Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Na ikithibitika Chadema kuhusika? Kwanini uanze kujitetea hata kabla ya kesi kusikilizwa. Kwani wafuasi wa Chadema ni watakatifu kiasi gani?

Kumbe hamjadhibitisha lakini mnasema ni chadema, tushike lipi sasa, tunawafahamu nyinyi, mjuwe hapo mmechemsha kuisingizia chadema, mlipewa dozi moja tu ya ufunguzi wa kampeni na bado mambo yanaendelea. Tulishawazoea utamaduni wenu wa kuwatoa watu makafara ili mpate madaraka. Hiyo ni kashfa nyingine tena mnalo.

Tutumie JF kujenga maadili ya taifa. Kurushiana lawama kabla aliyetenda hajajulikana kunatupunguzia nguvu ya kuact kwa pamoja kama JF kukemea tabia hii.
Nawaomba hivi sasa tuwe kitu kimoja, sote tukemee tabia hii. Tutake uchunguzi huru ufanyike na yeyote atakayefahamika kuhusika achukuliwe hatua kali sana za kisheria bila kuangalia chama chake.

Kwa wale ambao hampo Igunga mwaweza kuwaweka kando CDM ila ukweli ni kwamba CDM imeingiza jana Vijana 80 kutoka Tarime na wengine 300 walitangulia kabla ya uzinduzi wa kampeni zao kwa ajili ya kuleta vurugu na kondoa mabango ya wenzao. Hakika ninawaambia hali hii italeta machafuko zaidi.

Achebe, katika ishu hii ya tindikali at this stage usitupie chama chochote lawama. Tuungane kutaka uchunguzi huru ufanyike ili mhusika ajulikane na sote tuungane kumlaani. Hilo jambo ni serious na linaenda far beyond ushabiki wa vyama.

Zemarcopolo sisi tulioko huku tunajua nini kinachoendelea na tunajua kikao cha jana usiku ambacho CDM walikaa baada ya tathimini yao kuona kuna dalili za wao kushindwa. Tunajaribu kuwapa picha ya juu juu ili muelewe! Narudia kusema tukio la leo litaleta mengi zaidi coz wapo zaidi ya 400 na walitumwa kuja kufanya kazi hiyo!

Nape's troop @work.

Sasa kama mnajua ni chadema si ccm wampeleke india, maana hamkawi sema kija alifariki kwa kugongwa na gari mkadai ni cdm wanahusika!
je una uhakika gani kuwa ni wafuasi wa cdm waliofanya kitendo hiki?

Hizo ni propaganda chafu za magamba

Mnafiki Mama yako aliye kuzaa nje ya ndoa na mme tahaira

MKUU HUNA MAMA AU NDIYO WATOTO WA TEST TUBE A.K.A TEST TUBE BABIES. MBONA MATUSI HIVYO?

Kushutumu chama fulani kimefanya ni kuingilia mahakama kazi yake ya kuhukumu, wana jamvi wenzangu JF Hebu acheni vyombo vya usalama vifanye kazi yake Eti! CHADEMA........ Mbona hamkusema KUbenea alipomwagiwa tindikali? Isitoshe CCM walipeleka mafunzo vijana wao wa Green guard Sherui kwa wiki mbili sasa na juzi tu wamerudi, mafunzo hayo ya nini kama si kuvuruga amani ya Igunga?

Kama kweli kuna mtu kamwagiwa tindikali, haijalishi kamwagiwa na nani. ....

Uchunguzi huru ufanyike.
Kama haijalishi kamwagiwa na nani, uchunguzi huru ufanyike kwa ajili ya nini, kujua expiration date na concentration ya Hydrochloric Acid iliyotumika?

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

kwani kubenea alimwagiwa tindikali na wanachadema?

wewe vipi?

na huo uroho wa madaraka unausema ndo upi? kwani amemwagiwa hiyo kemikali na mmoja wa wagombea?

halafu ushaidi kwamba kamwagiwa na wanachadema uko wapi? huko si na kuna CUF, nccr, udp, ccm pia? au hivi vyama ni wasindikizaji?

Hili nililitarajia kutoka kwenye chama kilichozoea fujo na maandamano kiasi cha kukodi wala ndumu kwenye maandamano yao. Wasiwasi wangu hii thread haitaishi kufikia asubuhi kabla haijafutwa eti kwa kuwa hakuna ushahidi. Wanasahau jinsi wanavyojaza thread za kumkashfu Kikwete kila uchao.

Sisi wengine tumekuja huku JF juzikati, tulisikia kwamba ni jukwaa la watu makini, kumbe kuweza kuwa na vichwa vibovu kama Mwita25, mtoahoja asiye na hoja. Inasikitisha .. usiwe na jazba, wacha dada yako nikusaidie, jaribu kujibu hoja kama mtu mwenye mantiki, nasoma majibu yako mengi, kwa kweli yanaboa.. yanaboa sana..get it or vacate from JF.. kulipwa fedha ili uropoke ni ufisadi uleule..

Kwani aliye mwagia Kubenea tindikali ni nani?

MKUU HUNA MAMA AU NDIYO WATOTO WA TEST TUBE A.K.A TEST TUBE BABIES. MBONA MATUSI HIVYO?

Umetumwa eheee! Kama huwezi kuheshimu wengine kwanini wewe uheshimiwe? tunajuwa mengi ngoja tuweke akiba ya kesho.

Kushutumu chama fulani kimefanya ni kuingilia mahakama kazi yake ya kuhukumu, wana jamvi wenzangu JF Hebu acheni vyombo vya usalama vifanye kazi yake Eti! CHADEMA........ Mbona hamkusema KUbenea alipomwagiwa tindikali? Isitoshe CCM walipeleka mafunzo vijana wao wa Green guard Sherui kwa wiki mbili sasa na juzi tu wamerudi, mafunzo hayo ya nini kama si kuvuruga amani ya Igunga?

Huo usanii wa CCM wewe! wanatafuta loop hope wameuwa mtoto kwa kumgonga na sufu sasa wanamwagia watu asidi ili watafute pa kutokea

Mwambieni asome alama na nyakati aweza tumwa kubandika matangazo na akatolewa kafara vle vle mana hawa jamaa hawaoni shida kumpoteza mtu na kufanikisha mambo yao.Anyways just vission

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi
Kama waliomwagia ni TLP au CUF je..?we umejuaje kama ni wa CDM..,acha kufikiri kwa kutumia Masaburi..!

watakuwa ni CDM tu, nyie ndio wenye tabia za fujo.

Sisi wengine tumekuja huku JF juzikati, tulisikia kwamba ni jukwaa la watu makini, kumbe kuweza kuwa na vichwa vibovu kama Mwita25, mtoahoja asiye na hoja. Inasikitisha .. usiwe na jazba, wacha dada yako nikusaidie, jaribu kujibu hoja kama mtu mwenye mantiki, nasoma majibu yako mengi, kwa kweli yanaboa.. yanaboa sana..get it or vacate from JF.. kulipwa fedha ili uropoke ni ufisadi uleule..

Afadhali umenisemea hata mimi, huyu jamaa huwa najiuliza inakuwa vipi mtu anakuwa na arguments za ajabu ajabu. Hata kama ni CCM, he should have been strongly linked with the CCM-strengthes na siyo kutukana tukana watu. Ajenge hoja, mbona kuna mengi ya kujivunia huko CCM, lakini kwa wamelewa kodi zetu wanayasahau hata kuyatetea hawajui.

Back
Top Bottom