Lakini naelewa, naelewa sana kwanini wanaume wanaelekezwa kudate katika age gape kubwa.
Sababu sio sana za kibayolojia. Sababu hiyo hiyo bayoloji inamuadhibu mwanaume kwa mambo fulani fulani. Wanaume wakubwa mnaelewa msijitoe ufahamu.
Sababu nyingi ni za kisaikolojia, Ndoa imejengwa katika misingi ya “manipulation &control” Truth is …. when a woman develops her frontal lobe ni ngumu kumfanyia michezo asielewe na asikuhold accountable , na kikawaida wanaume ni watu wa michezo michezo, if you know you know.
So yah, to be safe oa mtu mdogo sana kwako tena before her 27! 😅
Only men who want partners can date/marry they are age mates.