Kijana, don't settle with your agemate

Kijana, don't settle with your agemate

Mwisho wa thread hii kuna picha moja ni Criss brown na Rihana wakati wakiwa katika mahusiano kwa wakati huo walikua na miaka 19. Picha zingine mbili ni picha zao kwa sasa criss ana miaka 36 na rihana ana 37.

Umegundua nini?. Criss brown bado kijana mbichi kabisa anaeweza kuvutia hata hawa mabinti wanaochipukia wakina Tyler, wakati Rihana tayari ni mshangazi. Hawezi tena kuvutia wanaume wenye status kubwa mfano Cristiano Ronaldo.

Rihana mwenyewe aligundua hilo ndio maana baada ya kumaliza kula ujana na badboys wakina criss brown, drake n.k. Aliona menopause hii hapa acha atafute sehemu ya kutulia hata kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu.

Akaingia kazini kutafuta retirement plan, ndipo simp mmoja ambae alikua amewekwa kwa friendzone kwa miaka mingi anaitwa ASAP Rock akajitokeza kununua gazeti jioni. Ni dhahiri ukirudi miaka 19 nyuma wakati Rihana yupo kwenye ubora wake asingengekubali ku-settle na mwanaume wa level ya ASAP rock, kwa sababu kwa miaka hiyo alikua na options bora zaid levels za jay z.

Nataka nikwambie nini kijana. Moja ya kosa utakalolifanya kwenye mahusiano ni ku-settle na mwanamke ambae ni agemate wako. Nakushauri settle na mwanamke ambae umemzidi miaka 8-15.

Sababu pekee ya kukufanya ku-settle na age mate wako ni ikiwa mlianza mahusiano yenu tangu mkiwa wadogo. Lakini hawa wa kukutana nao ukubwani achana nao. At 30's a woman passes her prime, she is done with almost averything, while a man you're just getting started.

Mbali na menopause na mwanamke kuwahi kuzeeka vilevile agemate wako amekuzidi uzoefu na tricks zote kwenye nyanja ya mahusiano. Hii ni kwa sababu wanawake wanaanza kujihusisha na haya mambo mapema sana. Ni rahisi kumpata kijana wa kiume mwenye miaka 22 na hajawahi kufanya mapenzi, kuliko kumpata binti wa miaka 18 akiwa bado bikira. Mwanamke hatakiwi kukuzidi uzoefu kwa sababu wewe ndie unaenda kuwa kiongozi ndani ya nyumba

Niggaz, dating a woman of 26-30+ is not romance, it's rescuing mission. By this stage most of them have been through men you can't imagine, different bedrooms, different positions, different calibles. They have tested alphas, betas, players, hustlers, broke boys, rich boys and after years of exploration they want to rebrand themselves as serious women. Don't be deceived, its atrap. She is not looking for love anymore, she is looking for a retirememt plan.

Kumbuka pia, kuna wanaume ambao tayari washaoa hao agemates wao.. Infact hata hapa kwenye uzi wanaweza wakaja kujitetea, lakini sio kwamba hawaoni mantiki ya kinachoandikwa, isipokua wanatetea maamuzi ambayo tayari washayafanya. Maana ndio option pekee waliyobaki nayo kwa sababu hawawezi kurudisha muda nyuma. Sikatai hoja zao wala sipo hapa kuwaambia waachane na wake zao.

Nipo hapa kukusanua wewe kijana ambae bado upo upo kwanza. Najua wengi mnacheza kwenye interval age ya 25-35. Kijana, pool ya single mother, agemate na wanawake wenye miaka kuanzia 30, achana nayo,kwa sababu ukifanya risk assessment, potential loss ni kubwa zaidi ya potential benefits.

Remember, after many years of partying, living recklessly and exporation in dating pool, in the name of having fun. She will start looking for a naive and safe man who will ignore her past, carry her baggage, fix her mistakes and secure her future. Don't be that man. Date a woman in her prime. You didn't build your life to endup with a leftover.

Don't be a simp
😃kijana nimekuchapa like
 
Naunga mkono hoja, mtoto wa kike piga gap hata miaka kuanzia 17 kwenda juu , but lolote ila laweza tokea. Havieleweki hivi vijimambo
Jason stathan miaka 58,yupo na girlfriend wake mwenye miaka 38. Wameeanza mahusiano yao miaka 10 iliyopita. Mwanaume kwenye maisha yako weka vizuri vipengere vya finance na fitness. Miaka 40 unanyakua binti wa miaka 20 vizuri kabisa.
 

