Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 21,675
- 46,500
Hahaha.Hizi zingine ni namna tu ya binadamu kujifariji kwa sababu tunayapenda maisha kuliko kawaida.
Hahaha.Hizi zingine ni namna tu ya binadamu kujifariji kwa sababu tunayapenda maisha kuliko kawaida.
How did you know you existed. Unakumbuka initial point uliyo jitambua wewe?Sure but Near death experience sio death experience. Nadhani kisayansi kifo kipo kama kabla hujazaliwa. Unakuwa tu haupo, haujui kama haupo. Umefutika na hujui kama umefutika.
Kwani saizi una kigezo gani cha kusema unajua? Maana kila kitu kinatokea bila wewe kujua.. Mind conditioning imekupa false sense of self, na internal autonomic functions zinatoka bila hata ya control yako?Excellent. Death ni kama tu kabla haujakuwepo. Ni haupo. Haujui kama upo au haupo. Ila haupo tu - umepotea.
Hizi zingine ni namna tu ya binadamu kujifariji kwa sababu tunayapenda maisha kuliko kawaida.
Ipo hivi, kama concept ya time ni illusion ya ubongo then upo sahihi, lets say jana, leo na kesho haviexist, kila kitu kipo sasa hivi ila ubongo tu ndo unaexperience moja baada ya jingine, kama ni hivyo basi kuzaliwa kwako, kuishi na kufa vyote vinaexist milele na milele.How did you know you existed. Unakumbuka initial point uliyo jitambua wewe?
Kwanini ujue ya kuwa Ukifa ndo umepotea wakati hata hujui lini ulijitambua kwa wewe ni wewe?
Am I not willing to learn, or you are the one who is not willing to learn.? The irony in this 😂This are the minds which aren't willing to learn!!
Sasa wewe ndo ulikuwa kwenye comma?
Comma is total non functioning of the mind, hakuna neuron inayo fire pale.
Sasa wakitoa ushuhuda mnawaita wachawi, sijui wanaona mapicha picha kwa nini yanamake sense kwenye reality?
A programmed mind cannot get out of the system.
Umejibu Kimkakati time ni illusion kwenye dimension hii...so hiyo point haiwezi explain on the grander schemeIpo hivi, kama concept ya time ni illusion ya ubongo then upo sahihi, lets say jana, leo na kesho haviexist, kila kitu kipo sasa hivi ila ubongo tu ndo unaexperience moja baada ya jingine, kama ni hivyo basi kuzaliwa kwako, kuishi na kufa vyote vinaexist milele na milele.
Mfano, tuchukulie jana ni sehemu kama Dar au Arusha, na Kesho ni eneo jingine mfano Mbeya. Sasa ukitoka Dar ukaenda Mbeya, Dar inafutika sababu upo Mbeya? The same case, kesho ukifa, jana yako haifutiki sababu umekufa. Ikiwezekana kutembelea jana utakutwa upo ukifanya uliyokuwa unayafanya.
But ubongo hauexperience reality in that form, ubongo unaexperience reality in a flow ya order to disorder, Mwanzo, Jana, leo, Kesho then mwisho, ndo maana tunasema kifo ni mwisho.
Mzee, hiyo unayoita internal autonomic functions ni matokeo ya ubongo. Nadhani unajua sina haja kueleza. Wala haihitaji nafsi ili moyo udunde au nivute hewa. Ipo clear hii ni ubongo unafanya kazi yake ili niishi.Kwani saizi una kigezo gani cha kusema unajua? Maana kila kitu kinatokea bila wewe kujua.. Mind conditioning imekupa false sense of self, na internal autonomic functions zinatoka bila hata ya control yako?
Una uhakika una jitambua? Unauhakika hiyo self unavyodhani ndo Ukifa unapotea ni wewe halisi? Au na wewe unajifurahisha tu
HIvi hata umeelewa tu nazungumzia kifo gani?Am I not willing to learn, or you are the one who is not willing to learn.? The irony in this 😂
Ipo hivi. Nakuuliza kwa utaratibu na upole sana - Kabla ya mwaka 1990 (au mwaka wowote ulozaliwa), ulikuwa wapi? Ulikuwa unajisikiaje? Kulikuwa na giza? Kulikuwa na maumivu? Nijibu hapa kwa kweli bila uongo kabisa.
