Kijaluo sio kibantu hiki n kinailotic lugha hizi zinashabihiana na zile za sudan, north uganda,some part of kenya hivo lugha hii huonekana ya ajabu hasa kwene jamiii ya kibantu kwasababu haishabihiani na lugha za makabila yote ya kibantuKatika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana.
Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake.
Kuna mwaka mmoja nilienda shirati ili kupata historia ya daniel owino misiani,peter ondielo,jumaa sammy na ochimbo ja yong'o.D.O misiani alitoa santuri moja inaitwa olik tiga,aisee acha tu.Ochimbooooooooooo,ochimbo ja yong'😵riti yawaaa
Mnapenda sn kuandamana? Ili muuze sura siyo? Nyie kwl ni maduwanziWa 255 huwa wamelala sana sio kama hawa wa 254 ukiwaita kwenye maandamano hukinukisha haswa.
ni kweli sio kibantu na kwa wabantu inaonekana tofauti kabisa,kama ambavyo kibantu kina oonekana tofauti kwa wasio wabantuKijaluo sio kibantu hiki n kinailotic lugha hizi zinashabihiana na zile za sudan, north uganda,some part of kenya hivo lugha hii huonekana ya ajabu hasa kwene jamiii ya kibantu kwasababu haishabihiani na lugha za makabila yote ya kibantu
sio ochio nade ni ichio nade na mimi nalujibu ber ainyaOchio nado
OngeAng'o ma oketore omeraa, ng'i na dhako no i ol na namba omera
Omera machegeny..Katika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana.
Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake.
Kuna mwaka mmoja nilienda shirati ili kupata historia ya daniel owino misiani,peter ondielo,jumaa sammy na ochimbo ja yong'o.D.O misiani alitoa santuri moja inaitwa olik tiga,aisee acha tu.Ochimbooooooooooo,ochimbo ja yong'😵riti yawaaa
Pia vijamaa vya kijaluo havikati kabisa ile kitu ya kihindi.....Mademu wa kijaluo ni warahisi sana lakini pia wanajua mambo.
ChundiiiiKatika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana.
Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake.
Kuna mwaka mmoja nilienda shirati ili kupata historia ya daniel owino misiani,peter ondielo,jumaa sammy na ochimbo ja yong'o.D.O misiani alitoa santuri moja inaitwa olik tiga,aisee acha tu.Ochimbooooooooooo,ochimbo ja yong'😵riti yawaaa
ni kweli wanaume wa kijaluo hawatoi magoviPia vijamaa vya kijaluo havikati kabisa ile kitu ya kihindi.....
Wajaluo nimekaa nao pande za mererani hawana bayasio ochio nade ni ichio nade na mimi nalujibu ber ainya
ni kweli wao ni kazi,kula ugali na nyama,na ulaji wao wa ugali huwa unanifurahisha sana,kwenye mkono anakuwa na tonge 2,moja ndio analila kwa kutoboa tundu katikati na kuweka mchuzi na la pili linakaa rizevu,na kila tonge linaenda na nyamaWajaluo nimekaa nao pande za mererani hawana baya
HePia vijamaa vya kijaluo havikati kabisa ile kitu ya kihindi.....
SAFI SANA.Katika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana.
Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake.
Kuna mwaka mmoja nilienda shirati ili kupata historia ya daniel owino misiani,peter ondielo,jumaa sammy na ochimbo ja yong'o.D.O misiani alitoa santuri moja inaitwa olik tiga,aisee acha tu.Ochimbooooooooooo,ochimbo ja yong'😵riti yawaaa
ndio kibantu kinaonekana tofauti kwene ulimwengu wa cushitic au niloticni kweli sio kibantu na kwa wabantu inaonekana tofauti kabisa,kama ambavyo kibantu kina oonekana tofauti kwa wasio wabantu
Sio wote lakini, Mimi nimesoma Sota Primary hapo Shirati, na tulikuwa tunaoga ziwani, wengi siku hizi wame tahiriwa.ni kweli wanaume wa kijaluo hawatoi magovi
Tunasema yawaaaaKuiba kura kwa kijaluo mnasemaje