Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Mkuu,
Bila spin wala nini, lakini Amina aliondoka kwa ngoma...hivyo hayupo kwenye orodha ya "waliouawa."!! Kama huamini, basi ulizia contacts zako za kitabibu pale dar! Crypto ile, hands down.
Hakuna Matata......haya wamebakia Kolimba,Imran Kombe,Mbatia,Sokoine.......
 
Sifikirii na sipendi kufikiria kuwa bado wananchi mpaka sasa ivi hatujatambua kua Serikali ndio wako Behind This.. Na nia yao kuu ni moja..kuusambaratisha upinzani kila kona,.na kati yamuhimili mkubwa wa upinzani kwa sasa ni Chadema..na ona hawa watu walivyokua na akili nzuri sema fupi..wamejitahidi kumuua huyu jamaa siku moja kabla ya marehemu kwenda kufanya Press Conference ya kupinga maamuzi ya Chadema na nia yake ya kulipeleka jambo hilo mahakamani na sasa ivi wanajitahidi na ndio nia yao hasa kupiitia TBC kuwafanya wananchi waunganishe tukio hilo la ajali na tukio ambalo lingetokea kesho yake kama marehemu angekua alive kuichafua Chadema mbele ya wananchi ambao kwa sasaivi wametokea kuanza ku i feel ladha ya upinzani na ni tishio kubwa kwa Serikali ya CCM.... Wangwe kwa bahati mbaya sana amekua ni Victim wa hii Masterplan ya Gvt ya CCM.......kama kuna mtu aliangalia jana taarifa ya habari ya TBC ya saa mbili usiku basi atakua yuko pamoja nami kuona ni namna gani serikali inavyojitahidi ku connect suala hili la ajali na kifo cha wangwe na mtafaruku uliokua unaendelea Chadema ili kutufanya wananchi wengi tuamini kuna kitu kimefanywa na hawa jamaa wa upinzani kuzuia hayo yaliyokua yanatakiwa ya tokee kesho yake kama marehemu angekua hai............mnatakiwa mjue silaha kubwa sasa ivi ya serikali katika hili ni TBC...mtaendelea kuona mengi kadri mda unavyozidi kwenda....lakini mungu ni mkubwa nyeusi itaonekana ni nyeusi na nyeupe itaonekana ni nyeupe tu!
 
hili suala limefikia pahala ya kuwa hata tukiambiwa ukweli tutaukataa .....kwa kuwa si ukweli tunaotaka kuusikia na tayari tumeshajenda ukweli wetu.
 
Jambo kubwa na ambalo ningetaka wenzangu humu mulijadili kwa kina na kuangalia kinachoendelea ni kuwa ukisoma magazeti yote ya leo isipokuwa Tanzania daima na Mwananchi ambayo yaliripoti taarifa hiyo utaona ya kuwa mwandishi wa habari hiyo alikuwa ni mtu mmoja.

Ukianza kusoma Nipashe,majira,mtanzania,kulikoni,uhuru na habari leo utaona hiki ninachosema ,kwani kuna paragrafu tatu zinafanana kila sentensi na ni zile zinazohusiana na Mbowe jinsi alivyowasili Kemakorere.

Nimefanya uchunguzi wangu tangu asubuhi leo na nimeweza kujua kuwa habari hiyo ilitumwa na Mwandishi mmoja ambaye naomba kumtaja baadae huyu mwandishi ni mwandishi wa IPP Media,na yuko based Mkoa wa Mara.

Nowashuri muweze kusoma hicho ninachosema kwenye magazeti niliyotaja ,na kisha mtaweza kuupata ukweli wenyewe jinsi ulivyo, haiwezekani waandishi tofauti wakaandika kitu kile kile kwa maneno yaleyale na paragrafu zilezile,na kila penye koma,nukta na hata mkato pakawa ni pale pale.