Halafu, mimi nakubaliana na wewe binadamu au kiumbe chochote hakifi kikapotea. Kinabadilika tu matumizi, ila sio kwa namna unayosema wewe. Kwamba utabaki unajifahamu. Hapo nitakataa mpaka unithibitishie pasi na shaka.
Binadamu, pamoja na upendeleo aliopewa na nature ni wazi kwamba akifa anakufa tu. Haendi popote. Haami kwenda wapi sijui. Yaani anakuwa tu kafutika shwaa. Hakuna ufahamu wowote unaobaki, labda mpaka sayansi ipate namna ya kuhifadhi yaliyomo kwenye ubongo. Ila kama ubongo unaoza, Mzee! Basi ndio basi tena.
Na kwa theory yako (tuseme ni kweli) kama kuna server pahala basi, hata ukifa hio server inatoa signal kwa antena zilizo hai. Antena iliyokufa haitapokea signal yeyote na ndio inakuwa basi.
Haya Shikilia hapo hapo sawa.....Mzee, hiyo unayoita internal autonomic functions ni matokeo ya ubongo. Nadhani unajua sina haja kueleza. Wala haihitaji nafsi ili moyo udunde au nivute hewa. Ipo clear hii ni ubongo unafanya kazi yake ili niishi.
Kuhusu false sense of self hata kama akili yangu imepewa conditioning na mazingira, ukweli unabaki palepale kwamba huo ubongo ndio una-PROPROCESS hii dunia. Ukipigwa nondo ya kichwa sasa hivi, hiyo conditioning inaisha na unazimia hapo hapo. Maumivu unayahisi hapa, sio kwenye 'spiritual server'.
Hiyo 'self' unayosema labda sio mimi halisi mbona ikipata stroke ( kiharusi) tu hata jina lako unalisahau? Kama roho yako halisi ipo salama kureflect, mbona ubongo ukiumia kidogo tu unakuwa chizi?
Ukweli unauma, lakini we are just chemical reactions zinazojitambua kwa muda mfupi sana.
Soma tena hoja yangu, nimeanza na kama time ni illusion, sijasema time ni illusion.Umejibu Kimkakati time ni illusion kwenye dimension hii...so hiyo point haiwezi explain on the grander scheme
Tunapo kuja kuongelea energy inabidi akili yako iende beyond sio kuja na 3D perspective hapa hatuwezi kuwa on the same page
Naelewa kabisa kifo unachoongelea. Hauongelei kifo cha kumbukumbu au utambulisho (mind), unaongelea energy ambayo ndio msingi wa kila kitu. Na wote tunajua kanuni ya thermodynamics.HIvi hata umeelewa tu nazungumzia kifo gani?
Why are you talking about memory which is just a byproduct of the mind?
If you're not the mind, and body why are you still clinging on that shit?
Ufahamu na memory hazihusiani hapa.
We are talking about energy.... And that's who you really are. Memory unakuja by experiencing na conditions... Ndo maana nikakuuliza mtoto mdogo anapo zaliwa anajijua?
Hakuna server, hakuna antenna ila Kuna source, some call it God, wengine Universe.. But hayo yote ni majina tuu.
What is reality by explanation? Tuachane na scientific truth which is observational ila kwa mfano nikikuuliza unacho ona ndo reality? It is a very difficult question because what you see is yours and yours aloneSoma tena hoja yangu, nimeanza na kama time ni illusion, sijasema time ni illusion.
Unajua hakuna anayejua reality ni nini, vyote tunavyoexperience ni tafsiri ya ubongo wetu, tena ni tafsiri ya wakati uliopita maana mpaka jicho litazame, lipeleke taarifa kwenye ubongo kisha ubongo utafsiri ndo uwe na ufahamu it means huo ufahamu ulishapita, na pengine hata ubongo ulichotafsiri si kilichotokea katika ukamilifu wake au jicho halina uwezo wa kupitisha vyote vinavyohitajika kutengeneza uhalisia halisi.
Inshort, hatujui na kidogo tunachojua ni historia iliyokwishapita. So, unaweza kuwa right au wrong.
