Kijaluo ni lugha moja nzuri sana

Kijaluo ni lugha moja nzuri sana

Wajaluo ndio kabila kubwa kuliko yote Africa likiwa zaidi ya nchi kumi Africa.
Wajaluo wapo Kenya, Sudan, Ethiopia, Tanzania, congo Ituri, central Africa, Chad, Cameroon na Nigeria wa Igbo wakina Ogaa utambulisho wao ni herufi O
 
Vipi kwenye suala la umoja na makabila mengine?
wakenya ubaguzi wa makabila ni mkubwa mno,hivyo wanabaguana kwa misingi ya makabila.Kwa upande wa wajaluo wana muingiliano mkubwa na wakisii,hii ni kwa wajaluo wote,wa kenya na watanzania mfano israh patric mwenda,ni mcheza mpira wa yanga,baba yake ni chotara wa kijaluo na kikisii,anaitwa osoro patric nyawangah
 
Katika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana.

Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake.
Kuna mwaka mmoja nilienda shirati ili kupata historia ya daniel owino misiani,peter ondielo,jumaa sammy na ochimbo ja yong'o.D.O misiani alitoa santuri moja inaitwa olik tiga,aisee acha tu.Ochimbooooooooooo,ochimbo ja yong'😵riti yawaaa
Lugha nzuri sana ni kisukuma
 
Wajaluo ndio kabila kubwa kuliko yote Africa likiwa zaidi ya nchi kumi Africa.
Wajaluo wapo Kenya, Sudan, Ethiopia, Tanzania, congo Ituri, central Africa, Chad, Cameroon na Nigeria wa Igbo wakina Ogaa utambulisho wao ni herufi O

Nashangaa haujataja Uganda, niliwakuta huko pia, na wa huko wako kimya kama wa Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom