yeye ndio katukaniwa mama yake sasa vipi unasema yeye ndio anatukana. acha ushabiki wewe. au ndio hukusoma post zote?Afadhali umenisemea hata mimi, huyu jamaa huwa najiuliza inakuwa vipi mtu anakuwa na arguments za ajabu ajabu. Hata kama ni CCM, he should have been strongly linked with the CCM-strengthes na siyo kutukana tukana watu. Ajenge hoja, mbona kuna mengi ya kujivunia huko CCM, lakini kwa wamelewa kodi zetu wanayasahau hata kuyatetea hawajui.