Nimegundua kuwa Rostam Aziz jana amekutana na wahariri na wale ambao hawakwenda aliwapigia simu kuanzia saa tisa na dakika 26 jioni na kuanza kufanya kazi yake,na ilipofikia jioni akakutana na wahariri wa habari na kuwapa bahasha maalum kwa ajili ya kuitumia story hiyo, na kuwaahidi kuwapatia donge nono na hizi nina uhakika nazo nasubiri muda wa kuziweka hadharani .

Tatu, waandishi ambao majina yao yametumika kwenye magazeti niliyotaja hawapo na kwa vile vyombo vilivyoandika majina ni majina ya kutungwa kwani waliokuwepo huko leo wamekaa na kutoa msimamo kuwa ni kwanini habari zao hazikutumika kama walivyotuma .

Prof. Wangwe anategemewa kutoa tamko jioni hii kuhusiana na habari zilizoandikwa kuhusiana na Mbowe kutimuliwa kwa mapanga,marungu n.k. ila alikuwa anashauriwa na watu watatu waliokuwa naye kuwa asifanye hivyo ila yeye anaonekana kuwa na msimamo wa kutaka kusema kilichojiri na kutoa tamko rasmi la familia .

Naenda tena kupata habari nyingine za kina kwani imebidi nikaweka watu maalum huko kwa ajili ya kuhakikisha kuwa napata habari za kweli na kuna siku nitajitambulisha rasmi kuwa mimi ni nani ,na haya maandishi yangu yataendelea kuwa ni ukweli, nakumbuka jana niliandika na kuna mtu aliniuliza humu kama ninayoandika kuhusiana na magazeti yataripoti nini kama ni ukweli nami nilimjibu kuwa ni ukweli..Ndugu,Mtanzania unakumbuka ni wewe uliniuliza jana majira ya mchana saa za huku ila ilikuwa majira ya jioni huko nyumbani kama sio usiku.
 
yaah! since i am a free man i am free to think that pursuasion has been made by parties so to avoid the shed of blood. I am free to think using circumstantial evidence.
 
kiranja,
naona rostam anataka kutuutumia vilivyo msemo wakiswahili wa kuwa kufa kufaana!

ila waanike hapa tuwajue hao wanaofanya ufisadi wa kupandikiza habari
 
Hiii ni hatari sio tu kwa uhuru wa habari, bali kwa mstakabali wa Demokrasia na amani ya Tanzania. Ina maana kwa kupitia kifo cha Wangwe wataisambaratisha CHADEMA, mimi sio mwanachama wa chama chochote lakini naona it is unfair, nikiwa mkereketwa wa demokrasia I apeal to u all, that something must be done to sTop this nonsense
 
Jambo kubwa na ambalo ningetaka wenzangu humu mulijadili kwa kina na kuangalia kinachoendelea ni kuwa ukisoma magazeti yote ya leo isipokuwa Tanzania daima na Mwananchi ambayo yaliripoti taarifa hiyo utaona ya kuwa mwandishi wa habari hiyo alikuwa ni mtu mmoja.

Ukianza kusoma Nipashe,majira,mtanzania,kulikoni,uhuru na habari leo utaona hiki ninachosema ,kwani kuna paragrafu tatu zinafanana kila sentensi na ni zile zinazohusiana na Mbowe jinsi alivyowasili Kemakorere.

Nimefanya uchunguzi wangu tangu asubuhi leo na nimeweza kujua kuwa habari hiyo ilitumwa na Mwandishi mmoja ambaye naomba kumtaja baadae huyu mwandishi ni mwandishi wa IPP Media,na yuko based Mkoa wa Mara.

Nowashuri muweze kusoma hicho ninachosema kwenye magazeti niliyotaja ,na kisha mtaweza kuupata ukweli wenyewe jinsi ulivyo, haiwezekani waandishi tofauti wakaandika kitu kile kile kwa maneno yaleyale na paragrafu zilezile,na kila penye koma,nukta na hata mkato pakawa ni pale pale.

