Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 6,970
- 11,051
Visturi wanakuwaga wazuri sana mkuu easy to holdHizo sifa mbona za mtungi wa gesi mkuu š¤£
Visturi wanakuwaga wazuri sana mkuu easy to holdHizo sifa mbona za mtungi wa gesi mkuu š¤£
Hii nazipata Quebec wala si Bongo.wabongo bana š¤£
Donāt be stupidYote hayo ni sawa ika KAMA HAUNA UUME IMARA hayatatekelezeka. Jomba fanya mazoezi ya kukimbia na kegel ili upunguze kufungua nyuzi za dizain hii.
Endelea nae. Sipo hapa kuvunja mahusiano ya mtu yoyoteKwahiyo mkuu mimi Nina mshangazi wangu tumezidiana miezi tu hapo inakuwaje
Avatar isikudanganye kijanaSema li Mahondaw nalitamanigi siku nyingi ..sema basi tu I wish one day.....oh sorry ni typing error wadau..... Ni mtoto wa jirani hapa nimembeba akagusa simu bahati mbaya View attachment 3558219
Sasa kijana kutokua na hela hilo ni jambo la kushangaza? Umasikini ni starting point ya kila mtu. Ukisema wazee wa siku hizi hawana hela ndio italeta maana, kwa sababu tutahoji ujana wake aliutimia kufanya nini.Useme Hela au uwezo wa kiuchumi hawana.
Vijana wa siku hizi ni vilio kila siku, kuhusu wanawake, sishangai ushoga kushamiri kisa ni hili hili la uoga.
Hivi umeelewa mada kijana??Ndio unajua kwamba hata mimi naweza nikakugongea mkeo/demu wako leo na usifanye kitu si ndio? Sasa unashangaa nini kwa Rihanna?
Shut up that stinking mouthDonāt be stupid
Uliwahi kumpa ukaona madhaifu hayo?Yote hayo ni sawa ika KAMA HAUNA UUME IMARA hayatatekelezeka. Jomba fanya mazoezi ya kukimbia na kegel ili upunguze kufungua nyuzi za dizain hii.
Jamaa umenchesha saana.Hiyo ya ushangazi haifai Kwa wale begginers, ila sisi nyeto pro tunanyetuka na hata kivuli cha mwanamke
Ukimtia mimba atanenepa zaidi, mpigishe zoezi, kama anakupenda atabadilika tu.Kuna binti mmoja wa elfu mbili nimemzidi miaka mingi sana, mi ni mkubwa sana kwake, natamani kumuoa ila nahofia atanidodea mapema ukichukulia yeye ni bonge. Huo ubongebonge wake unatia hofu kuwa atazeeka mapema at 30.
Jamaa kaongea upuuzi mtupu, sijui ameona alichochangia kimerelate vipi na mada, kweli makada wa chama tawala ni SIFURI.Donāt be stupid
Nina mwanamke we share the same age and we're goodHapo Rihanna alikuwa ametoka kwenye uzazi mkuu.
Rihanna wa sasa huyu hapa.š
View attachment 3557897
Na wanawake asilimia 90 wakizaa huwa wanabadilika miili.
Na ni wachache huwa wanarudi kwenye normal bodies zao za mwanzo.
Sikupingi kwamba watu waoe wanawake waliowazidi umri, ila wajue pia wakishawazalisha wasitegemee wataendelea kuwa na miili kama ya mwanzo!
Wewe ni mkewe?Uliwahi kumpa ukaona madhaifu hayo?
Mwanaume anajiita mama, wewe unategemea nini?Jamaa kaongea upuuzi mtupu, sijui ameona alichochangia kimerelate vipi na mada, kweli makada wa chama tawala ni SIFURI.
Ni tatizo kubwa sana saana mkuu.Mwanaume anajiita mama, wewe unategemea nini?
No more choices no more and time was moving very fast, baada ya fashion killer tu mengine yakafuatia boom mimba ya kwanza boom mimba tena ya pili boom mimba tena ya tatu, I like this ni payment day, tunasubiri mimba nyingine mwaka huu ni mwendo wa mimba tu, halafu wanawake wengi km hujui nakujulisha ni wanajua kuwalipa wasiowadai hii iundie topic yaan wewe atakupuna vizuri sana na ufala ufala wako anakuchora tu halafu anamtafuta mchovu mchovu mmoja tu hivi fala fala zaidi yako aliejichokea muhuni muhuni tu fulani hivi anaanza kumlipa wakati wewe ulikua unampa yeye anagawa ulizokua unampa. Wahuni walioingia kichwa kichwa kwa huyo manzi wamepigwa hela mbaya halafu manzi kaenda kumpa ASAPUmaarufu na pesa ASAP rock yupo chini ya levels za rihana. Wanawake wana nature ya hypergamy. Rihana settled for ASAP rock because dating market stopped rewarding her choices.
