Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Tido Kambiwa Na Mzee Anataka Ku Monitor Move Mwenyewe Kwa Kutumia Kioo Cha Taifa, Kuna Vimelea Wamemwagwa Wanatumaa Caver Ya Tbc,kuoparate Kule Mji Mdogo Ule Ukiwa Na Fild Offiers Wengi Pila Cover Ya Kueleweka You Can Blow There Cover.
 
swali
Si kuna sehemu wamedai kuwa dr. wa familia amewaambia ameona majeraha ya kitu kama risasi na kitu cha ncha kali?... je dr wa kufanya postmortum ni lazima atoke nje au serikalini? Hawawezikumpata dr mwingine either Musoma, Mwanza e.t.c wa kawaida tu asiyekuwa attached na serikali?

Kama inawezekana kwa nini wanafanya kitu kidogo kuwa complicated au kwa vile marehemu alikuwa mashuhuri then wanataka tupata watu mashuhuri even madr?
 
TBC1 kusema kuwa wangwe alikuwa na mgogoro na chadema ..hawakosei ....coz sio fiction it is a FACT!

sio kwa kuwa mtu kafa ndio tubadilishe historia.....na historia yenyewe ni recent kwa hiyo lazima isemwe kila anapotajwa wangwe

Gaijin,

Hatukatai huu ndio ukweli lakini means ya kuutumia ukweli ndiyo mjadala wenyewe.Haiyumkiniki kuwa kila unapozungumzia utata wa kifo cha Wangwe uanze ukumbushe watazamaji kuwa maeremu alikuwa na gomvi na fulani.

Afterall hakukuwa na mgogoro bali harakati za kisiasa ndani ya chama.Wangwe alikuwa anakwenda kufungua kesi kama raia mwingine yeyote na wakati huphuo alikuwa anazungumza na kusalimiana na hao aliokuwa anataka kusimama nao kizimbani.

Personally i have gone beyond the news and speculate on things which not everyone sees to be news.

Secondly,'Tone says more that what words say'
 
Last edited:
From Nyani ngabu

How is this shocking?
__________________
Miafrika Ndivyo Tulivyo!!
- Ah
 
nataka niseme jambo moja tu hapa.Kama CHADEMA ndio wamemuua Wangwe do you think the Govt would bother itself kumzuia huyu Doctor?kama nia yao ni kumaliza CHADEMA wataruhusu huu uchunguzi ili CHADEMA wamalizane.Sasa fikiria kama ni Serikali ama a very powerfully political figure dont ou think they would do everything in their power to hide whatever needs to be known?Someone must have used the conflict Wangwe had with CHADEMA to do these!Tuache kulaumu CHADEMA just give a thought kuhusu ushirika wa Serikali kwenye hili.
Connect the dots yourselves.

Vipi kama ni CHADEMA ndiyo wahusika umeshajiuliza hilo?...., yawezekana wao ndiyo wahusika wakumtoa huyu jamaa duniani ukizingatia mambo hayakuwa swari baina yake na uongozi wa CHADEMA, Sirikali inaweza ikawa inaujua mchezo wote wa CHADEMA na kwa kujua kwao wanaweza wakawa wanataka kuitumia kama silaha yao(remember wht rostam did to mtikila), wanajua fika sasa CHADEMA watakaa kimya na endapo watasema kitu chochote kuikosoa sirikali, basi sirikali itamwaga habari yote hadharani kitu ambacho kitakuwa kibaya kwa CHADEMA, wataitumia kuiua CHADEMA kwa guilty concious.....sirikalini kuna watu wenye akili zaidi ya tunavyo fikiri, lakini akili zao huzitumia kwenye mambo kama hayo...
Ni mtazamo tu.
.
 
wanajua fika sasa CHADEMA watakaa kimya na endapo watasema kitu chochote kuikosoa sirikali, basi sirikali itamwaga habari yote hadharani kitu ambacho kitakuwa kibaya kwa CHADEMA, wataitumia kuiua CHADEMA kwa guilty concious.....sirikalini kuna watu wenye akili zaidi ya tunavyo fikiri, lakini akili zao huzitumia kwenye mambo kama hayo...
At last you have nail it..
 
niliandika jana kuwa kimbelembele cha wanasiasa kutumia msiba kukuza au kujipatia umaarufu kutaligharimu taifa

