Hatuna ushauri wa kumpa bwana EMMANUEL zaidi ya kumuonesha hii video.Vipi, unampa ushauri gani EMMANUEL MACRON na mkewe BRIGITTE MARIE-CLAUDE MACRON.?
Emmanuel MACRON, kazaliwa December 1977, na mkewe BRIGITTE kazaliwa April 1953.
(wakati Emanuel anazaliwa, Brigitte alikuwa na umri wa miaka 24)
NB: Emmanuel Macron, ni Rais wa sasa (2017-present) wa Ufaransa.
Natafuta Ajira wameanza kuja.Hii ndo shida ya upungufu wa nguvu za kiume na kukosa sasampa
Halafu nashangaaga humu jamvini mnatupopoaga sana mbona sisi hatusemi kuwa out of wanaume 100 wenye nguvu za kiume ni only 5%
Mbona hatusemi jamani
Ukitoa title aliyokua nayo riri.Halafu ni ma gangster,real nigga wamezaliwa atlanta northern georgia wamekulia new york...hawawezi kununua gazeti jioni labda wananunua gazeti lililosomwa na wengi
Kwamba amezeeka? Au amekua mshangazi!! Nakataa,...Ukitoa title aliyokua nayo riri.
Imagine unakutana nae kwenye daladala unaweza ukampisha seat kwa heshima.
Hatuna ushauri wa kumpa bwana EMMANUEL zaidi ya kumuonesha hii video.
Yaani rais wa nchi kama France unapigwa na mkeo mbele ya camera????
Ama kweli upele haumpati mwenyekucha.
ningekua ni mimi ningetangaza ndoa hapo hapo hata na muhudumu wa ndege na kibibi kingeenda jela
View: https://youtube.com/shorts/LwnfFlclq1s?si=ZsRJWTEEJ9IMu4Vx
Jiwe la gizani hilo. Tusubiri milio kwa litakalo mpataMwisho wa thread hii kuna picha moja ni Criss brown na Rihana wakati wakiwa katika mahusiano kwa wakati huo walikua na miaka 19. Picha zingine mbili ni picha zao kwa sasa criss ana miaka 36 na rihana ana 37.
Umegundua nini?. Criss brown bado kijana mbichi kabisa anaeweza kuvutia hata hawa mabinti wanaochipukia wakina Tyler, wakati Rihana tayari ni mshangazi. Hawezi tena kuvutia wanaume wenye status kubwa mfano Cristiano Ronaldo.
Rihana mwenyewe aligundua hilo ndio maana baada ya kumaliza kula ujana na badboys wakina criss brown, drake n.k. Aliona menopause hii hapa acha atafute sehemu ya kutulia hata kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu.
Akaingia kazini kutafuta retirement plan, ndipo simp mmoja ambae alikua amewekwa kwa friendzone kwa miaka mingi anaitwa ASAP Rock akajitokeza kununua gazeti jioni. Ni dhahiri ukirudi miaka 19 nyuma wakati Rihana yupo kwenye ubora wake asingengekubali ku-settle na mwanaume wa level ya ASAP rock, kwa sababu kwa miaka hiyo alikua na options bora zaid levels za jay z.
Nataka nikwambie nini kijana. Moja ya kosa utakalolifanya kwenye mahusiano ni ku-settle na mwanamke ambae ni agemate wako. Nakushauri settle na mwanamke ambae umemzidi miaka 8-15.
Sababu pekee ya kukufanya ku-settle na age mate wako ni ikiwa mlianza mahusiano yenu tangu mkiwa wadogo. Lakini hawa wa kukutana nao ukubwani achana nao. At 30's a woman passes her prime, she is done with almost averything, while a man you're just getting started.
Mbali na menopause na mwanamke kuwahi kuzeeka vilevile agemate wako amekuzidi uzoefu na tricks zote kwenye nyanja ya mahusiano. Hii ni kwa sababu wanawake wanaanza kujihusisha na haya mambo mapema sana. Ni rahisi kumpata kijana wa kiume mwenye miaka 22 na hajawahi kufanya mapenzi, kuliko kumpata binti wa miaka 18 akiwa bado bikira. Mwanamke hatakiwi kukuzidi uzoefu kwa sababu wewe ndie unaenda kuwa kiongozi ndani ya nyumba
Niggaz, dating a woman of 26-30+ is not romance, it's rescuing mission. By this stage most of them have been through men you can't imagine, different bedrooms, different positions, different calibles. They have tested alphas, betas, players, hustlers, broke boys, rich boys and after years of exploration they want to rebrand themselves as serious women. Don't be deceived, its atrap. She is not looking for love anymore, she is looking for a retirememt plan.
