Umeshawahi kupewa na mwanamke wako/rafiki pesa, laki na kuendelea ?

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
720
Reaction score
1,167
Hbari

Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa namna yeyote Ile

Au rafiki Yako wa kike ameshawahi kukusave swala la pesa laki na kuendelea, kukusaidia tu na hajawahi hata kuiongelea kwamba aliwahi kukupa pesa

Kwa sisi wanaume ni kawaida sana unakuta ke hata sio rafiki Yako au hata sio mpenzi wako , akakuomba pesa na ukamsaidia na usisimulie popote palee, na hata haumtaki useme Nampa labda Kuna siku nimtongoze hapana.

Kwa Nini? Wanawake na pesa ni baba mmoja mama mmoja , hata ikitokea akakupa pesa na ni ndogo kiasi Gani! Ipo siku atakukumbushia tu ni kwann? Au ndio wameumbwa kupokea tu na sio kutoa

Na miaka hii wanatunzana kwenye mashughuli Sasa nasikia akutunze alaf na yeye akapata shughuli haujaenda kumtunza nasikia anakuja kudai vitu vyake, yaani wao hawakubali kutoa tu bila kupokea , hii ni mbaya
 
Yes, mie nilishapewa, halafu nilizipokea tu nikashituka toka usingizini!
 
Ndege hufananao huruka pamoja
Wewe kwanini watu wako hakuna anayeweza kukupa laki?
 
Mkia Wa Mbuzi Hauna Msaada Wowote Hata Kuziba Tupu Yake Hauwezi
Mkia Wa Kondoo/Ng'ombe Unapata Supu Na Unaziba Tupu Yake
 
Hbari

Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa namna yeyote Ile

Au rafiki Yako wa kike ameshawahi kukusave swala la pesa laki na kuendelea, kukusaidia tu na hajawahi hata kuiongelea kwamba aliwahi kukupa pesa

Kwa sisi wanaume ni kawaida sana unakuta ke hata sio rafiki Yako au hata sio mpenzi wako , akakuomba pesa na ukamsaidia na usisimulie popote palee, na hata haumtaki useme Nampa labda Kuna siku nimtongoze hapana.

Kwa Nini? Wanawake na pesa ni baba mmoja mama mmoja , hata ikitokea akakupa pesa na ni ndogo kiasi Gani! Ipo siku atakukumbushia tu ni kwann? Au ndio wameumbwa kupokea tu na sio kutoa

Na miaka hii wanatunzana kwenye mashughuli Sasa nasikia akutunze alaf na yeye akapata shughuli haujaenda kumtunza nasikia anakuja kudai vitu vyake, yaani wao hawakubali kutoa tu bila kupokea , hii ni mbaya
Wangu niliomba anikopeshe 40k tukaishia kuachana😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom