britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,644
- 30,007
January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.
Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"
Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.
CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.
Britanicca