Kifo Ni Udanganyifu? Nishati

Kifo Ni Udanganyifu? Nishati

Kama wewe sio mwili na sio akili, na hayo mengine yote ni 'illusion'... ni nani anayebonyeza keyboard ya simu yako sasa hivi kunitumia meseji?

Huwezi kutumia akili yako (ambayo unaiita illusion) kuandika meseji, kisha ukatumia vidole vyako (ambavyo unaita illusion), kusoma maelezo yangu kwenye screen (ambayo ni illusion), alafu useme mimi ndio naongea 'fictions.'

Ukweli ni kwamba, unalazimisha nadharia ya kufikirika ili tu ukope uzima wa milele.

Hoja zimeisha sasa, hii unayo Cheza ni game ya akili ambayo tumeshaizungumzia hapo mwanzo..

Nadharia gani tena, unataka akili yako ikupe jibu isilo na uwezo nalo?

Energy haina nadharia, haiwezi kutengezwa wala kumalizwa
 
Energy haina nadharia, haiwezi kutengezwa wala
 
Tunarudi tena mwanzo? What's the physical body and mind=sio wewe. Si ndio?

Sasa je wewe ni mbegu, ubongo au energy.
Jibu unaalo... Mbegu na ubongo vyote ni matter na Zina tengenezewa na nini=energy

Rudia tu kusoma kwanza reply za nyuma utaelewa

Physically, yes...
Energetically, no

Ukikuwa utatambua sio Mungu uliye kuwa unamkataa
Physical body + mind ndio mimi. Sasa, sio mimi kivipi? Unataka kusema bila huu ubongo nilikuwepo? Wapi?

Energetically ukimaanishaje? Unaitafsiri energy vipi? Labda tuanzie hapo! Naweza kuwa nakataa kitu ambacho tunatofautian kutafsiri. Kwako energy ni nini? Hebu tuanzie hapo tena.
 
Nishati ni kila kitu, ndo chanzo cha kila kitu.

Kisayansi bado Hatujaweza kujua energy vizuri. Ila tunajua kuwa it's the property of atoms and their respective components... Na hata the tiniest particles are still energy.

Kwani mwanzo tulivyo kuwa tunasema you're not your body and mind tulimaanishaa nini?

Au ulikuwa unakubali bila kuelewa?

Wewe, ilikuwepo kabla hujajitambua, which means kilicho kuwepo before ni energy... Aside na mwili na akili. Na hicho ndio wewe

Mkuu, nasinzia sasa, rudia kuisoma comments utarudii
 
Ah! Kiumbe nilikuwepo kabla sijajitambua. Hivyo energy haina utambuzi na maana yake ni kwamba ukifa unarudi huko huko ambako hauna utambuzi unakuwa energy tu. 🤭

Nuff said. Uwe na usiku mwema.
 
Sasa kama haina jina wala form unaiitaje energy?

Unajua aina za energy?
Kwani lugha ni kitu halisi?

Nishati ni nishati tuu. Hizo sijui potential na kinetic ni zile za kisayansi zaidi ila energy ndo property ya kila kitu ikiwemo wewe, mwili na akili
 
What is reality by explanation? Tuachane na scientific truth which is observational ila kwa mfano nikikuuliza unacho ona ndo reality? It is a very difficult question because what you see is yours and yours alone

Siwezi kusema hii ndo reality it's all an illusion

Inshort ni kuwa kila kitu ni energy sisi ni watumiaji au sijui nisemeje sisi ni portal ya hizo energy..

Hakuna kingine zaidi ya hapo Na sisi(energy wise) , tupo na tutaendelea kuwepo
Kama ufahamu unatunzwa kwenye nishati upo sahihi.
 
Kifo na maisha vyote ni Utapeli ,hakuna uhalisia..Maisha ambayo mtu unaweza kuwa chochote muda wowote ,maisha ambayo hatuwezi kurudi nyuma basi hayana uhalisia kama ndoto...
 
We don't really die tukapotea. Ni tunabadilika matumizi tu. Thing is, as far as I know, tunakuwa rutuba ya ardhi na mambo mengine. Ecosystem tu.

Ila hapohapo nina swali la kichokozi. Kwanini binadamu ameamua kujipa umuhimu sana kuliko viumbe wengine? As if hakuna viumbe hai wengine? Mbona hatuhoji tembo akifa anaenda wapi? Au ng'ombe? Maybe we are not as important as we think.!
Tembo, Ng'ombe na wengineo wana lugha na dini zao. So hata wao huwa wanajua wakifa wataenda wapi. Ila sisi huwezi jua wanawaza au kujua nini kama ambavyo wao hawajui sisi binadamu tunawaza nini juu ya kifo
 
We are just another part of the system, an Ecosystem.
Hakika tuna maisha hapa duniani baada ya kufa lakini katika mfumo mwingine na mwili mwingine.
Hakuna pepo, jehanam, kuzimu wala motoni.
Hizo ahadi za peponi au motoni ni ahadi hewa. Kupeana matumaini na kutishana tu.
Tulikuwepo duniani kabla ya kuzaliwa binadamu na tutakuwepo kama 'biomass' au matamahuluku ( rutuba), mimea, funza, minyoo, ndege, samaki, hayawani wa porini au paka baada ya kufa.
Tutakuwepo pia kama nishati mfano mafuta (petroleum) mamilioni ya miaka baada ya kufa. Tutakuwa gesi n.k.
 
Ah! Kiumbe nilikuwepo kabla sijajitambua. Hivyo energy haina utambuzi na maana yake ni kwamba ukifa unarudi huko huko ambako hauna utambuzi unakuwa energy tu. 🤭

Nuff said. Uwe na usiku mwema.
Hauwezi kusema energy haina utambuzi maana utambuzi wenyewe ndio utokao kwenye energy.
 
Back
Top Bottom