Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,303
Msomaji wa taarifa ya habari jana usiku amekiri wanayo hayo makabrasha!
na wayaweke wazi tuyaone basi
wayachapishe kwenye magazeti...hizo barua. .....mwaka wa unafiki umeisha.
Msomaji wa taarifa ya habari jana usiku amekiri wanayo hayo makabrasha!
Vipi kama ni CHADEMA ndiyo wahusika umeshajiuliza hilo?...., yawezekana wao ndiyo wahusika wakumtoa huyu jamaa duniani ukizingatia mambo hayakuwa swari baina yake na uongozi wa CHADEMA, Sirikali inaweza ikawa inaujua mchezo wote wa CHADEMA na kwa kujua kwao wanaweza wakawa wanataka kuitumia kama silaha yao(remember wht rostam did to mtikila), wanajua fika sasa CHADEMA watakaa kimya na endapo watasema kitu chochote kuikosoa sirikali, basi sirikali itamwaga habari yote hadharani kitu ambacho kitakuwa kibaya kwa CHADEMA, wataitumia kuiua CHADEMA kwa guilty concious.....sirikalini kuna watu wenye akili zaidi ya tunavyo fikiri, lakini akili zao huzitumia kwenye mambo kama hayo...
Ni mtazamo tu..
Hii inanikumbusha Mgogoro wa Patrice Lumumba na makamu wake ambao ulipelekea Mobutu kama mkuu wa jeshi ku-take advantage na kupanga mpango na wabelgiji na US wakamu-eliminate Lumumba.Sasa hapo nafikiria kuna kitu zaidi maanake hata CCM na Mafisadi wanaweza kusimama side aliyosimamia Mobutu Sese Seko.Maanake wanashabihiana kwa umafia
What's your point?
Na hili Litapita........
What is shocking- Miafrika ndivyo tulivyo!!
sorry kama nimekuudhi I guess I was thinking aloud bro.
Inasikitisha saana.....nikifikiria serikali ya Tanzania naumwa kichwa tena siasa ndio kabisa nasikia kupasuka kichwa......I hate politics sasa Wangwe mafisadi wamemtenganisha na familia yake.SI MAPENZI YA MUNGU KIFO CHA WANGWEkama kawa!
Taarifa za uhakika ni kuwa wamempata Daktari na tayari wameshafanya Postmotum na hakukugundulika jeraha la Risasi, ila taarifa za ndani ni kuwa kutokana na ajali ubongo ulimwagika ndani.
Mambo Jambo,
Kama kuna upepelezi wa POLISI basi wewe hufai hata chembe. Kuna faida gani ya kumuuwa Wangwe kwa CHADEMA? Kwanza walishamuondoa madarakani kama mwenyekiti. Sanasana wangelimfanyia mizengwe ili aondolewe kwenye chama. Hii kwao hailipi kabisa. Wangelikuwa wamekwama kumuondoa na jamaa bado ana nguvu ndani ya chama, hapo tungelijua kweli. Itakuwa jambo la kuchekesha sana CHADEMA kukata tawi upande wa kuanguka. Sasa hivi nashangaa MTU akisema ni CHADEMA au CCM au MAFISADI. Inabidi kwanza kupata uhakika amekufa kwa sababu ipi. Uchunguzi ufanyike. Ila nashinjwa jua eti Dr wa Kenya hana kibali. Wangelikuwa ni CCM wanataka Dr, basi angelipewa kibali within minutes. Walitaka kununua ndege wakanunua huku wakitamba eti IKIBIDI KULA NYASI basi tutakula ila chombo kinakuja. Ndege yenyewe nasikia iko hoi inapiga unyende tu.
Ipo siku CCM haya mambo kama (Kama ni nyie) basi yatakuja watokea puani. Dunia ilishawaona akina Pharao, Kaisaria, Napoleon, Hitler, na sasa USA ambao au walianguka ama wanaanguka kidogokidogo. Hata siku moja CHINA itaja anguka na kitawaangusha kiburi chao wenyewe. Kama hawa walienda itakuwa CCM? Heri mjiandae maana mwisho wenu utakuwa mbaya sana kama ikija gundulika kuwa MIKONO YENU INA DAMU.
Elezea kinaga ubaga huyo Dktari ndio yule serikali ilimpendekeza? kama ndie basi majibu nilitegema yatakuwa hayo......Taarifa za uhakika ni kuwa wamempata Daktari na tayari wameshafanya Postmotum na hakukugundulika jeraha la Risasi, ila taarifa za ndani ni kuwa kutokana na ajali ubongo ulimwagika ndani.
possibly ni Sangoma kwani Mbowe alikwenda south Africa.Taarifa za uhakika ni kuwa wamempata Daktari na tayari wameshafanya Postmotum na hakukugundulika jeraha la Risasi, ila taarifa za ndani ni kuwa kutokana na ajali ubongo ulimwagika ndani.
Unataka kusema kuwa Wangwe kauliwa na CHADEMA? nani ni Muhusika mkuu CHADEMA kwa mauaji hayo(kama kweli)?Wangwe alikuwa na nguvu sana na alisema hatima yake iko kwa wanachama.ina maana anakubalika.
na MBowe alisema kuwa Wangwe anauza siri zao na walimkataza hasikii, kwa kauli hiyo wanaweza kumdhuru kama wale KGB walivyomfanya yule Mrusia aliyekwenda Uingereza kiasi ya kuwa UK na russia hawana mahusiano mazuri.IT MORE LIKELY CHADEMA WAMEMBOWESHA WANGWE ili siri zao zisivuje.
na wayaweke wazi tuyaone basi
wayachapishe kwenye magazeti...hizo barua. .....mwaka wa unafiki umeisha.
Taarifa za uhakika ni kuwa wamempata Daktari na tayari wameshafanya Postmotum na hakukugundulika jeraha la Risasi, ila taarifa za ndani ni kuwa kutokana na ajali ubongo ulimwagika ndani.
Swali la kujiuliza ni kwa nini wananchi hawana tena imani na vyombo vyetu kuanzia polisi na sasa hadi madaktari? Kuna precedence hapa. Sokoine alikufa katika mazingira ya kutatanisha yakapita hivihivi hadi leo umebaki uvumi, na hatutaki kufanya uchunguzi.
Kifo cha Amina, Mbatia vyote vilikuwa na maswali mengi na hadi leo tumebaki na maswali yetu. Sasa na hiki ni hivyohivyo, utata upo wazi, tumebaki tunafanya siasa na itaisha hivihivi.
Inawezekana kabisa wenye malengo yao wakafanikiwa kutumia msiba huu kuidhoofisha chadema, lakini kwa vyovyote vile haitatusaidia katika kujibu maswali tuliyo nayo, zaidi ya kuzidisha hofu miongoni mwa wananchi, na wala kuidhoofisha chadema kwa njia chafu za kutumia msiba huu haisaidii kutatua matatizo ya wananchi yaliyosababisha wawe na chuki na serikali yao. Chacha amefariki, na inawezekana wakafanikiwa kuizima chadema kama walivyopania, lakini kwa hakika hawatazima msisimko wa mabadiliko ambao unachemka nchini. Ataibuka Chacha mwingine na itazaliwa chadema ingine.
Kinachonipa shida kuliko vyote mimi ni imekuwaje vyombo vyote muhimu kama polisi na sasa madaktari vimefika mahala vinakubali kutumikia wanasiasa badala ya kutumikia utaalamu wao? Tumefikaje hapa na tutajitoaje?
Shauri yako mzee mwanakijiji akikusikia!!!