Nimegundua kuwa Rostam Aziz jana amekutana na wahariri na wale ambao hawakwenda aliwapigia simu kuanzia saa tisa na dakika 26 jioni na kuanza kufanya kazi yake,na ilipofikia jioni akakutana na wahariri wa habari na kuwapa bahasha maalum kwa ajili ya kuitumia story hiyo, na kuwaahidi kuwapatia donge nono na hizi nina uhakika nazo nasubiri muda wa kuziweka hadharani .

Tatu, waandishi ambao majina yao yametumika kwenye magazeti niliyotaja hawapo na kwa vile vyombo vilivyoandika majina ni majina ya kutungwa kwani waliokuwepo huko leo wamekaa na kutoa msimamo kuwa ni kwanini habari zao hazikutumika kama walivyotuma .

Prof. Wangwe anategemewa kutoa tamko jioni hii kuhusiana na habari zilizoandikwa kuhusiana na Mbowe kutimuliwa kwa mapanga,marungu n.k. ila alikuwa anashauriwa na watu watatu waliokuwa naye kuwa asifanye hivyo ila yeye anaonekana kuwa na msimamo wa kutaka kusema kilichojiri na kutoa tamko rasmi la familia .

Naenda tena kupata habari nyingine za kina kwani imebidi nikaweka watu maalum huko kwa ajili ya kuhakikisha kuwa napata habari za kweli na kuna siku nitajitambulisha rasmi kuwa mimi ni nani ,na haya maandishi yangu yataendelea kuwa ni ukweli, nakumbuka jana niliandika na kuna mtu aliniuliza humu kama ninayoandika kuhusiana na magazeti yataripoti nini kama ni ukweli nami nilimjibu kuwa ni ukweli..Ndugu,Mtanzania unakumbuka ni wewe uliniuliza jana majira ya mchana saa za huku ila ilikuwa majira ya jioni huko nyumbani kama sio usiku.

Mkuu,
Asante sana kwa kuamua kuwa muwazi.Wewe umechagua kutokua mnafiki.Wanasema Tanzania ina wenyewe.NANI KASEMA? Sisi ndiyo wenyewe ati,mtu asije akajifanya ana uwezo wa kutufayia vile anavyotaka.

Asante mkuu
 
Ndugu wanaJF wenzangu tukubali tu kuwa hapa tumeshapigwa changa la macho kuhusiana na ushunguzi wa kifo cha mpendwa wetu- tulie, tugome tuandamane jibu limeshapatikana kwa mujibu wa serikali yetu TUKUFU na hilo ndio litabakia kuwa jibu milele bila kujali kama tumeridhika au la.

Ni kama vifo vingine vilivyokuwa na utata, tukadanganywa tukadanganyika - hatuna la kufanya ... at least not at the moment.

Poleni familia
poleni wana Tarime
Poleni CHADEMA
Poleni watanzania

POLENI WANAJF.. kwa kumpoteza Comrade Mpigania haki za wanyonge.

Rest in Peace Comrade Chacha Zakayo Wangwe.
 
Wangwe alikuwa na nguvu sana na alisema hatima yake iko kwa wanachama.ina maana anakubalika.
na MBowe alisema kuwa Wangwe anauza siri zao na walimkataza hasikii, kwa kauli hiyo wanaweza kumdhuru kama wale KGB walivyomfanya yule Mrusia aliyekwenda Uingereza kiasi ya kuwa UK na russia hawana mahusiano mazuri.IT MORE LIKELY CHADEMA WAMEMBOWESHA WANGWE ili siri zao zisivuje.

Pia uko right kufikiria hivyo,lakini ningekuona mwenye akili na mwenye fikra za kiutu uzima kama ungeenda extra miles na kufikiria kuwa CCM wanaweza kuwa wame-take advantage of their disputes to Eliminate him?

