Townchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 15,448
- 17,259
Wakati wote wanazo sharubuPale kambale anapomtishia kambale
Wakati wote wanazo sharubuPale kambale anapomtishia kambale
Huyu dogo hajui mipaka take kiutendaji na maneno pia anayotumia kwa mtu aliyekuwa senior kwake kiutendaji.Huyu Kihongosi mbona anatumia nguvu sana kupambana na wenzake!! Ila aweke akiba ya maneno maana hizi siasa Zina kurasa nyingi sana.
Anatakiwa awajibu kina zito na kina heche.
halafu kunguni wa bi kidude amuwakia ..kazi ipo tutaona na kusikia mengiChawa wa Jiwe anapinga chanjo🤣🤣🤣
uhuni upi anaoujua polepole😀😀😀, kabaki kuwa mbunge wa viti maalum eti anajua uhunu wa chama😀😀😀😀Huyu dogo hajui mipaka take kiutendaji na maneno pia anayotumia kwa mtu aliyekuwa senior kwake kiutendaji.
Kipindi cha Papo kwa papo nilimsikia Kenan akimwambia Pole2 Shikamoo.
UVCCM Hamna katibu.Analewa madaraka ndio maana Sabaya aliingia chumbani kwako.
Mapungufu ya Polepole sio size yako Kenan.Polepole anajua uhuni mwingi wa chama kuliko wewe.
Hivi sasa hivi kupingana na mawazo au na mitazamo ya walio wengi ni makosa? Duuh.
Huyu dogo hajui mipaka take kiutendaji na maneno pia anayotumia kwa mtu aliyekuwa senior kwake kiutendaji.
Kipindi cha Papo kwa papo nilimsikia Kenan akimwambia Pole2 Shikamoo.
UVCCM Hamna katibu.Analewa madaraka ndio maana Sabaya aliingia chumbani kwako.
Mapungufu ya Polepole sio size yako Kenan.Polepole anajua uhuni mwingi wa chama kuliko wewe.
Polepole ana miaka zaidi ya babu yako!! Ni vile tu alikosa vitamin flani ndiyo maana mnamuona haelewekieleweki,heshima ichukue mkondo wake pleaseGuys kila mtu anahuru juu ya hili kwanini umulazimishe akubaliane tu kuchnanywa..overall polepole hajafika miaka 50 ndo maana nashangaa hata kilongozi kwanini amechanjwa wakati hajafika 50 unless kama anamagonjwa
Na wewe ulikuwa miongoni mwao,uko upande gani kwa sasa?Naona wanalipa kisasi jinsi Polepole alivyowafanyia ubaya enzi za mwendazake. Bashiru yupo wapi jamani ?
Mbona POLISI mnao Mpeni KESI ya UGAIDIKatibu mkuu wa Uvccm, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5.
Hiyo ni baada ya Polepole kupinga chanjo, jambo linalochukuliwa kama kupingana na Rais.
Una maoni gani kwa wana ccm hao?
View attachment 1885601
Eti? Na naaniii?Kihongosi huogopi kulogwa ?
Chanjo ni hiari, kampinga vipi rais?Katibu mkuu wa Uvccm, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5.
Hiyo ni baada ya Polepole kupinga chanjo, jambo linalochukuliwa kama kupingana na Rais.
Una maoni gani kwa wana ccm hao?
View attachment 1885601
Hatari sana mkuu!!! Yani ukisema sichanjwi nikosa na wakati huo huo wanasema ni hiariHivi sasa hivi kupingana na mawazo au na mitazamo ya walio wengi ni makosa? Duuh.
Lakini mamba huyo anajua maji yalikuwa na chumvi na yeye alishiriki kuweka chumvi.Mamba waliomo waweza wasijue maji hayo yakoje.Mkuu nguvu ya mamba iko ndani ya maji, hiyo Polepole kwa sasa ni kama mamba aliye nje ya maji.
Atatumika atatupwa mwache ajidaiHuyu Kihongosi mbona anatumia nguvu sana kupambana na wenzake!! Ila aweke akiba ya maneno maana hizi siasa Zina kurasa nyingi sana.
Anatakiwa awajibu kina zito na kina heche.
Kihongozi is a loughing stockHivi sasa hivi kupingana na mawazo au na mitazamo ya walio wengi ni makosa? Duuh.
Hili neno " kimiya" maana yake nini?Kuna vitu havitokei bahati mbaya
Linalojamba ni tumbo, makalio ni spika tu
View attachment 1885611
Ngoja tuone mwisho wa haya yote....