Chigurh
Member
- Apr 2, 2025
- 23
- 86
Najua wengi wenu hapa ni wazalendo hivyo itakua ngumu kwenu kukubali hili ntakalosema.
Kiswahili ni lugha limiting sana. Ndio, katika maisha yakawaida ya kila siku, haina shida. Leta maji, leta kikombe, nenda pale, nipe hiyo. Hapo hakuna shida, na ni vizuri nchi nzima inaongea kwa kiswahili.
ila ikija kwenye mambo ya ki-intellectual, hakuna kitu. Kila nnapojaribu kuandika mada ya maana ya kiakili kwa kutumia kiswahili, napata shida. Maneno hakuna. Tofautisha na lugha kama English ambayo ina maneno ya kuelezea chochote kile kwa kutumia maneno ambayo yanafahamika na kutumika katika maisha ya kawaida.
Huwezi ukafundisha sayansi, computer, au topic yoyote ya maana kwa kiswahili. Hata utafsiri kila kitu.
Naamini hii imechangia sana kwa Tanzania kua nyuma katika mambo ya kielimu, teknolojia, na sayansi. Angalia majirani zetu Kenya. English wanajua kwa ufasaha zaidi. Na kweli ukiangalia, wakenya wengi wapo nje katika vyuo vya maana, taasisisi za maana, profession za maana, na wanashinda tuzo mbali mbali za kielimu, teknolojia, na sayansi. Hata innovation pia wako mstari wa mbele. Ukienda wall street, utakuta wakenya.
Sasa sisi tumebaki hapa tunasema kiswahili ni uzalendo. Ni lugha nzuri kweli sikatai, ila intellectual value yake ni almost zero.
Hii post yenyewe imenitumia muda kuandika nikisaka maneno. Na mimi ni mtanzania asili, sasa sijui wakuhamia itakuaje.
Ukitaka ujue, angalia viongozi wetu, ma manager, na watu mbali mbali wanaoheshimika. Wakihutubia kwa kiswahili, wanazunguka mbuyu, wanasaka maneno ya kuelezea jambo ambalo kwa lugha nyingine, sentensi moja ingetoshea. Na mwisho wa siku, hua hawafanikiwi.
kwa wale walioelimika na wenye akili pana. Hebu jaribu kutafsiri topic ya sayansi, teknolojia, au philosophy kwa ajili ya ufundishaji, uone uzito wake.