Kifo Ni Udanganyifu? Nishati

Kifo Ni Udanganyifu? Nishati

Unakosea kusema kinacho potea ni consciousness unless usiwe aware of spirituality
Una maana gani kusema hivi? Unataka kumaanisha wewe ukifa leo kumbukumbu zako hazitapotea?
If yes kivipi?

Na una ushahidi gani kwamba mtu akifa kumbukumbu zake huwa hazipotei?

Kwanza Science haiko nyuma ya Spirituality, hii ni mifumo miwili tofauti.
 
Wewe ni mwili plus series ya kumbukumbu ya ulichofanya, utakachofanya, ulichofanyiwa na wengine na utachofanyiwa na wengine. Hiyo kumbukumbu na mwili vikifutika ndo umeshakufa hivyo.
Hakika.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mtoa mada kufupisha hii mada labda nikuulize tu.

kama science yenyewe bado haijathibitisha kuwa consciousness huwa inaendelea ku exist baada ya kifo au kwamba huwa inahamia kwenye mwili wa mtu mwingine, kwa nini umeandika as if it's already a proven fact?

Maana hii ni mada ya science na sayansi yenyewe inahitaji evidence, na inavyoonekana evidence hauna Mkuu.
 
Una maana gani kusema hivi? Unataka kumaanisha wewe ukifa leo kumbukumbu zako hazitapotea?
If yes kivipi?

Na una ushahidi gani kwamba mtu akifa kumbukumbu zake huwa hazipotei?

Kwanza Science haiko nyuma ya Spirituality, hii ni mifumo miwili tofauti.
Basi utakuwa nyuma sana kwenye learning curve
 
Hili ndo tatizo lako, hoja zako huwa ni za juu juu tu na haujui hata namna ya kutetea hoja zako.
Badala ya kuniambia niko nyuma kwenye learning curve, jibu swali nililokuuliza. Which peer reviewed scientific evidence inaonyesha consciousness huwa inaendelea ku exist baada ya kifo?
 
I told you kuwa science in catch up kwenye spirituality ulikataa ndo nataka nije ni prove hilo kwanza.. Wewe ni kuwa you are so engaged in vitabu ambavyo vimwandjiwa na mtu kama wewe, hata intuitive mind hujui kuitumia
 
Unatumia neno science lakini hata haujui kanuni zake.

Kwamba science ina catch up kwenye spirituality? Kwa facts zipi labda?

Science inataka evidence, kama hauna evidence hii mada yako ndiyo illusion yenyewe maana kila nikiomba evidence unaishia kunipa philosophy na intuition tu.
 
Mtoa mada kufupisha hii mada labda nikuulize tu.

kama science yenyewe bado haijathibitisha kuwa consciousness huwa inaendelea ku exist baada ya kifo au kwamba huwa inahamia kwenye mwili wa mtu mwingine, kwa nini umeandika as if it's already a proven fact?

Maana hii ni mada ya science na sayansi yenyewe inahitaji evidence, na inavyoonekana evidence hauna Mkuu.
Tatizo mmekalili the only truth is in the freakn stupid makaratasii

Unajua ni jinsi gani wameficja ancient teachings kwa ajili ya control?

Akili yako iko ndani ya matrix na sishangai
 
Unatumia neno science lakini hata haujui kanuni zake.

Kwamba science ina catch up kwenye spirituality? Kwa facts zipi labda?

Science inataka evidence, kama hauna evidence hii mada yako ndiyo illusion yenyewe maana kila nikiomba evidence unaishia kunipa philosophy na intuition tu.
We unaji elewa kweli, bandiko hili nimetumia akili zangu pekee? Soma hizi study kwanza

Dynamic "Fingerprint" of Consciousness: Using resting-state fMRI, researchers identified a specific pattern of coordinated activity across far-flung brain networks that serves as a reliable marker for consciousness. This pattern was consistently present in healthy individuals and minimally conscious patients, but was absent in those in a vegetative state or under anesthesia .
· Quantifying Brain Complexity: The Perturbational Complexity Index (PCI) uses a "zap and zip" method (magnetic pulse + EEG) to measure the brain's response complexity. High PCI scores (0.31–0.70) indicate wakefulness, while scores drop below 0.31 during deep sleep or anesthesia, correlating with loss of consciousness .
· Neural Responsiveness as a Marker: A recent study showed that the amplitude of the brain's "neural response function"—its ability to respond to perturbations—is a robust indicator of consciousness. This responsiveness is strong and widespread during wakefulness, significantly suppressed under anesthesia, and re-emerges during recovery .
 
Tufanye sijielewi, ahsante.
 
Back
Top Bottom