Kumbe unaongelea mapenzi. Hata kwenye kujitaofuta unatakiwa ukae na wazee age go wakupe madini. Las mbali na vijana wenzakoMwisho wa thread hii kuna picha moja ni Criss brown na Rihana wakati wakiwa katika mahusiano kwa wakati huo walikua na miaka 19. Picha zingine mbili ni picha zao kwa sasa criss ana miaka 36 na rihana ana 37.
Umegundua nini?. Criss brown bado kijana mbichi kabisa anaeweza kuvutia hata hawa mabinti wanaochipukia wakina Tyler, wakati Rihana tayari ni mshangazi. Hawezi tena kuvutia wanaume wenye status kubwa mfano Cristiano Ronaldo.
Rihana mwenyewe aligundua hilo ndio maana baada ya kumaliza kula ujana na badboys wakina criss brown, drake n.k. Aliona menopause hii hapa acha atafute sehemu ya kutulia hata kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu.
Akaingia kazini kutafuta retirement plan, ndipo simp mmoja ambae alikua amewekwa kwa friendzone kwa miaka mingi anaitwa ASAP Rock akajitokeza kununua gazeti jioni. Ni dhahiri ukirudi miaka 19 nyuma wakati Rihana yupo kwenye ubora wake asingengekubali ku-settle na mwanaume wa level ya ASAP rock, kwa sababu kwa miaka hiyo alikua na options bora zaid levels za jay z.
Nataka nikwambie nini kijana. Moja ya kosa utakalolifanya kwenye mahusiano ni ku-settle na mwanamke ambae ni agemate wako. Nakushauri settle na mwanamke ambae umemzidi miaka 8-15.
Sababu pekee ya kukufanya ku-settle na age mate wako ni ikiwa mlianza mahusiano yenu tangu mkiwa wadogo. Lakini hawa wa kukutana nao ukubwani achana nao. At 30's a woman passes her prime, she is done with almost averything, while a man you're just getting started.
Mbali na menopause na mwanamke kuwahi kuzeeka vilevile agemate wako amekuzidi uzoefu na tricks zote kwenye nyanja ya mahusiano. Hii ni kwa sababu wanawake wanaanza kujihusisha na haya mambo mapema sana. Ni rahisi kumpata kijana wa kiume mwenye miaka 22 na hajawahi kufanya mapenzi, kuliko kumpata binti wa miaka 18 akiwa bado bikira. Mwanamke hatakiwi kukuzidi uzoefu kwa sababu wewe ndie unaenda kuwa kiongozi ndani ya nyumba
Niggaz, dating a woman of 26-30+ is not romance, it's rescuing mission. By this stage most of them have been through men you can't imagine, different bedrooms, different positions, different calibles. They have tested alphas, betas, players, hustlers, broke boys, rich boys and after years of exploration they want to rebrand themselves as serious women. Don't be deceived, its atrap. She is not looking for love anymore, she is looking for a retirememt plan.
Kumbuka pia, kuna wanaume ambao tayari washaoa hao agemates wao.. Infact hata hapa kwenye uzi wanaweza wakaja kujitetea, lakini sio kwamba hawaoni mantiki ya kinachoandikwa, isipokua wanatetea maamuzi ambayo tayari washayafanya. Maana ndio option pekee waliyobaki nayo kwa sababu hawawezi kurudisha muda nyuma. Sikatai hoja zao wala sipo hapa kuwaambia waachane na wake zao.
Nipo hapa kukusanua wewe kijana ambae bado upo upo kwanza. Najua wengi mnacheza kwenye interval age ya 25-35. Kijana, pool ya single mother, agemate na wanawake wenye miaka kuanzia 30, achana nayo,kwa sababu ukifanya risk assessment, potential loss ni kubwa zaidi ya potential benefits.
Remember, after many years of partying, living recklessly and exporation in dating pool, in the name of having fun. She will start looking for a naive and safe man who will ignore her past, carry her baggage, fix her mistakes and secure her future. Don't be that man. Date a woman in her prime. You didn't build your life to endup with a leftover.
Don't be a simp
View attachment 3557851View attachment 3557852View attachment 3557853