Kumbuka pia, kuna wanaume ambao tayari washaoa hao agemates wao.. Infact hata hapa kwenye uzi wanaweza wakaja kujitetea, lakini sio kwamba hawaoni mantiki ya kinachoandikwa, isipokua wanatetea maamuzi ambayo tayari washayafanya. Maana ndio option pekee waliyobaki nayo kwa sababu hawawezi kurudisha muda nyuma. Sikatai hoja zao wala sipo hapa kuwaambia waachane na wake zao.
Nipo hapa kukusanua wewe kijana ambae bado upo upo kwanza. Najua wengi mnacheza kwenye interval age ya 25-35. Kijana, pool ya single mother, agemate na wanawake wenye miaka kuanzia 30, achana nayo,kwa sababu ukifanya risk assessment, potential loss ni kubwa zaidi ya potential benefits.
Remember, after many years of partying, living recklessly and exporation in dating pool, in the name of having fun. She will start looking for a naive and safe man who will ignore her past, carry her baggage, fix her mistakes and secure her future. Don't be that man. Date a woman in her prime. You didn't build your life to endup with a leftover.
Don't be a simp
Ni taasisi gani ilifanya huu utafiti?Hii ndo shida ya upungufu wa nguvu za kiume na kukosa sasampa
Halafu nashangaaga humu jamvini mnatupopoaga sana mbona sisi hatusemi kuwa out of wanaume 100 wenye nguvu za kiume ni only 5%
Mbona hatusemi jamani
Nashaangaga sana watu wanaosema eti ndoa haijalishi umri kikubwa muendane mitazamo na nini sijui. Najisema hawa watu hawajui kitu kinaitwa menopauseUzi wenye akili kubwa huu, tukiweza kuurank, wastahili uwe ni uzi wa kwanza bora kabisa wa kufungia huu mwaka 2026.
Uzi umejikita ku unlock akili zembe na bweteki za vijana katika kuchagua wenza wa kuishi nao.
Unaoaje mwanamke makamo sawa ili iweje kwanza, maslahi?
Lakini hili la menopause ungelihariri kwa bold, walisome hata bila kuisoma topic nzima hii pendwa.
Unakuta bibi na bwana walishatalakiana huku wakiishi nyumba moja sababu ni nini, 'MENOPAUSE'.
Nimemwona ila hana hoja, ni wa kupuuzwaNatafuta Ajira wameanza kuja.
Kabla hamjaanza kuishi pamoja hamkutest mitamboMi huyu niliyenae na miaka 50 yake tabu tupu akienda kimoja hoi, namiss vijana wa miaka 30 na kitu ukitoka hapo unaumwa kilakitu ila Hawa wazee basi TU tunavumilia hakuna jinsi. Hapa natamani nibaki single nipumzike hata kidogo
Rihanna kajifungua mwaka jana, tena mwishoni mtoto wa 3.Picha niliyotumia ni ya ndio picha ya sasa ambayo inazunguka mitamdaoni na rihana kajifungua mtoto wake wa mwisho miaka miwili iliyopita.
Ni kweli uzazi ni moja ya factor inafanya wanawake kubadilika na kuonekana wamama zaidi. Kwahiyo kama unaona hiyo inaweza ikaleta utata kidogo then chagua dogodogo kama nilivyoshauri
Offcouse suala fitness lazima ulizingatie. Miaka 50 kama fitness ipo fresh mbona bado kijana kabisa. Mwanamke wa 35 hawezi kukushinda. Miaka 50 si kama edo kumwembe tu, sasa yule ni mzee wa kutolewa knock out na mwanamke wa miaka 35?Wanaume wa JF tumepagawa, kila mmoja an analeta wazo lake.
Kuna uzi humu jamaa anashauri usimzidi mwanamke wako umri mkubwa sababu mwanaume ukishazeeka, huwezi kukata kiu ya mkeo hivyo unatengeneza mazingira ya kusalitiwa.
Gap la miaka 15 (miaka 50 kwa 35). Hapo mwanaume unapiga kimoja, viwili kwa shida. Ila mwanamke kwa umri wa 35 ananitaji zaidi ya hapo.
Hatuna ushauri wa kumpa bwana EMMANUEL zaidi ya kumuonesha hii video.
Yaani rais wa nchi kama France unapigwa na mkeo mbele ya camera????
Ama kweli upele haumpati mwenyekucha.
ningekua ni mimi ningetangaza ndoa hapo hapo hata na muhudumu wa ndege na kibibi kingeenda jela
View: https://youtube.com/shorts/LwnfFlclq1s?si=ZsRJWTEEJ9IMu4Vx