Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Inasikitisha sana jinsi wana siasa wetu wanavyochezea maisha yetu. Waliofanya hivyo wasakwe na kuchukuliwa hatua kali na kama Polisi wakishindwa kuwakamata wahusika basi jibu la chama gani kinahusika litafahamika, maana tunajua Polisi wetu wanafanya kazi kwa maslahi ya nani.
 
Hii habari inasikitisha sana Watanzania lazima tuwe makini na hawa jamaa wa CDM sio binadamu kabisa na hawana huruma hata kidogo.<br />
Wanataka kuingiza Tanzania kwenye machafuko makubwa ya umwagaji damu
<br />
<br />
Msituletee habari zenu zakizushi hapa...Chadema imewakamata pabaya.
 
Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

Hiingii akilini kabisa, alikuwa anabandika mabango USIKU!!!!!!!!!?????? Alitumwa na nani na ni mwanachama hai wa CCM au mshabiki tu???
Kama hii habari hujaiandika kishabiki basi itakuwa ni deal iliyochezwa na MAGAMBA kwa kumtuma mtu kiaina akaweke mabango usiku kisha wao wenyewe wakatuma watu wengine wamvamie ili wawadanganye wananchi kuwa ni CDM ndio wamefanya ukatili huo. Anyway, mpe pole.
 
Kama CCM mmeanza kufahamu kuwa kitendo kama hicho ni Unyama na ugaidi basi 'mmekuwa'....ungetumia kauli hiyo hiyo baada ya matukio ya Arusha, Sumbawanga,Moshi na Mwanza na sehemu nyingine ambazo sijazitaja ambako serikali ya CCM iliamrisha vibaraka wao (polisi) kufanya vitendo kama vivyo unavyoviita ugaidi na unyama....amefanyiwa mmoja wa CCM imekuwa ishu je makumi wa sehemu zingine???

Hizo ni mbinu chafu za CCM, na mara nyingi huwa wanafanya ili kuonyesha kuwa Wapinzania ni wabaya...nakumbuka katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2000 kamanda wa polisi wa Dar alionyesha Visu vyenye mipini ya rangi ya CUF wakadai kuwa eti vimeingizwa kwa ajili ya fujo, lengo ni kukidhalilisha chama kionekane kina fujo....kumbe visu hivyo vilitengenezwa na CCM wenyewe...na mpaka sasa vipo mitaani vinatumia kukata machungwa.................!

Wana Igunga mmepewa nafasi nyingine...itumieni...!
 
Siasa mchezo mchafu ukiwa kipofu huwezi tambua mchezo huu kama uchunguzi hujafanyika huna haja ya kuzungumza
 
Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

Weka picha ya aliyemwagiwa tindikali, weka picha ya waliomwagia huyo kijana tindikali. vinginevyo tutasema hiyo id yako inawakilisha jinsi ulivyo.
 
nasikitika sana watu wanaoleta siasa wakati jamaa kaumia sana,wakat anamwagiwa mm nilikuwepo kwenye gar tukimsubiria abandike zeni tusogee mbele mara wakatokea watu wakisema pipozzz ngoja tukuonyeshe nguvu ya umma wakamwagia tukafikir ni maj mara jamaa analia sana na kumchek mtu kaungua uso na kupofoka macho,nasema wakiletwa mbele yangu wale vjana waliokuwa wakisema pipoz nawakumbuka mpaka sasa.najiuliza ccm na cdm nani anatindikali nyingi? mnatupeleka wap?haya
 
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde kutoka Igunga ni kwamba huyo kijana alikamatwa wakati anataka kubandua picha za mgombea wa Chadema.
 
nasikitika sana watu wanaoleta siasa wakati jamaa kaumia sana,wakat anamwagiwa mm nilikuwepo kwenye gar tukimsubiria abandike zeni tusogee mbele mara wakatokea watu wakisema pipozzz ngoja tukuonyeshe nguvu ya umma wakamwagia tukafikir ni maj mara jamaa analia sana na kumchek mtu kaungua uso na kupofoka macho,nasema wakiletwa mbele yangu wale vjana waliokuwa wakisema pipoz nawakumbuka mpaka sasa.najiuliza ccm na cdm nani anatindikali nyingi? mnatupeleka wap?haya

Kuna taarifa za kiintelijensia zinatanabaisha kuwa ccm wamewaandaa vijana wa kufanya fujo, na inasemekana vijana hao wamepewa magwanda ya chadema ili waonekane ni wanachama wa chadema.
Taarifa zinasema kwamba vijana hao wamepata training ya kufanya fujo nje ya nchi.
Hivyo mnachokipost humu hazitubabaishi!
Kama mtaendelea kubishia hayo, hebu wekeni picha za waliomwagia huyo kijana tindikali. halafu inaonekana na wewe ni mwanga sana, kwanini mfanye kazi ya mabandiko usiku wa manane?
 