1 tbc wako musoma kujaribu kupotosha taifa kuwa chadema ndo wauaji wa wangwe kwa mantiki kuwa chadema itasambaratika na ufisadi utarudi kwa kasi

2. kwa kufanya hivyo tayari wananchi wa tarime wana hasira nan chadema na wachagaa, na tayari maduka ya wenzetu hawa tangu jana hayajafunguliwa, manake serikali inachochochea ukabila

3.kam tbc hawafanyi hayo hapo juu, huenda wanalipa fadhila kwa marehemu, fadhila ambazo wao na serikali wanazijua zaidi

hili ni taifa la watu ambao ukifikiri sana, utashangaa vichwa vyao viko chini ya mabega au juu ya mabega.

haiwezekani mtu apigwe risasi halafu gari lake liwe involve kwenye accident fake halafu liumie kiasi kile. labda liwe ni gari feki na wala siyo lile alilokuwamo wangwe

jibu ni rahisi, wangwe alikufa kwenye ajali iliyosababishwa na kuendeshwa na dereva asiye mzoefu bwana mallya
MWIKIMBI Hapo No 2 sijakuelewa kuwa serikari anachochea ukabila au Chadema, halafu kama hamtaki Chadema ihusishwe na kifo hiki, acheni pia kuihusisha serikali na kifo hiki. Sema uonavyo au udhanivyo wewe pia muache mwingine naye aseme aonavyo na adhanivyo yeye. Vinginevyo mtatufanya tuamini usemi usemao UKWELI UNAUMA
 
NN, As shocking as the death of Diana or Bhutto but in African tradition settings.

No, I wasn't referring to the death but rather the news from Musoma. But I see the threads have been merged.
 
Wakati Marehemu Chacha Wangwe alipotofautiana na Mwenyekiti wake na hadi kufikia kusimamishwa umakamu Mwenyekiti, wengi wa wachangiaji katika Thread hii tuliyomo mli-mlima sana Wangwe na kufikia hadi kumtakia afe, ikibidi kwa kupigwa risasi.

Leo hii bado mnajitahidi ku-speculate na hata kubadilisha taarifa halisi ya tukio zima lililotokea kule Tarime, kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA alitaka kuvamiwa na watu wenye hasira kali ambao wanamtuhumu juu ya kifo cha Wangwe. Kuna ambao wanajitahidi ku-twist zaidi mtiririko wa thread hii kwa ajili ya manufaa ya mtu binafsi au kundi fulani, si vibaya kwani mnalolifanya mnalielewa vizuri. Lakini mwisho ya yote ni kuwa mnasherehekea ushindi mlioupata wa kuona kuwa sasa Wangwe mlilokuwa mnamtakia limekwishamfika, Sioni sababu ya kutaka KUMSAFISHA MTU ambaye hata kutuhumiwa bado hajatuhumiwa, au kushinikiza yale mnayoyataka ninyi dhidi ya Deus bila ya kujali haki zake za kimsingi na sheria zinazomlinda hadi sasa.

Endeleeni ku-speculate kama mnadhani hiyo ndiyo njia sahihi ya kubadilisha matokeo halisi

Pundamilia,
Ni kweli ulivyosema, lakini historia itajitetea yenyewe, Nilifuatilia sana mjadala wa mgogoro kati ya marehemu na CHADEMA. Nimekata tamaa sana, nimekosa matumaini sana, kwa unafiki huu unaoendelea. Watu wanaujua ukweli na upo wazi lakini wanafanya speculations za ajabu ili kujisafisha na kusafisha. Shame on You.
 
MWIKIMBI Hapo No 2 sijakuelewa kuwa serikari anachochea ukabila au Chadema, halafu kama hamtaki Chadema ihusishwe na kifo hiki, acheni pia kuihusisha serikali na kifo hiki. Sema uonavyo au udhanivyo wewe pia muache mwingine naye aseme aonavyo na adhanivyo yeye. Vinginevyo mtatufanya tuamini usemi usemao UKWELI UNAUMA

Kama serikali aihusiki zengwe la nini kuzuia uchunguzi kwa dr ambaye familia ina muamini na badala yake inamrejesha yule yule wa Dodoma?
 
