fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,608
- 7,168
Katika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana.
Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake.
Kuna mwaka mmoja nilienda shirati ili kupata historia ya daniel owino misiani,peter ondielo,jumaa sammy na ochimbo ja yong'o.D.O misiani alitoa santuri moja inaitwa olik tiga,aisee acha tu.Ochimbooooooooooo,ochimbo ja yong'😵riti yawaaa