Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

Pesa haikuletei mapenzi ya dhati bali mbuzi waliojivika ngozi ya kondoo,

Tafuta pesa kwa ajili ya kukupunguzia stress, ukitaka kujua kwamba pesa haileti mapenzi ya dhati chunguza baadhi ya mabosi wanalalama wake zao kuliwa na wafanyakazi wao.

Wakati wa kujua rafiki au mpenzi wako sahihi ni kipindi ambacho huna kitu.
 
kwani biligeti hana hela?![emoji28][emoji28]
na yule tajiri wa mtandao mkubwa kuuza na kukua bidhaa mtandaoni hana hela?[emoji28][emoji28]
.
for me pesa sio mapenzi...
.
nilichogundua wanaume wenge hawajui kuishi na wanawake na ndio maan wanaume wengi wanaburuzwa kwenye mahusiano yao...
 
Mapenzi ni pesa na mapenz si pesa...NAMAANISHA WANAWAKE HAWANA FORMULA HALISI UKISEMA UWAFATISHE UTAUMIA SANA
 
Pesa inaongea bhana
FB_IMG_1626518117214.jpg
 
Nimesoma kichwa cha habari, bila kilichomo ndani.

Nakujibu we jidanganye tu.
 
Pamoja na hii ngonjera yote ulioandika hapa nasikitika kukwambia kuwa hamna mapenzi ya kweli yanayochipua palipo na pesa bali kuna maigizo ya mapenzi at large.

Najua hutambui kuwa mpenzi wako ana mpenzi wake huko alipo! Ana mpenzi wake ofisini ambaye wanaongozana pamoja muda wa lunch na kubembeana kwenye mabega, ana mpenzi wake kule chuoni ambaye hampi hata sh.100 ila anatumia zile laki mbili mbili zako unazomtumia kila week kumnunulia pamba kali na perfumes!

Endelea kutafta pesa ila ujue pesa sio suluhu ya mapenzi kama unavyojiongopea 😂😂😂! Siku huo mrija wa pesa ukikatika ghafla utajua hujui 😅
Laki mbili mbili kila wiki.....unamaanisha laki 8 kwa mwezi?
Maamae walah
 
Siwez kumpenda manzi ambae najua kabisa huyu yupo kwangu kwa maslahi tu na mimi nipo kwake kwa mbususu tu.
Na bahati nzuri unawajua mapema sana, so ni wewe kuamua toa pesa ule mbususu au kausha usepe.

Manzi anaejielewa pia unampata ila sio kua utakua humpi doo unampa ila anakua sio wa kipesa zaidi.

Kwahiyo we jamaa utachapiwa mpaka uzeeke kama unahusudu pesa namna iyo, manzi ukikosa pesa anakuacha ukipata anarudi tena 😂😂
 
LET LOVE LEAD THE WAY! Hili neno mpenzi wangu alikuwa anapenda sana kunitamkia!ofcoz alikuwa ananipenda hilo nililiona ila shida yake alikuwa anagawa sana! Kuna wanawake humu duniani ukitia huruma tuu wakati unaomba mzigo anakupa!ndio alikuwa huyu.
 
Umemaliza kila kitu mleta mada

Pesa inanogesha mapenzi

Kuwa na mpenzi asiyekuwa na vijisent ni kutafutiana lawama tu.

Utamvumilia weee kadri siku zinavyozidi kusonga, kama ataendelea kulia lia njaa na wewe mapenzi kwake yanapungua automatic

Wanawake nature yetu ni nyie kutulisha sisi

Wanaume msipingane na nature mnatakiwa kula kwa jasho!!!!

Au nasema uongo ndugu zangu.
Haha
 
Back
Top Bottom