Wanyama wana akili kuliko sisi binadamu ingawa wote ni wanyamaNdo maana mimi kila siku nasema we humans despite having big brains we are the dumbest creatures.
Lakini pia Ukija kuangalia vitu tunavyo fagilia ni ujinga tuu, tunaharibu mazingira na kudhani nature won't balance
Haina mwanzo wala mwishoWanyama wana akili kuliko sisi binadamu ingawa wote ni wanyama
mbwa mwenye miaka mitatu ana akili za mtu wa miaka zaidi 18
Kuhusu kifo ni swala ambalo lina utata labda ujue kabla hujazaliwa ulikuwa wapi?
Kama energy haina ufahamu basi hata ukifa utakuwa huna ufahamu
Na kama energy can neither be created nor destroyed imetokea wapi na chanzo chake ni nini?
Tuanzie na source ya energy/nishati.
How? Mbona kila kitu kiko wazi?
Unatakiwa uonyeshe huo ugumu uko wapi?
What if the truth is beyond human comprehension using senses?Kwenye kuujua ukweli. Maana hakuna empirical evidence inayoonesha ukweli madai yote bado ni za nadharia tu.
Kweli?
Sijajua unazungumzia akili katika nyanja ipi ila generally,wanyama wanaakili sana tu;ndio maana binadamu kwakujua mapungufu yake ya akili akawadomesticate baadhi ya wanyama for his advantage.
wanyama kama,
Paka
Mbwa,
hawa wazee wanaakili ambayo kuna nyingine binadamu mpkaa kesho amefurukuta ameshindwa kutatua hata kwa msaada wa maroboti ila bado.
Akili ya kutengeneza asali binadamu ameangaika ameishia kutoa sukari guru😀😀😀
Wanyama hawana muda wa kupoteza kama sisi tunavyopoteza muda mpaka mwisho kifo kinafika hatujatimiza purpose zetu.
Wanyama wanajua life is a game of chance muda wa kuwekana chini miaka zaidi ya muongo kasoro wanamezeshana historia za mababu na upuuzi mwingine wa kale hawana. Wao wanapeana basics mengine kila mtu atatia akili yake na hapo ndio nawakubali hawa wakulungwa.Wao hawaishi kwa script kama sisi wao wanatamba na biti.
Hakuna kitu ambacho hakina mwanzo/source/chanzo!Haina mwanzo wala mwisho
Deep!Wanauwezo mkubwa mno my friend. Ni vile tupo kwenye dunia yenye kila aina ya distruction.Tunafeli kuobserve how intelligent and capable walivyo hao viumbe hai.
Ukiangalia kwa ndani sana binadamu ndio anacopy na kupest kila kitu kutoka kwenye nature.
Mfano mambo ya mahandaki ambapo saivi binadamu anajenga kuogopa maroketi na manuclear bombs ni dhahiri anacopy kila kitu kutoka kwa baadhi ya wanyama.Kuna wanyama mfano fuko jamii ya panga wanaweza kuchimba handaki kuanzia Manzese hapo Ubungo mpaka msamvu🙌😀😀.jamaa wanajenga tannell za kufa mtu wairani na israeli wakasome.Na hatumii saruji wala mbao wala chuma ni skills tu.
Hapo hujaongelea mchwa wanakuchimbia kichuguuu kinaurefu wa shimo la choo(septic tank).Binadamu ndio kiumbe tapelitapeli ameshapoteza uwezo wake wa kale amebakiza uzombi tu.
Baada ya kifo hakuna kinachotokea, kaka. Take it or leave it. Huo ndio ukweliUgume wake ni kuwa hakuna mwenye uhakika 100% wa kinachotokea baada ya kifo.
Una uhakika sijakua kifikra sababu akili yangu inasoma 3D?You're mind is still clinging on 3D bado hujakuwa kifikra
Every dimension is accessible open your 3rd eyeUna uhakika sijakua kifikra sababu akili yangu inasoma 3D?
OK nikuulize mind yako ipo kwenye 4D au 5D?
Mkuu usilazimishe watu wafikiri kama unavyofikiri wewe..
Hapa duniani tumekuja na hatujui tulipotoka na hatujui tunapoenda..
Ni kama mtu akuambie alikutana na jini au malaika kwenye 5D au 4D au 3D.. utamwamini?!
Baada ya kifo hakuna kinachotokea, kaka. Take it or leave it. Huo ndio ukweli