manzi mmoja anapenda hela kinoma, nilichokuja kugundua cko pekee angu licha hata ya hela nazo mpa.

Nilioona solution ni kusaidia wa nyumbani kwangu wallahi....nilimwambia manzi tuachane akasema fresh,tukaachana kweli mwezi hata hujaisha kaanza kunisumbua hatari eti anataka nimnunulie simu arooooooh.....ninunue simu ili atongozwe vizur hyo hamna asee, nyie wenye hela endeleeni kuimarisha mahusiano yenu.

Sisi mtuache na Puchu zetu asee.....

Home kwanza Mengine badaae
Mnunulie acha roho mbaya
 
Ebu acheni kufananisha matajiri na wanaume mafukara waliojazana huku bongo acheni kabisa hizo Stor sijui bilget kaachwa pesa inanguvu kubwa kwenye mapenzi mwanaume unakuwa uhakika wa kupata mwanamke mpya muda wowote
Kupata mwanamke kila ukitaka sio lazima uwe na pesa! Siasa tu inaweza kukupa madem tani yako uwe tu na ujanja wa kuwa treat vizuri kihisia!
 
Hahahah kama ni kufanya matusi tu hapo uko sahihi kabisa [emoji39]!

Ngono zembe na mwanamke yeyote inaweza kuwa facilitated na pesa pamoja na kuwa influenced na hela! Kwa ngono zembe tu you can freak out malaya wote classic! Kuwambato its an easy job when money is involved ila kupata mapenzi ya dhati ni very rare kwa mazingira hayo hayo ya kipesa[emoji3]!

Nadhani maelezo ya Topic yalitakiwa yawe haya juu kabisa pale kwa mtoa mada!
Nikufanya nao matusi tu mkuu. mapenzi ya dhati ni bahati toka kwa mungu
 
Nikufanya nao matusi tu mkuu. mapenzi ya dhati ni bahati toka kwa mungu
True story, tatizo wadogo zako wanajisahau wanaoa hao hao mabalaa yanaanza baada ya miezi sita 😅 demu wa hivyo hata ukimuoa inabidi uendelee kumpa hela tu mpaka siku ya kufa usipomuwezesha imekula kwako😅
 
True story, tatizo wadogo zako wanajisahau wanaoa hao hao mabalaa yanaanza baada ya miezi sita [emoji28] demu wa hivyo hata ukimuoa inabidi uendelee kumpa hela tu mpaka siku ya kufa usipomuwezesha imekula kwako[emoji28]
Ukiishiwa pesa tunamdaka tunamtia muhogo kibabe afu tunatoroka tunapotelea gizani
 
Pesa inaongea wakati kashapigwa chini tayari [emoji23][emoji23][emoji23] alikuwa analia kama mtoto!

Mwanamke gani anaejielewa anaweza date na mwanamme wa haiba hio? Mwanzo alijidai mapenzi kumbe anatafta kiki tu mwisho kaboya kametoswa vibaya
So mchizi kamwagwa??
 
Back
Top Bottom