Sio kwamba haupo... In fact hata sasa hivi haupo (energetic wise hakuna empty space) so kifo ni illusion..Ndiyo maana mtoto akizaliwa hajijui kwa sababu hiyo energy yenyewe haina 'kujijua' (self-awareness) mpaka ipite kwenye ubongo na akili. Kwa hiyo, ukisema hio energy ndio wewe halisi baada ya kufa maana yake ni kwamba wewe haupo tena. Imebaki tu nishati ya ulimwengu isiyo na utambuzi wowote wala kumbukumbu yeyote.
Dah!Haya Shikilia hapo hapo sawa.....
Kama ubongo ndo una control mapigo can you make the heart stop by thinking?..
Ni kakwambia hata hiyo mind unayo fikiria ndo wewe sio.
Umesema ukipigwa unakufa yes, kwa sababu hiyo ni energy system.. Leo kwenye computer ukinyofoa processor haitawaka ila umeme uliofanywa iwake upo palepale
Bado unajikanyaga kanyaga tu, hilo sio jibu halisi tu narudi kwenye point mama ya energy na dynamics zake tuu.. (which is consciousness, which is the real you) na ni independent of the mind and bodyUbongo unazo pande mbili. Upo upande maalum wa ku-controll hayo mapigo ya moyo. Sio lazima nifikirie ili moyo udunde. Ni kazi ya ubongo wenyewe. Sasa kama hautaki, nenda pharmacy kanunue vidonge vinavyozima upande huo wa ubongo unaohusika na matukio kama hayo umeze halafu utakuja kunijibu nini kimetokea kupitia server za nafsi.
Haya maelezo yote hayajibu swali mama..Kuhusu kuchomoa processor kwenye kompyuta na umeme ukabaki hesabu ni simple hapo. Ulipochomoa hio processor ukabaki na umeme hio kompyuta uliweza kuperuzi nayo gugo? Au kupitia faili zilizokuwa kwenye kompyuta? Umeme peke yake hauna utambuzi. Unakuwa na kazi pale tu unapoingia kwenye processor (ubongo).
Kwahivyo, ubongo wako ukinyofolewa (kifo) ukabaki umeme unakuwa hauna ishu yeyote. Hauna utambuzi upo upo tu. Japo upo ila haujitambui.
Kifo ni mwisho, mazee. Hakuna nafsi!
Sipo? Kaka, acha masihara. 😂Sio kwamba haupo... In fact hata sasa hivi haupo (energetic wise hakuna empty space) so kifo ni illusion..
So Umeongelea mtoto anakuwa hajitambui so na yeye yupo au hayupo... Kwa maelezo yako ni kuwa hayupo(which is wrong)
Mtoto alikuwepo before... Kilicho tokea ni what they call divine destiny(spirituality) kwamba mbegu za baba na mama zilimesh ukatokea... But hata ulivyo tokea ulikuwa energy form.. Na utaendelea kuwa energy form utakapo kufa
Kama wewe sio mwili na sio akili, na hayo mengine yote ni 'illusion'... ni nani anayebonyeza keyboard ya simu yako sasa hivi kunitumia meseji?Bado unajikanyaga kanyaga tu, hilo sio jibu halisi tu narudi kwenye point mama ya energy na dynamics zake tuu.. (which is consciousness, which is the real you) na ni independent of the mind and body
Haya maelezo yote hayajibu swali mama..
Unacho ongelea hapo ni fictions of the mind and body which sio wewe essentially..
Wewe sio akili na mwili..
Wewe ni energy.. Hayo mengine ni illusion. Kujitambua nilikuuliza mtoto anajijua?
So bado usemi wako ni batili
Tunarudi tena mwanzo? What's the physical body and mind=sio wewe. Si ndio?Kuhusu, mtoto umeamua kunilisha maneno na unachanganya mambo. Physically, mtoto yupo ila hana self-awareness. Na mbegu za mama na baba zikikutana zinatengeneza kiumbe - hio ni simple biology kabisa. Sio devine destiny. Ni baiolojia na chemistry. Kama mbegu Iko pale na haina utambuzi ni energy mpaka ubongo utengenezwe, unaona?
Physically, yes...Kuhusu kifo kuwa illusion, swali sasa: Nyumba ikiteketea kwa moto na kuwa majivu, nyumba haijaharibika kwa sababu atomu zake bado zipo kwenye majivu?.