Kweli?Hii mada ni ngumu sana.
Hakika ila binadamu yuko soo complacent, hataki kujifunzaInteresting topic, to me life in general is mysterious, we know pretty much nothing, nikiangalia how big the universe is,naona vitu kama dini au life theories nyingi ni kichekesho tuu, we don’t even know tumetoka wapi na tunakwenda wapi,maybe kuna siku tutajua hii siri kubwa
Na hapo ndio utaona waliotunga dini zote waliconcentrate kwa kiumbe kimoja wakasahau viumbe wengine.We don't really die tukapotea. Ni tunabadilika matumizi tu. Thing is, as far as I know, tunakuwa rutuba ya ardhi na mambo mengine. Ecosystem tu.
Ila hapohapo nina swali la kichokozi. Kwanini binadamu ameamua kujipa umuhimu sana kuliko viumbe wengine? As if hakuna viumbe hai wengine? Mbona hatuhoji tembo akifa anaenda wapi? Au ng'ombe? Maybe we are not as important as we think.!
Binadamu hasa mzungu ni tapeli la kufa mtu😀😀😀Why do we think that this whole stage (life) was designed for us and we are the main characters. I mean kesho tukiamka hakuna binadamu hata mmoja, Dunia itaendelea kuwepo niamini. Ila kuna viumbe wakipotea basi dunia inaharibika. Nahisi Dunia haituhitaji kama tunavyoihitaji.
Kwa mtazamo wangu, sisi sio wa muhimu hivyo. Na inawezekana tukifa sawa tunabadilika in terms of energy ila sio necessarily tunabaki kuwa hai. Tukifa tumekufa. Hakuna cha ziada. Tunakuwa rutuba tu.
Facts, ila mimi naona binadamu kapewa uwezo ambao hakuna mnyama ataweza kuwa naoBinadamu hasa mzungu ni tapeli la kufa mtu😀😀😀
Ukiangalia documentaries za wanyama pori wanavyoishi na harakati zao za kila siku unapata kuona binadamu ni mnyama kama mnyama mwingine.
Hawa wanyama tunawachukulia less inteligent hawa wazee ni noma sana ukute na wao wanatuona viazi tu.
Game ya life mbugani huwa ni kivumbi kama lilivyo game la uraiani.Mechi za kukimbizana na mishemishe kuwin bread ni sawa tu.Maisha mchaka mchaka hakuna kupoa.
Binadamu kwa utapeli wake amejipa umuhimu usio na uhalisia.
Acha hizo bangiPost hii imebase kwenye science na sio kwa ajili ya kudhihaki kifo.. So naomba sana mzingatie hili.
As we all know everything is energy. That tukiivunja matter tu nakutana na simplest particles ambazo Zina beba charge...
So since kila kitu in this physical universe is made up of particles, then hata sisi binadamu, Wanyama na viumbe vyote are in different to non living things
Nina maana gani,
Ya kuwa from newton's first law of energy conservation, "energy can neither be created nor destroyed" hence binadamu akifa ni ya kuwa hapotei ila nishati inabadili mfumo tu,
Kwa mantiki hiyo mtu akifariki wengi wasio na ujuzi huu huhisi kuwa amefutika noo, it's time for that energy system to shift its avatar.... Nafsi(nishati) inatoka kwenda ku occupy another body..l
Sasa je kuna haja gani ya watu kulipia mfu, wakati ni rhythm ya any energy system ya kuwa lazima azaliwe na afe.
So kumbe, kifo ni illusion... Hatufi bali tunafunga energy system ambayo haipotei.
Kwa dhana hii basi wewe haufi bali upo na ulikuwepo na utaendelea kuwepo.
ila binadamu amejitengenezea mazingira mixer na stori za kusadikika ametunga kujimwambafai kuwa yeye ndio most intelligent above other animals.Dini haikumlenga binadamu pekee!
Kapewa na nani???Facts, ila mimi naona binadamu kapewa uwezo ambao hakuna mnyama ataweza kuwa nao
Ila sijaandika upuuzi km huoNa wewe acha kula ugoroo
Brain capacityKapewa na nani???
Uwezo gani binadamu alionao ambao ukiwatazama wanyama wengine wao hawana.
Zaidi binadamu ameiharibu dunia ambayo ilikuwa imejibalance in ever sense to support life to the fullest.
Fatilia zile documentaries za wanyama ndo utajua binadamu huenda hiyo brain capacity yake ni ndogo mno kuliko ya wanyama pori.Brain capacity
Complex bodily systems
Super intelligence
Sasa kwa nini wako kidogo?Fatilia zile documentaries za wanyama ndo utajua binadamu huenda hiyo brain capacity yake ni ndogo mno kuliko ya wanyama pori.
sometimes nahisi hawa waliotunga hizi stori za kumkuza binadamu wametudanganya pakubwa.
Hao wanyama wako more intelligent and sophisticated wacha kabisa my friend😀😀
😂😂 Jamaa waliwakumbuka wanyama wengine kwenye safina ya Nuhu tu.Na hapo ndio utaona waliotunga dini zote waliconcentrate kwa kiumbe kimoja wakasahau viumbe wengine.
Soga za dini zina mapungufu mengi ya kiutunzi.
Ila jamaa waliotunga dini wanajua sana.