Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,448
- 4,476
Sijajua unazungumzia akili katika nyanja ipi ila generally,wanyama wanaakili sana tu;ndio maana binadamu kwakujua mapungufu yake ya akili akawadomesticate baadhi ya wanyama for his advantage.Sasa kwa nini wako kidogo?
Having better and good brain 🧠makes you more able to control others. So you take over
Intelligence walo ayo most of it ni instinctual ku support maisha yao tu. Hawana brain capacity kubwa for memory so inakuwa haina effect
wanyama kama,
Paka
Mbwa,
hawa wazee wanaakili ambayo kuna nyingine binadamu mpkaa kesho amefurukuta ameshindwa kutatua hata kwa msaada wa maroboti ila bado.
Akili ya kutengeneza asali binadamu ameangaika ameishia kutoa sukari guru😀😀😀
Wanyama hawana muda wa kupoteza kama sisi tunavyopoteza muda mpaka mwisho kifo kinafika hatujatimiza purpose zetu.
Wanyama wanajua life is a game of chance muda wa kuwekana chini miaka zaidi ya muongo kasoro wanamezeshana historia za mababu na upuuzi mwingine wa kale hawana. Wao wanapeana basics mengine kila mtu atatia akili yake na hapo ndio nawakubali hawa wakulungwa.Wao hawaishi kwa script kama sisi wao wanatamba na biti.