Acha propaganda hafifu mkuu,wewe umekua.Ebo!
 
mengi nilishasema mwanzoni kabisa ya risasi na kwamba hakukuwa na ajali and so.......,

siku tutakayo tamani tufe ni pale mbunge mpya wa tarime atakapokuja kumuuliza PM bungeni, mh. kwanini chacha alikufa? na majabu yatakapokuwa, ilibidi afe hili kulinusuru taifa.

hivi taifa taifa hili ni taifa gani linalolindwa kwa kila hali.nisingejua maana ya neno UFISADI mpaka leo kama taifa lingekuwa kweli linalindwa!
 
Jambo kubwa na ambalo ningetaka wenzangu humu mulijadili kwa kina na kuangalia kinachoendelea ni kuwa ukisoma magazeti yote ya leo isipokuwa Tanzania daima na Mwananchi ambayo yaliripoti taarifa hiyo utaona ya kuwa mwandishi wa habari hiyo alikuwa ni mtu mmoja.

Ukianza kusoma Nipashe,majira,mtanzania,kulikoni,uhuru na habari leo utaona hiki ninachosema ,kwani kuna paragrafu tatu zinafanana kila sentensi na ni zile zinazohusiana na Mbowe jinsi alivyowasili Kemakorere.

Nimefanya uchunguzi wangu tangu asubuhi leo na nimeweza kujua kuwa habari hiyo ilitumwa na Mwandishi mmoja ambaye naomba kumtaja baadae huyu mwandishi ni mwandishi wa IPP Media,na yuko based Mkoa wa Mara.

Nowashuri muweze kusoma hicho ninachosema kwenye magazeti niliyotaja ,na kisha mtaweza kuupata ukweli wenyewe jinsi ulivyo, haiwezekani waandishi tofauti wakaandika kitu kile kile kwa maneno yaleyale na paragrafu zilezile,na kila penye koma,nukta na hata mkato pakawa ni pale pale.

Nimegundua kuwa Rostam Aziz jana amekutana na wahariri na wale ambao hawakwenda aliwapigia simu kuanzia saa tisa na dakika 26 jioni na kuanza kufanya kazi yake,na ilipofikia jioni akakutana na wahariri wa habari na kuwapa bahasha maalum kwa ajili ya kuitumia story hiyo, na kuwaahidi kuwapatia donge nono na hizi nina uhakika nazo nasubiri muda wa kuziweka hadharani .

Tatu, waandishi ambao majina yao yametumika kwenye magazeti niliyotaja hawapo na kwa vile vyombo vilivyoandika majina ni majina ya kutungwa kwani waliokuwepo huko leo wamekaa na kutoa msimamo kuwa ni kwanini habari zao hazikutumika kama walivyotuma .

Prof. Wangwe anategemewa kutoa tamko jioni hii kuhusiana na habari zilizoandikwa kuhusiana na Mbowe kutimuliwa kwa mapanga,marungu n.k. ila alikuwa anashauriwa na watu watatu waliokuwa naye kuwa asifanye hivyo ila yeye anaonekana kuwa na msimamo wa kutaka kusema kilichojiri na kutoa tamko rasmi la familia .

Naenda tena kupata habari nyingine za kina kwani imebidi nikaweka watu maalum huko kwa ajili ya kuhakikisha kuwa napata habari za kweli na kuna siku nitajitambulisha rasmi kuwa mimi ni nani ,na haya maandishi yangu yataendelea kuwa ni ukweli, nakumbuka jana niliandika na kuna mtu aliniuliza humu kama ninayoandika kuhusiana na magazeti yataripoti nini kama ni ukweli nami nilimjibu kuwa ni ukweli..Ndugu,Mtanzania unakumbuka ni wewe uliniuliza jana majira ya mchana saa za huku ila ilikuwa majira ya jioni huko nyumbani kama sio usiku.
Kwamba wewe unataka kuwaambia watu kuwa Mbowe hakuwa kwenye wakati mgumu, na wala hakuondolewa pale akisindikizwa na askali. Mimi nilikuwepo jana na hivi niko Mwanza yaliyoandikwa ni kweli ndivyo ilivyo kuwa na kama hamuamini muone kama siku ya mazishi Mbowe atakuwepo. Halafu kuhusu habari kufanana hiyo siyo ajabu inategemeana na chanzo cha habari
 
Ndugu someni magazeti yote mtaona kuwa jina la Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI amaeitwa Joseph Mbatia badala ya James Mbatia.
 
