Kevo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2008
- 1,333
- 58
Kiranja,
Tusibishane bila facts, niambie huyu mzungu wa Chenge anaendeshe case gani na mahakama ipi?
Una uhakika gani hao unaowasema kwamba hawana usajili wa kuendesha case Tanzania?
Suala sio uzungu au weusi, suala ni kusajiliwa. Tuna wanasheria wengi hapa labda wanaweza kutusaidia.
Mtu ambaye anaendesha case bila kusajiliwa anavunja sheria. Kama unamjua mmoja, waambie hicho chama cha sheria na watamshughulikia mara moja.
Nakubaliana na wewe 100%.Ni lazima asajiliwe na Tanganyika Law Society.