Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Na ikithibitika Chadema kuhusika? Kwanini uanze kujitetea hata kabla ya kesi kusikilizwa. Kwani wafuasi wa Chadema ni watakatifu kiasi gani?

Chadema ni chama sio mtu, nenda shule uwe na akili ukombolewe kifikra maana umasikini mkubwa unaokusumbua wewe ni wa kufikiri.

Magamba wanatumia kila njia hata kama kumuua Mwenzao kwao sio shida sana!! Lao ni Moja tu Ushindi!! Kwanza kwa Magamba Na mbembe zao sidhani kama wana huo woga wa kuweka Mabango Usiku!! Nadhani hii ni Janja tu ya kutafuta huruma ya wananchi!! Kama ni tukio la Uhalifu naomba polisi wafanye kazi yao!!

Hawa CDM vipi lakini yaani huu unyama waliomfanyia huyu kijana haukubaliki hata kidogo.
Ndio mnataka eti mpewe nchi wahuni watupu si ndio mtawachinja wananchi kama kuku

Fikiri kabla ya kuongea, nenda shule uwe huru kiakili. Hakuna mtu anayeshabikia mtu kuumia,au kuumizwa, waachie polisi wafanye kazi yao, Chadema ni chama sio mtu. Watu wangapi wamekufa kutokana na wizi unaofanywa na chama kilichopo madarakani? hao waliozama unafikiri ni nini kimewaua kama sio sera mbovu za serikali? wangapi wanakufa njaa, hospitalihazina dawa, wakina mama wanajifungulia nyumbani n.k,n.

Niwakumbushe ugaidi wa CCM wakati wa Uchaguzi wa 2010 hapa Arusha. CCM walikuwa wakiwalipa vijana wa Arusha sh 10,000/ kwa kila bendera moja ya CDM. Kwa hiyo haitashangaza sana kama wanawatumia viana wa Igunga kubandua picha za mgombea wa CDM kwa malipo yanayoweza kugharimu uhai wao.

Kwanini hukuwapeleka mahakamani kuwafungulia kesi ya kutoa rushwa?

Mjinga mwenyewe! Sisi siyo makasuku na wala wajinga kama ulivyo wewe fmpiganaji! Unafikiri kwa kutumia sehemu ya haja.......k... Wewe mtu atiwa kilema kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka mnataka tuwachekee! Haja vijana wenu wameshakamatwa sasa jitokezeni kuwatetea sasa! si mlisema sisi wazushi MMEUMBUKA Sasa

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele?

Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

Prove kuwa ni CDM na siyo Cuf,hata post yako haina mashiko.

Kwanini hukuwapeleka mahakamani kuwafungulia kesi ya kutoa rushwa?

TAKUKURU wamewapeke wana CCM wangapi na wangapi wamefungwa? TAKUKURU wenyewe walitangaza kuwakamata wana CCM wafuatao; Mh Machangu MB, Mama Sita Mb, Mh. JJ Mungai, Fred Mwakalebela na kuwapeleka Mahakamani, unaweza kutuambia wangapi wafungwa?

Fikiri kabla ya kuongea, nenda shule uwe huru kiakili. Hakuna mtu anayeshabikia mtu kuumia,au kuumizwa, waachie polisi wafanye kazi yao, Chadema ni chama sio mtu. Watu wangapi wamekufa kutokana na wizi unaofanywa na chama kilichopo madarakani? hao waliozama unafikiri ni nini kimewaua kama sio sera mbovu za serikali? wangapi wanakufa njaa, hospitalihazina dawa, wakina mama wanajifungulia nyumbani n.k,n.
Hii ndio tatizo la kuvamia thread wakati umekunywa, Valeur Brandy pamoja na Bongo Bond Whisky.
Vijana wa CDM wamemwagia Tindikali kijana mpenda amani wa Igunga, na picha wote tumeiona kwenye hii thread kalazwa hospital uso wote hautamaniki tena, wewe unatuambia twende shule kweli akili zingine masabari matupu.
Nikuulize swali wewe na Dk, Daudi Balali au Adrew Chenge, nani msomi kumzidi mwenzake?

