Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,813
- 32,551
Ukifika age fulani unapiga chapchap unapumzika mazima!Jamaa hampumzishi dada wa watu
Ukifika age fulani unapiga chapchap unapumzika mazima!Jamaa hampumzishi dada wa watu
Yote hayo ni sawa ika KAMA HAUNA UUME IMARA hayatatekelezeka. Jomba fanya mazoezi ya kukimbia na kegel ili upunguze kufungua nyuzi za dizain hii.Naona umekurupuka zaidi. Almost kwenye masuala yote ili balance iwepo lazima mwanaume amzidi mwanamke.
Kiuchumi: mwanaume awe juu ya mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanaume ndie anaenda kuwa provider.
Kiumri. Hii ni kwasababu mwanaume kama kiongozi anatakiwa kuwa na uzoefu, hekima na busara zaidi. Factors ambazo zinakua zaidi kadili umri unavyosogea.
Kibaolojia: mwanamke anaingia menopause around 30's tu, na kuna sababu zingine za ukuaji mfano muonekano ngozi ya mwanaume ni pana zaidi ya mwanamke hivyo inadumu zaidi. Mwanaume hapo anatakiwa kumzidi mwanamke ili kwenda sambamba kwenye menopause na kuzeeka.
Sexualy matching is not all about your dick.
HaswaaaMimi nae gape isizidi miaka 8, i only accept 3-8. Nje ya hapo nope, uje uanze kunipigia mi story za Y2K 😂
I have no business dating anyone beyond one decade. Yaani kipindi yeye ashaanza kutongoza mi ndo nazaliwa afu nije kuwa nae? Hapana mwaya. Kwanza venye i’m childish natabia ya kuona watu wakubwa kwangu wako serious, afu nawaza ntavuaje nguo loh!
Uzuri wengine bado tunatongozwa na watu wa kuanzia 1970’s hadi 2005. Ni sisi tu kuchagua.
Mleta mada japo ulitaka kukazia mada yako umemuonea Riri, leta picha ya Riri nzuri, au leta picha ya Chris ile yuko kama teja ili tubalansi ikwesheni. Au lete picha ya biba vs selena gomez.
Ndiwoo!! 😂😂😂Lakini naelewa, naelewa sana kwanini wanaume wanaelekezwa kudate katika age gape kubwa.
Sababu sio sana za kibayolojia. Kwakuwa hiyo hiyo bayoloji inamuadhibu mwanaume kwa mambo fulani fulani. Wanaume wakubwa mnaelewa msijitoe ufahamu.
Sababu nyingi ni za kisaikolojia, Ndoa imejengwa katika misingi ya “Power &control” Truth is …. when a woman develops her frontal lobe ni ngumu kumfanyia michezo asielewe na asikuhold accountable , na kikawaida wanaume ni watu wa michezo michezo, if you know you know.
So yah, to be safe oa mtu mdogo sana kwako tena before her 27! 😅
Only men who want partners can date/marry they are age mates.
😂😂😂Na kwasababu sitaki mtu yeyote ajisikie vibaya sitaki kueleza hilo! 😅
Useme Hela au uwezo wa kiuchumi hawana.Huu uzi unanuka harufu ya vijana kuwaogopa wanawake.. inferiority complex mbele ya wanawake inawatafuna vijana hadi wanafungua nyuzi za dizaini hii. Mwanamke awe mdogo au mkubwa kiumei lazima adhibitiwe na mumewe. Tatizo kubwa lililopo kwenye jamii ni wanaume kutojiamini kunakosababishwa na upungufu wa nguvu za kiume. Hata ukimzidi mwanamke miaka 50 kama UUME HAUKO IMARA hawezi kukuheshimu.
Inasikitisha sana. Vijana hawana nguvu wala pesa.Useme Hela au uwezo wa kiuchumi hawana.
Vijana wa siku hizi ni vilio kila siku, kuhusu wanawake, sishangai ushoga kushamiri kisa ni hili hili la uoga.
Mimi tayari amenitibua hapa maana Nina mshangazi wangu wote tupo 30s tumezidiana miezi tuNgoja niendelee kusoma maoni ya vijana
Ila najua ugomvi lazima utokee kwenye hii thread
Sasa mbona Hana Tako 🤣Hapo Rihanna alikuwa ametoka kwenye uzazi mkuu.
Rihanna wa sasa huyu hapa.👇
View attachment 3557897
Na wanawake asilimia 90 wakizaa huwa wanabadilika miili.
Na ni wachache huwa wanarudi kwenye normal bodies zao za mwanzo.
Sikupingi kwamba watu waoe wanawake waliowazidi umri, ila wajue pia wakishawazalisha wasitegemee wataendelea kuwa na miili kama ya mwanzo!
Hizo sifa mbona za mtungi wa gesi mkuu 🤣Solution ni kuwa na mpango kando kasichana kadogo kafupi kibonge kushuka chini basi umemaliza
Kwahiyo mkuu mimi Nina mshangazi wangu tumezidiana miezi tu hapo inakuwajeMwanamke uliemzidi umri kwa miaka 3, katika uwanja wa mahusiano huyo ni mkubwa kwako
In case you don't know Macron ndiyo mke kwenye ndoa yao, Macron ni choko na yule bisexual ana ukuni.Vipi, unampa ushauri gani EMMANUEL MACRON na mkewe BRIGITTE MARIE-CLAUDE MACRON.?
