Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

wana jf nimeamua kuweka jamvini hili ili tulione kwa pamoja,ikumbukwe uchaguzi mkuu ulioisha dr.slaa alikuwa tishio kubwa kwa ccm wakaamua kusaka mbinu za kumchafua ndipo walipoenda wakamuonga yule aliyekuwa mme wa josephine(mke wa slaa kwa sasa)ili akafungue kesi dhidi ya slaa kuwa kamporaa mke ili hali walikuwa wamekwisha kuachana siku nyingi ili tu slaa aonekane hafai,baada ya watanzania kulipuuzia hilo ndipo tena ccm wakasuka mpango wa kummaliza kabisa huyo jamaa ili ionekane slaa kammaliza kwa kuwa kamshitaki wakamsukia ajali akagongwa akiwa katika gari yake mungu mkubwa akapona.sasa hii issue ya mtu aliyekuwa anaandaa mkutano wa ccm akamwagiwa tindikali ni ghiliba zilezile ili cdm ionekane ndo imefanya hivyo eti sasa wamemkodia ndege kumpeleka muhimbili.inatakiwa akili ya ziada kuyapambanua haya
Je, ni wagonjwa wangapi wamepewa walau lifti ya ndege to Muhimbili?

Unaushahidi aliyemwaga tindikali ni kijana wa chadema au unaropoka tu, kwanini usifikirie vyama vingine? acha ujinga wewe tupo dar lakini tunajua kinachoendelea igunga, chadema wapo makini magaidi nyie wenyewe ccm mnamtafuta mchawi hapa,mnamkosi kwa kifupi, meli imezama kwaajili yenu kaogeni mtatumalizia watu wetu.

mmemtoa kafara mwenzenu ili kupata mtaji wa kisiasa? stupid Magamba!

ccm kaza buti hata ikiwezekana wafe watu ilmradi mlirudishe jimbo lenu hata kama hao wasukuma hawataki.
wakiiona vaeni magwanda ya chadema ingieni sokoni piga watu risasi halafu mtokomee na gari iliyowekwa bendera za chadema,mpaka hapo ushindi utakuwa asilimia sitini.
ikishindikana chomeni hizo ofisi za ccm wilaya usiku,pigeni picha za watu waliovaa gwanda zitupeni eneo la tukio mkiamka asuhi mtakuwa mmepata ushindi kwa huruma ya wana igunga.
hata jambazi kuna siku anaishiwa mbinu.

ccm kaza buti hata ikiwezekana wafe watu ilmradi mlirudishe jimbo lenu hata kama hao wasukuma hawataki.

wakiiona vaeni magwanda ya chadema ingieni sokoni piga watu risasi halafu mtokomee na gari iliyowekwa bendera za chadema,mpaka hapo ushindi utakuwa asilimia sitini.

ikishindikana chomeni hizo ofisi za ccm wilaya usiku,pigeni picha za watu waliovaa gwanda zitupeni eneo la tukio mkiamka asuhi mtakuwa mmepata ushindi kwa huruma ya wana igunga.

hata jambazi kuna siku anaishiwa mbinu.

Mkuu! Naunga hoja mkono! Na ikiwezekana wawakamate baadhi ya vijana wa sisiem watakao jitoa mhanga wavalie kombati ya CDM na wafe wakiwa mfano wa kukomboa chama cha majambazi hapo Igunga. Maana inaonyesha dhahiri CCM maji imewafika shingoni.

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana.

Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

pole kwa yaliyo kukuta.ndio dunia ilivyo.Watashindana LAKINI HAWATASHINDA

Back
Top Bottom