Hili nililitarajia kutoka kwenye chama kilichozoea fujo na maandamano kiasi cha kukodi wala ndumu kwenye maandamano yao. Wasiwasi wangu hii thread haitaishi kufikia asubuhi kabla haijafutwa eti kwa kuwa hakuna ushahidi. Wanasahau jinsi wanavyojaza thread za kumkashfu Kikwete kila uchao.
Thread mbona ipo mpaka sasa??
 
Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

hapo kwenye Red umesema uroho wa madaraka. kwani huyo kijana na yeye ni mgombea? kama ni mgombea au ana influence kubwa ya kusababisha ushindi kwa sisiem mpaka akamwagiwa tindikali na chama kingine?
 
nasikitika sana watu wanaoleta siasa wakati jamaa kaumia sana,wakat anamwagiwa mm nilikuwepo kwenye gar tukimsubiria abandike zeni tusogee mbele mara wakatokea watu wakisema pipozzz ngoja tukuonyeshe nguvu ya umma wakamwagia tukafikir ni maj mara jamaa analia sana na kumchek mtu kaungua uso na kupofoka macho,nasema wakiletwa mbele yangu wale vjana waliokuwa wakisema pipoz nawakumbuka mpaka sasa.najiuliza ccm na cdm nani anatindikali nyingi? mnatupeleka wap?haya

Ni kweli mambo ya namna hii yanasikitisha na kusononesha sana, haiingii hakilini kirahisi< lakini kuna maswala kadhaa ya kujiuliza hapa, na kwa sababu wewe ulkuwepo eneo la tukio unaweza kuwa shuhuda mzuri wa kutoa mwanzo wa tafakuri ambayo hatimaye itaweka wazi chanzo cha mkasa wa kigaidi kama huo.
1. Unaweza kutufahamisha tukio lilitukia mida gani na eneo gani?
2. Unasema wewe ulikuwa kwenye gari mkimsubiri mtendewa amalize kubandika tangazo, je unaweza kutueleza (a) Mlikuwa wangapi ndani ya gari?, unaweza kutupatia majina? (b) Je,Unaweza kutueleza ni watu wangapi walioshuka kubandika matangazo?
3. Baada ya kuona kijana wenu anashambuliwa, wewe ulichukua hatua gani?
Yapo mengi ya kujiuliza, lakn ukitoa mwanga kwa hayo machache utakuwa umetupatia mwanzo mzuri!

Pia naomba ufafanuzi kidogo wa kauli yako-ccm na cdm nani ana tindikali nyingi!
Natanguliza shukrani zangu mkuu.
 
3.jpg
 
mustafa ni vyema ukawa na uhakika kwa kile unachokiriport kwetu la sivyo utakuwa unapotosha umma kwa kuzungumnza kiti ambacho huna ushaidi nacho.
au ndiyo mbinu za kuichafua cdm hautafanikiwa ng'oooo. ukiisema cdm vibaya unajitafutia kuchanganikiwa.
 
MMMM hapo umempatia pia aelewe hatufurahii kitendo hicho ila tunachukizwa na mtu asie toa habari za uhakika polisi na badala yake kuchafuana kwenye jamii .kama alishuhgudia why not kutomsaidia mwenzao au kufanya juhudi za kumuokoa mwenzao au naye ni mmoja wao ajitokeze basi asaidie upelelezezi.
 
Ccm noumaaaa walimwagia kubenea wakamuua Chifupa,wakamuua Sokoine,wakamuua Kolimba,wakamuua Abdulmani Babu,wakamuua Balali sasa wanaitafuta roho ya kijana wa Igunga!!!
 
Back
Top Bottom