Emmanuel MACRON, kazaliwa December 1977, na mkewe BRIGITTE kazaliwa April 1953.
(wakati Emanuel anazaliwa, Brigitte alikuwa na umri wa miaka 24)
NB: Emmanuel Macron, ni Rais wa sasa (2017-present) wa Ufaransa.
Jamaa hizi nondo zake inabidi tuwe tunalipia tuition kabisa.Mkuu Natafuta Ajira vijana wa kiuke wasipoelewa hizi dondoo zako za kila siku basi tena.
Kibonge mfupi hapo lazima utapike, slender and tall is my day in day out preference.Hizo sifa mbona za mtungi wa gesi mkuu 🤣
Mwisho wa thread hii kuna picha moja ni Criss brown na Rihana wakati wakiwa katika mahusiano kwa wakati huo walikua na miaka 19. Picha zingine mbili ni picha zao kwa sasa criss ana miaka 36 na rihana ana 37.
Umegundua nini?. Criss brown bado kijana mbichi kabisa anaeweza kuvutia hata hawa mabinti wanaochipukia wakina Tyler, wakati Rihana tayari ni mshangazi. Hawezi tena kuvutia wanaume wenye status kubwa mfano Cristiano Ronaldo.
Rihana mwenyewe aligundua hilo ndio maana baada ya kumaliza kula ujana na badboys wakina criss brown, drake n.k. Aliona menopause hii hapa acha atafute sehemu ya kutulia hata kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu.
Akaingia kazini kutafuta retirement plan, ndipo simp mmoja ambae alikua amewekwa kwa friendzone kwa miaka mingi anaitwa ASAP Rock akajitokeza kununua gazeti jioni. Ni dhahiri ukirudi miaka 19 nyuma wakati Rihana yupo kwenye ubora wake asingengekubali ku-settle na mwanaume wa level ya ASAP rock, kwa sababu kwa miaka hiyo alikua na options bora zaid levels za jay z.
Nataka nikwambie nini kijana. Moja ya kosa utakalolifanya kwenye mahusiano ni ku-settle na mwanamke ambae ni agemate wako. Nakushauri settle na mwanamke ambae umemzidi miaka 8-15.
Sababu pekee ya kukufanya ku-settle na age mate wako ni ikiwa mlianza mahusiano yenu tangu mkiwa wadogo. Lakini hawa wa kukutana nao ukubwani achana nao. At 30's a woman passes her prime, she is done with almost averything, while a man you're just getting started.
Mbali na menopause na mwanamke kuwahi kuzeeka vilevile agemate wako amekuzidi uzoefu na tricks zote kwenye nyanja ya mahusiano. Hii ni kwa sababu wanawake wanaanza kujihusisha na haya mambo mapema sana. Ni rahisi kumpata kijana wa kiume mwenye miaka 22 na hajawahi kufanya mapenzi, kuliko kumpata binti wa miaka 18 akiwa bado bikira. Mwanamke hatakiwi kukuzidi uzoefu kwa sababu wewe ndie unaenda kuwa kiongozi ndani ya nyumba
Niggaz, dating a woman of 26-30+ is not romance, it's rescuing mission. By this stage most of them have been through men you can't imagine, different bedrooms, different positions, different calibles. They have tested alphas, betas, players, hustlers, broke boys, rich boys and after years of exploration they want to rebrand themselves as serious women. Don't be deceived, its atrap. She is not looking for love anymore, she is looking for a retirememt plan.
Kumbuka pia, kuna wanaume ambao tayari washaoa hao agemates wao.. Infact hata hapa kwenye uzi wanaweza wakaja kujitetea, lakini sio kwamba hawaoni mantiki ya kinachoandikwa, isipokua wanatetea maamuzi ambayo tayari washayafanya. Maana ndio option pekee waliyobaki nayo kwa sababu hawawezi kurudisha muda nyuma. Sikatai hoja zao wala sipo hapa kuwaambia waachane na wake zao.
Nipo hapa kukusanua wewe kijana ambae bado upo upo kwanza. Najua wengi mnacheza kwenye interval age ya 25-35. Kijana, pool ya single mother, agemate na wanawake wenye miaka kuanzia 30, achana nayo,kwa sababu ukifanya risk assessment, potential loss ni kubwa zaidi ya potential benefits.
Remember, after many years of partying, living recklessly and exporation in dating pool, in the name of having fun. She will start looking for a naive and safe man who will ignore her past, carry her baggage, fix her mistakes and secure her future. Don't be that man. Date a woman in her prime. You didn't build your life to endup with a leftover.
Don't be a simp
View attachment 3557851View attachment 3557852View attachment 3557853
Kaka mkubwa ulikosa kabisa picha nzuri ya Rihana??
wabongo bana 🤣In case you don't know Macron ndiyo mke kwenye ndoa yao, Macron ni choko na yule bisexual ana ukuni.