Huo usanii wa CCM wewe! wanatafuta loop hope wameuwa mtoto kwa kumgonga na sufu sasa wanamwagia watu asidi ili watafute pa kutokea

Dah,inawezekana eh?
kwamba wametuona sisi tumeua mtoto ngoja
tuwatafutie na wao kesi kwa wananchi,...duh politics.

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

Vipi umekihusisha chama cha Chadema moja kwa moja!?,inamaana Chadema ndio wapo ktk uchaguzi tu huko Igunga!?Hii ni chuki ya wazi kabisa unaionyesha kwa Chadema dhidi ya wananchi wa Tanzania,kwa uchochezi huo mmbaya hata siku ya kufa kwako hutafunga mdomo na hakika mwenye enzi Mungu atakulipia sawa kbs na kile unachokifanya

Ccm noumaaaa walimwagia kubenea wakamuua Chifupa,wakamuua Sokoine,wakamuua Kolimba,wakamuua Abdulmani Babu,wakamuua Balali sasa wanaitafuta roho ya kijana wa Igunga!!!

umemsahau Mama Salome Mbatia . . . .

kwanza huyu mtu yuko bias amejuaje kuwa ni CHADEMA? kwani huyo anayebandika matangazo au vipeperushi amekuwa Kubenea wa gazeti la Mwanahalisi? halafu mtoa hoja amejuaje kuwa ni tindikali ili hali mganga hajatolea ufafanuzi? kama mganga haja tolea ufafanunuzi ni dhahiri na mtoa maada anajua b mtoa hoja hii alijua hata kabla ya daktari basi hii ni njama,ambayo hata huyo mtoaji anajua. WANATAKA KUPIGIWA KURA KWA KUHURUMIWA HATUDANGANYIKI

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

Mkuu unatakiwa kuwa makini sana katika kuleta mada. Unapoanza kutoa shutuma kwa CDM inaonesha kuwa busara imekuwa pembeni. Hebu jiulize maswali yafuatayo
1. Je mtu akikwambia kuwa uliwaona waliomwagia kuwa ni CDM utamjibu ndiyo?,
2. Kama uliwaona unathibitisha vipi kuwa ni CDM?(i.e Umewakuta na kadi za CDM mifukoni?)
3. Je mtu mwingine akisema kuwa Kijana huyu alikuwa wa CDM anabandua matangazo ya CCM na vijana wa CCM wakamteka na kumwagia tindikali usoni na kumwambia aseme ni CDM ili apatiwe matibabu nje ya nchi na si CCM vinginevyo watamwacha apofuke utakataa?
4. Kama hukuwepo, ni kigezo gani kimekufanya uwashambulie CDM kiasi hicho?
5. Je Mtu akisema kuwa kundi la CCM limemtoa kafara huyu kijana kwa kumwagia tindikali ili wahusishe tukio na CDM ili polisi wapate sababu za kuwakandamiza wafuasi wa CDM wasifanye siasa na hata kuwakamata wasipige kura tutakuwa tumekosea?
Katika post yako maneno pekee niliyaona yanabusara ni RED BOLDED kuwa kitendo hiki si kizuri hasa ukizingatia kuwa anapiganiwa mtu mmoja tu akasinzie bungeni na kupata posho. Je macho ya huyu kijana yanaweza kurudishwa?. Tuache ushabiki wa siasa, huwezi kuja na post biased kama hii halafu unusurike. Inaonesha wazi kuwa something is wrong. Hata maswa CCM walikimbilia conclusion kuwa Shibuda kaua na mkamuweka ndani bila sababu. Katika uchaguzi huu kila mtu anakuwa responsible kama yeye. Endapo tutasikia kauli ya viongozi wa CDM kuwataka vijana wanaowaunga mkono kuwamwagia tindikali wasiowaunga mkono hapo tutasema kuwa CDM inachochea fujo kama chama. Huu ni uzandiki mkubwa sana kuhusisha wahuni wachache na chama kinaochoonekana ni tishio. Sababu kama hizi ndizo zinatufanye sisi wengine tusio na chama kuzidi kuichukia CCM na kuomba siku moja chama chochote mbadala kishike nchi

Back
Top Bottom