Mzaha huu😂😂😂HAyo mambo
ya nafsi ni mambo ya kufikirika tuu ila kiufupi ukifa umekufa na historia yako imeishia hapo yaani nisawa na unavoona panya au mbwa kafa au kiongozi yoyote wa ccm ndio basi tena
That's good question homieWe don't really die tukapotea. Ni tunabadilika matumizi tu. Thing is, as far as I know, tunakuwa rutuba ya ardhi na mambo mengine. Ecosystem tu.
Ila hapohapo nina swali la kichokozi. Kwanini binadamu ameamua kujipa umuhimu sana kuliko viumbe wengine? As if hakuna viumbe hai wengine? Mbona hatuhoji tembo akifa anaenda wapi? Au ng'ombe? Maybe we are not as important as we think.!
And why should we dwell on existential reality? Isn't it just because it's important too?It's not about importance or non importance
Tunaongelea existential wise.
Nilikuwepo na nilikuwa nawasoma tu nijifunze mnachozungumzia, i have 0 input on this.binti kiziwi bado upo lindo?
Kinachotokea hapo ni vibrationKifo na maisha vyote ni Utapeli ,hakuna uhalisia..Maisha ambayo mtu unaweza kuwa chochote muda wowote ,maisha ambayo hatuwezi kurudi nyuma basi hayana uhalisia kama ndoto...
Hata sijaelewa, kwanini usingetumia lugja moja ueleweke kuliko haya makande?Post hii imebase kwenye science na sio kwa ajili ya kudhihaki kifo.. So naomba sana mzingatie hili.
As we all know everything is energy. That tukiivunja matter tu nakutana na simplest particles ambazo Zina beba charge...
So since kila kitu in this physical universe is made up of particles, then hata sisi binadamu, Wanyama na viumbe vyote are in different to non living things
Nina maana gani,
Ya kuwa from newton's first law of energy conservation, "energy can neither be created nor destroyed" hence binadamu akifa ni ya kuwa hapotei ila nishati inabadili mfumo tu,
Kwa mantiki hiyo mtu akifariki wengi wasio na ujuzi huu huhisi kuwa amefutika noo, it's time for that energy system to shift its avatar.... Nafsi(nishati) inatoka kwenda ku occupy another body..l
Sasa je kuna haja gani ya watu kulipia mfu, wakati ni rhythm ya any energy system ya kuwa lazima azaliwe na afe.
So kumbe, kifo ni illusion... Hatufi bali tunafunga energy system ambayo haipotei.
Kwa dhana hii basi wewe haufi bali upo na ulikuwepo na utaendelea kuwepo.
Watu wenye mawazo kama wewe walikuwepo humu zamani cjui sasa hivi wako wap hivi Scars yupo kweliPost hii imebase kwenye science na sio kwa ajili ya kudhihaki kifo.. So naomba sana mzingatie hili.
As we all know everything is energy. That tukiivunja matter tu nakutana na simplest particles ambazo Zina beba charge...
So since kila kitu in this physical universe is made up of particles, then hata sisi binadamu, Wanyama na viumbe vyote are in different to non living things
Nina maana gani,
Ya kuwa from newton's first law of energy conservation, "energy can neither be created nor destroyed" hence binadamu akifa ni ya kuwa hapotei ila nishati inabadili mfumo tu,
Kwa mantiki hiyo mtu akifariki wengi wasio na ujuzi huu huhisi kuwa amefutika noo, it's time for that energy system to shift its avatar.... Nafsi(nishati) inatoka kwenda ku occupy another body..l
Sasa je kuna haja gani ya watu kulipia mfu, wakati ni rhythm ya any energy system ya kuwa lazima azaliwe na afe.
So kumbe, kifo ni illusion... Hatufi bali tunafunga energy system ambayo haipotei.
Kwa dhana hii basi wewe haufi bali upo na ulikuwepo na utaendelea kuwepo.
Unauliza wanyama wana consciousness , jibu unalo wewe ni mnyama 💯😁Point! Una point kabisa ila Mimi naona yote ni comforting yourself with fairy tales because you can't face the void.
Most people fear death. Like hivi kweli ndio nikifa sipo tena. Yeah! Tukifa ndio umekufa. Hakuna jingine. Sasa kujifariji binadamu tunakuja na hizi majibu za kujiridhisha.
Labda niulize swali, mimea na wanyama wengine wanayo consciousness?
For sure! For sure!That's good question homie
Wanyama wengine. Did you notice hio 'wengine?' 😂🤭Unauliza wanyama wana consciousness , jibu unalo wewe ni mnyama 💯😁
Tukifa ndio habari imeisha mpwa 😊Si kwenda Shue mimi ni muuza genge tuu😂