Attachments

  • IMG_20260314_171515.jpg
    IMG_20260314_171515.jpg
    76.2 KB · Views: 2
hivi kwani kuna kanuni moja ya mapenzi inayofanya kazi kwa watu wote? 🤔

Watu wawili ambao ni adults, wakikubaliana kwa akili zao timamu kuishi kimapenzi (romantic love) inatosha sana.
Mengine tuwaachie wapenzi wenyewe (watacompare opinions na ushauri tofauti tofauti kisha maamuzi yao tutawaachia wenyewe)

Mahusiano ni mkataba, wawili wakikubaliana, sisi wengine tuwapongeze bila kujali age range yao, as long as wapo above 20 yrs of age.
 
Ujumbe wako Upo sahihi ila kumtolea mfano riyana umepuyanga pesa zipo yule hazeeki kizembe.

Kuna dogo nimempiga gape la miaka 10 aisee yeye wa 2006 hapa nainjoy maisha,anajua mimi nina 23.
Vigezo vinavyompa thamani mwanamke kwenye dating pool ni purity na loyalty sio pesa.

Rihana ana pesa nyingi zaidi ya tyler lakini uwaweke sokoni kwenye dating pool sasa hivi, soko la tyler lipo juu
 
Kwa haya madini nitatembeza like kwa kila mtu😀.
Na mimi ngoja niongezee kaushauri kidogo kwa wanaume wote,
Jitahidi kufanye mazoezi ili mwili uendane na umri wako, Wenye miili mikubwa watakua wamenielewa maana mtaani wanaonekana ni wakubwa kuliko umri wao.
 
hivi kwani kuna kanuni moja ya mapenzi inayofanya kazi kwa watu wote?

As long as watu wawili ambao ni adults wakakubaliana kwa akili zao timamu kuishi kimapenzi (romantic love) inatosha sana.
Mengine tuwaachie wapenzi wenyewe (watacompare opinions tofauti tofauti kisha maamuzi yao tutawaachia wenyewe)

Mahusiano ni mkataba, wawili wakikubaliana, sisi wengine tuwapongeze bila kujali age range yao, as long as wapo above 20 yrs of age.
Kuna factors ambazo zinachangia ufanyaji maamuzi mfano uzoefu, mentorship, exposure n.k. Wapo wengi wanafanya maamuzi bila kuwa na taarifa au maarifa sahihi na kuja kugundua makosa baadae wakiwa washapoteza hela, heshima au hadhi.

Kwahiyo suala sio kufanya maamuzi suala ni huyo mfanya maamuzi ana uzoefu na ujuzi? hapo ndipo nasaa za wakubwa zinahitajika. Teach young people early, what you learn late.
 
Vipi, unampa ushauri gani EMMANUEL MACRON na mkewe BRIGITTE MARIE-CLAUDE MACRON.?

Emmanuel MACRON, kazaliwa December 1977, na mkewe BRIGITTE kazaliwa April 1953.
(wakati Emanuel anazaliwa, Brigitte alikuwa na umri wa miaka 24)


NB: Emmanuel Macron, ni Rais wa sasa (2017-present) wa Ufaransa.
 
Jason stathan miaka 58,yupo na girlfriend wake mwenye miaka 38. Wameeanza mahusiano yao miaka 10 iliyopita. Mwanaume kwenye maisha yako weka vizuri vipengere vya finance na fitness. Miaka 40 unanyakua binti wa miaka 20 vizuri kabisa.
Naunga mkono hoja, uzuri sie hatuzeeki maini hata ukimuacha binti miaka 30 bado fresh
 
Hapo Rihanna alikuwa ametoka kwenye uzazi mkuu.

Rihanna wa sasa huyu hapa.👇
View attachment 3557897

Na wanawake asilimia 90 wakizaa huwa wanabadilika miili.

Na ni wachache huwa wanarudi kwenye normal bodies zao za mwanzo.

Sikupingi kwamba watu waoe wanawake waliowazidi umri, ila wajue pia wakishawazalisha wasitegemee wataendelea kuwa na miili kama ya mwanzo!
Picha niliyotumia ni ya ndio picha ya sasa ambayo inazunguka mitamdaoni na rihana kajifungua mtoto wake wa mwisho miaka miwili iliyopita.

Ni kweli uzazi ni moja ya factor inafanya wanawake kubadilika na kuonekana wamama zaidi. Kwahiyo kama unaona hiyo inaweza ikaleta utata kidogo then chagua dogodogo kama nilivyoshauri
 
Mke wangu alikuwa ni pisi ya kwenda yaani huyo Rihana changanya na manzi mwingine mkali unayemjua. Mtoto wa kwanza wa pili mafuta yakaanza akapata ka kitambi flani hivi sema tu yuko na salio anabalance equation yaani na vile sipendi vitambi.
 
Back
Top Bottom