Kwa kweli Tanzania tunatia aibu and yet we are preaching ukweli na uwazi!! Hatuna tofauti na Uganda ya enzi za Idd Amini Dada
 
Hata mimi nilijiuliza maswali mengi kuhusu walichokionesha TBC1 jana.Nampongeza sana Mnyika kwa kumjibu ipasavyo yule mtangazaji.

Hata hivyo napenda kurejea kauli ya Dr Harrison Mwakyembe, wakati fulani alisema WATANZANIA SIYO MABWEGE TENA'.Huu ndio ukweli.Serikali itafichaficha sana lakini ukweli utaanikwa tu.

Kwa waliotizama taarifa siku ya kwanza taarifa za ajali zimevikia vyombo vya habari wanakumbuka kauli ya Dr Slaa kuwa yeye na CHADEMA hawaamini kuwa ni ajali.Alikiri mwanzoni kabisa kuwa kuna watu nyuma ya kifo cha Wangwe.Chadema wamekuwa wakwanza kumwandikia IGP kumwomba afanye uchunguzi.
Chadema wanajua iko njama na sisi tunajua njama siyo ya Chadema bali ya hao wasiopenda kuambiwa ukweli na kuibuliwa madhambi yao.

Chacha Wangwe alikuwa anapigania mambo mawili makubwa:

Ishu ya madini na ishu ya mapigano na mauaji ya tarime.

Amekuwa silenced na system na huyo siyo wa mwisho.Wapo wengi sana...Dr Slaa aliomba jeshi la polisi liwapatie wabunge wa upinzani ulinzi, hakukosea.

Kama CHADEMA wana uhakika kuwa wako safi katika hili ni vema wa wakatafuta uwezekano wa kuwaita SCOTLAND YARD na hiyo ripoti waitoe hadharani; wasiogope gharama maana hiyo itawasaidia kujiosha
 
Kama kuna wakati ambapo uchunguzi huru kweli unahitajika ni kwenye hiki kifo cha Mhe. Wangwe. Hakuna kitu kitakachosemwa na serikali au taasisi ambacho watu watakikumbatia na kukubali na bila ya shaka vitakavyosemwa na familia au jamaa zake na Chadema nacho kitakuwa na utata. Nimeandika kwa urefu "utata" huo kwenye gazeti la kesho, na kwa makini sijahusisha suala la risasi hata kidogo kwa sababu siamini kuwa ilikuwa ni risasi. Walipogeuza kuwa ni suala la risasi wamebadilisha mjadala kabisa kwa sababu kwa makosa watu wanaweza kuhitimisha kuwa "no bullet, no assassination" kitu ambacho kinaweza kuwa kosa kubwa sana.

Suala la madai ya kifo cha risasi ni kupoteza lengo sana; Tangu juzi nimeitisha kuwa kuna haja ya Kikosi cha Scotland Yard kuitwa kufanya uchunguzi huru kwani uchunguzi wa serikali si huru na ule wa familia si huru kwani vyote viwili vimeangalia mwili kitu ambacho kinafanywa katika ajali nyingi.

Suala zima ni mazingira ya safari na ajali yenyewe kwani kufanya kitu kibaya kwa mtu siyo lazima utumie risasi.

Kuhusisha kifo hiki na CCM au Chadema ni kosa kubwa na kwa yeyote anayesoma maandishi yangu sijaelekeza tuhuma kwa Chama chochote kile au mtu isipokuwa kuonesha utata uliopo na ya kuwa ufunguo wa utata huo Malya na ushahidi uliopo.