Familia iamue kwenda kumzika Kenya kusudi huyo dokta akamfanyie uchunguzi , tuone maajabu mengine kama kuna sheria ya inayozuia kumzika raia wa Tanzania nje.

Naona hii option pia iwepo as a last resort kwa kua hata kenya kuna wakurya kibao na uchunguzi utafanyika kwa uhuru zaidi
 
Vipi kama ni CHADEMA ndiyo wahusika umeshajiuliza hilo?...., yawezekana wao ndiyo wahusika wakumtoa huyu jamaa duniani ukizingatia mambo hayakuwa swari baina yake na uongozi wa CHADEMA, Sirikali inaweza ikawa inaujua mchezo wote wa CHADEMA na kwa kujua kwao wanaweza wakawa wanataka kuitumia kama silaha yao(remember wht rostam did to mtikila), wanajua fika sasa CHADEMA watakaa kimya na endapo watasema kitu chochote kuikosoa sirikali, basi sirikali itamwaga habari yote hadharani kitu ambacho kitakuwa kibaya kwa CHADEMA, wataitumia kuiua CHADEMA kwa guilty concious.....sirikalini kuna watu wenye akili zaidi ya tunavyo fikiri, lakini akili zao huzitumia kwenye mambo kama hayo...
Ni mtazamo tu.
.
Mambo Jambo,
Kama kuna upepelezi wa POLISI basi wewe hufai hata chembe. Kuna faida gani ya kumuuwa Wangwe kwa CHADEMA? Kwanza walishamuondoa madarakani kama mwenyekiti. Sanasana wangelimfanyia mizengwe ili aondolewe kwenye chama. Hii kwao hailipi kabisa. Wangelikuwa wamekwama kumuondoa na jamaa bado ana nguvu ndani ya chama, hapo tungelijua kweli. Itakuwa jambo la kuchekesha sana CHADEMA kukata tawi upande wa kuanguka. Sasa hivi nashangaa MTU akisema ni CHADEMA au CCM au MAFISADI. Inabidi kwanza kupata uhakika amekufa kwa sababu ipi. Uchunguzi ufanyike. Ila nashinjwa jua eti Dr wa Kenya hana kibali. Wangelikuwa ni CCM wanataka Dr, basi angelipewa kibali within minutes. Walitaka kununua ndege wakanunua huku wakitamba eti IKIBIDI KULA NYASI basi tutakula ila chombo kinakuja. Ndege yenyewe nasikia iko hoi inapiga unyende tu.
Ipo siku CCM haya mambo kama (Kama ni nyie) basi yatakuja watokea puani. Dunia ilishawaona akina Pharao, Kaisaria, Napoleon, Hitler, na sasa USA ambao au walianguka ama wanaanguka kidogokidogo. Hata siku moja CHINA itaja anguka na kitawaangusha kiburi chao wenyewe. Kama hawa walienda itakuwa CCM? Heri mjiandae maana mwisho wenu utakuwa mbaya sana kama ikija gundulika kuwa MIKONO YENU INA DAMU.
 
Naungana nawe Rwabugiri. Kweli kama serikali haina cha kuficha kwa nini wanazuia ukweli usijulikane? However, inawezekana wanafanya hivyo kwa vile vifo vyote huko vyuma tumekuwa tunafichwa. Hivyo leo hii wakiachia mambo yaendeshwe waziwazi then watu watauliza mbona akina naniii... hamkukubali?
 
serikali inaweza kuzuia ili kuondoa aibu baada ya mtaalam aliyeletwa pale dodoma kuwa ametoa taarifa feki ili iwe nzuri. pia wanaweza kuwa wamemshurutisha huyo daktari kutoa taarifa feki baada ya kudhani kuwa watu wa tarime ni kama watu wa sehemu nyingine ambapo amri ya serikali ndio final and conclusive.
 
Huwe unasoma tangu mwanzo na wewe....

Wewe threads zimeunganishwa. Wewe umechelewa. Wewe hiyo comment ilikuwa inahusu thread nyingine ya "Shocking news from Musoma". Nilipoifungua hiyo thread "shocking news" ni serikali kumkatalia daktari wa Kikenya kuja kufanya uchunguzi wa nini kilichomwua Wangwe. Wewe umeelewa sasa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom