fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,760
- 7,487
- Thread starter
- #61
kuiba kura tena,nyathin oseketoreKuiba kura kwa kijaluo mnasemaje
kuiba kura tena,nyathin oseketoreKuiba kura kwa kijaluo mnasemaje
kadri muda unavyokwenda watu hubadilika,angalia wakati ule wa jaramogi odinga na sasa mambo yamebadilikaSio wote lakini, Mimi nimesoma Sota Primary hapo Shirati, na tulikuwa tunaoga ziwani, wengi siku hizi wame tahiriwa.
Lakini hii ilikuwa zamani sana nilipokuwa shirati sio juzi ndio maana nikasema hivyo.kadri muda unavyokwenda watu hubadilika,angalia wakati ule wa jaramogi odinga na sasa mambo yamebadilika