Naamini kama wabunge wa CCM na wa Upinzani na viongozi wao wakiungana kuitisha NSY waje kufanya uchunguzi kama walivyoitwa kwenye kifo cha Ouko, Bhutto, au hivi karibuni huko Antigua naamini ndio njia pekee ya kuonesha ukweli na kuondoa utata.

Yule ambaye hatotaka NSY kuja na kupewa ushirikiano wote mara moja; huyu ndiye nitamshuku. Sasa nani atakuwa wa kwanza kuitisha kwa NSY na hana kitu cha kuficha na yuko tayari NSY kufanya uchunguzi wote na yeye kutoa ushirikiano wote?

Suala la madaktari kuchunguza nadhani watu wengi wanafikiri kila daktari anaweza sababu ya kifo. Si kweli, katika nchi nyingine kuna madaktari na wataalamu ambao wanafanya kazi hiyo tu na wamebobea katika uchunguzi wa namna hiyo; sehemu nyingine wanaitwa coroners au medical examiner.

Sijui daktari aliyefanyia uchunguzi Dodoma anaujuzi gani katika post-mortem; hii ni tofauti na wale pathologists ambao wengi pia ndio hufanya kazi za coroners na ME.

Miye nasema tuitishe NSY kama hakuna cha kufichwa na ni kweli na tukubaliane lolote watakalosema lifunge mjadala au lianze criminal procedure. Vinginevyo tukubali tu yaishe, tusubiri mwingine aondoke kwa ajali ya baiskeli.
 
Last edited by a moderator:
Kwamba wewe unataka kuwaambia watu kuwa Mbowe hakuwa kwenye wakati mgumu, na wala hakuondolewa pale akisindikizwa na askali. Mimi nilikuwepo jana na hivi niko Mwanza yaliyoandikwa ni kweli ndivyo ilivyo kuwa na kama hamuamini muone kama siku ya mazishi Mbowe atakuwepo. Halafu kuhusu habari kufanana hiyo siyo ajabu inategemeana na chanzo cha habari

Meaning magazeti yote yanategemea chanzo kimoja cha habari?? Waandishi wa habari walivyo wengi hapa Tanzania inawezekana kweli magazeti yote yakapata chanzo kimoja tu? Then that mwandishi must be danm good kiasi cha kuweza kuwainfluence magazeti yote
 
Kwamba wewe unataka kuwaambia watu kuwa Mbowe hakuwa kwenye wakati mgumu, na wala hakuondolewa pale akisindikizwa na askali. Mimi nilikuwepo jana na hivi niko Mwanza yaliyoandikwa ni kweli ndivyo ilivyo kuwa na kama hamuamini muone kama siku ya mazishi Mbowe atakuwepo. Halafu kuhusu habari kufanana hiyo siyo ajabu inategemeana na chanzo cha habari

Acha unafiki, haiwezekani magazeti yote yashindwe kuandika jina la James Mbatia, wamuite Joseph Mbatia.

Pili mwandishi wa habari hiyo ni mfanyakazi mmoja wa IPP MEDIA.

Tatu, kuwa palikuwa na vurugu ni kweli ila zilianza pale Prof,Wangwe alipotaka kutoa matangazo ya familia kuhusiana na mazishi na hapo ndipo wananchi walipaza sauti na kusema toka hapo kama unataka ubunge hamia CHADEMA.......sasa wewe kama unataka niweke detail zaidi sema .

Pia zitatengenezwa CD za kuonyesha kilichotokea pamoja na ukweli kuwa walikuwa wanajitahidi kuhakikisha kuwa mikanda ya video haifiki dar news room ila tayari imefika miwili na mmoja haujulikani uko wapi.
 
Mkuu,
Bila spin wala nini, lakini Amina aliondoka kwa ngoma...hivyo hayupo kwenye orodha ya "waliouawa."!! Kama huamini, basi ulizia contacts zako za kitabibu pale dar! Crypto ile, hands down.

Mzee unatoa tahadhari au unatuma ujumbe?????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom