Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,915
- 14,638
Nimekuuliza nipe form ya energy ya mwili ni ipi? Je unajua aina za energy unasema kinetic and nini sijui?Wewe ndo upo mweupe umeshindwa kutetea hoja zako, una bwabwaja tuu
Unaposema mwili una energy lazima kuwe na hiyo energy na inapoenda kwenye form nyingine inaenda form gani?
Nafsi ni nini? Roho ni nini? Nini kinakufa kwa mwanadamu? Mwili au roho? Je roho ni nishati?
Kwa kukusaidia tu.
Mwili wa binadamu unazalisha nishati aina tatu.
1. Joto - unapokufa mwili unapoa na nishati hii inatawanyika kwenye mazingira.
2. Nishati ya umeme pia hutawanyika mwili ukisimama kufanya kazi.
3. Chemikali the same.
Sasa hizo energy sio roho na zikienda mazingira mengine sio wewe zinakua kwenye form nyingine na huwezi kuzirudisha nyuma kuwa mwili na roho.
Ili uitwe wewe unahitaji nini?
Mwili
Nafsi/roho
Nishati.
Kikikosekana kimoja wewe sio wewe tena umekufa na huendi popote. Zaidi unakipa uhai kitu kingine tofauti na wewe.
Kinachotangatanga ni nafsi/roho/spirit ambacho ni kitu cha kusadikika kwa binadamu. Huwezi shika hiyo roho/nafsi.