binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,097
- 34,351
Watu wamekumbatiwa saa hii tumebaki sisi sumajeikeiti.Wakina Seran hawapo 😅
Watu wamekumbatiwa saa hii tumebaki sisi sumajeikeiti.Wakina Seran hawapo 😅
Wakina Seran hawapo 😅
Ingawa wanawake wanachakaa mapema hasa hawa wa buku mbili ila Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kuwa simple mbele ya mwanamke aliyechakaa hata kama maisha ni magumu sanaAkaingia kazini kutafuta retirement plan, ndipo simp mmoja ambae alikua amewekwa kwa friendzone kwa miaka mingi anaitwa ASAP Rock akajitokeza kununua gazeti jioni
Uko sahihiUtetezi namba moja.
Age sio kigezo cha usemayo case closed!
Umri haujawahi kuwa ishu hata siku moja, hako kadogo-kadogo kanaweza kukuhenyesha mpaka ukamtamani mshangazi. Kwenye ishu nzima ya Mahusiano kinachoamua mdumu au msidumu ni kwa kiwango gani mmeoana au kuendana. Vinginevyo ni sarakasi tu. Na asiwepo wa kugusa post yangu
There is nothing to tell a GIGOLO.....kuna mwenzenu Poor Brain ndo mambo yake kudate mshangazi je mnamshauri nini
ripoti ya mwaka gani, na walitumia sample population ipi, hapa Africa ama Europe?
Nipooo jirani😁Hata najua basi jirani, upo?
Allegedly, the Barbadois queen is seen pregnant again...KUDOS to rockyPicha niliyotumia ni ya ndio picha ya sasa ambayo inazunguka mitamdaoni na rihana kajifungua mtoto wake wa mwisho miaka miwili iliyopita.
Ni kweli uzazi ni moja ya factor inafanya wanawake kubadilika na kuonekana wamama zaidi. Kwahiyo kama unaona hiyo inaweza ikaleta utata kidogo then chagua dogodogo kama nilivyoshauri
Naona uzi umejaa madini ya kutosha, kazi kwenu vijana kuchukua ushauri ama kuuacha
Naona uzi umejaa madini ya kutosha, kazi kwenu vijana kuchukua ushauri ama kuuacha
Naona uzi umejaa madini ya kutosha, kazi kwenu vijana kuchukua ushauri ama kuuacha
EssilorLuxottica ndio owner wa rayban..imeanza miaka 90 ilopita there is no way Rocky owns thatASAP rock ndo kwenye brand ya Ray ban msichukulie watu poa
Nafikiri hiki kitu kipo kiasili zaidi. Wanaume hatupo ruthless kwenye kuwahukumu wanawake kama ambavyo wanawake wapo ruthless kwenye kutuhukumu sisi.Ingawa wanawake wanachakaa mapema hasa hawa wa buku mbili ila Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kuwa simple mbele ya mwanamke aliyechakaa hata kama maisha ni magumu sana
Naona umekurupuka zaidi. Almost kwenye masuala yote ili balance iwepo lazima mwanaume amzidi mwanamke.Huu uzi unanuka harufu ya vijana kuwaogopa wanawake.. inferiority complex mbele ya wanawake inawatafuna vijana hadi wanafungua nyuzi za dizaini hii. Mwanamke awe mdogo au mkubwa kiumei lazima adhibitiwe na mumewe. Tatizo kubwa lililopo kwenye jamii ni wanaume kutojiamini kunakosababishwa na upungufu wa nguvu za kiume. Hata ukimzidi mwanamke miaka 50 kama UUME HAUKO IMARA hawezi kukuheshimu.
Wanawake wa jf wanajua sana tu ilo suala, sema wengi wao ndio washaingia 30s kwaiyo wanatetea soko lao. Lakini hata wao wakati wakiwa uko kwenye 22 walikua na opinions kama za huyo binti uliekua unapiga nae storyKuna siku nilikuwa napiga story na binti mmoja hivi age 22, aliniambia kuwa hawezi kuolewa na mwanaume mwenye miaka 23-29, labda itoke bahati mbaya, kwasababu anamuona kama wanaringana , so mwanaume awe kwenye floor nyingne yaani 30+
Jamaa hampumzishi dada wa watuAllegedly, the Barbadois queen is seen pregnant again...KUDOS to rocky