Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Kitila,

Sioni mantiki ya CHADEMA kutoa tamko wakati huu wa mazishi tena kuzungumzia sijui matishio etc.... this is not proper wakuu... sio mila za waTanzania, na watu wenye dini wakuu...

Tena tetesi zenyewe zinatoka kutoka kwa kina Mwanakijiji na Mtanzania walioko marekani (natania).
 
Kasheshe unataka watu waanze kuhoji mazingira ya kifo baada ya mtu kuzikwa? sasa ikibidi kufukua mwili si ndo itakuwa kasheshe? (pun intended.. lol)
 
Iwapo si ajali ya kawaida, je

1:waliofanya hivyo walitaka kutake advantage ya misukosuko iliyoko Chadema ili kuleta mtafaruku zaidi katika chama ili kuondoa imani ya Wananchi kwa Chadema kwa kufanya kitu kinachoweza kuibua hisia kwamba Chadema wanafanyiana kitu mbaya wenyewe kwa wenyewe?

2:kwa mujibu wa Taarifa alizotuwekea Paparazi Muwazi kuhusu vikao vikao vya Marehemu na baadhi ya watu, je Waliamua kummaliza ili kujilinda kisiasa baada ya siri zao kufahamika?

3:Je yawezekana watu wa Chama chake mwenyewe wamemmaliza baada ya kuona kuwa mgogoro mzito unaweza kukiua Chama?
 
mimi naamini kwa asilimia mia moja kuwa hiyo ni ajali kama zilivyo ajali zingine.kwani chadema kuna nini hata watu kutoana roho.
Hivi kweli mafisadi walivyo tutafuna mpaka kubakia mifupa mitupu,lakini bado tunakula na kuishi nao pamoja.watanzania bado hatujafika huko mnakotaka kutupeleka.
 
Ilibainika pia jana kwamba vibaka katika kijiji ambako Wangwe alipata ajali, walikwapua bidhaa na mali nyingine kutoka kwenye gari lililopata ajali. Kwa mujibu wa Deus Mallya, ambaye alisafiri na marehemu Wangwe na aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, anachokumbuka alisikia kishindo na alipogutuka alikuta gari limeshapata ajali na Wangwe alikuwa amekufa. Alisema muda mfupi baadaye vibaka walifika na kuanza uporaji hadi alipolazimika kupiga simu Polisi.
 
Napata shida kidogo kuelewa kama Malya alikuwa alert au amepoteza fahamu, maana katika mahojiano yake hapo chini yanaonyesha alikuwa na fahamu na kuweza kuelewa mara moja nini kimetokea punde tu walipopata ajali....kuna utata hapa kwenye maelezo ya huyo Malya!!


Quote:
Speaking to reporters who paid him a visit at the hospital, Malya said Wangwe told him to move to the back seat to rest.

``� cannot forget what took place at the scene (of the accident). I don't believe that I have escaped death and I am still alive,`` he said.

``I was seated in the front seat and was dozing off before the accident, but he advised me to move over to the back seat because it was not safe where I was seated,`` he said.

Malya said they stopped over on the way to buy recharge vouchers before they proceeded with their journey.

``We were at Pandambili when I heard a great bang and saw a cloud of dust. It is then that I realised that the car`s tyre had burst. The vehicle was engulfed in dust. Wangwe moved from where he was seated to the place where I was with his head touching my legs. His seat had squeezed me as my seat belt was tight,`` he explained.

He said by the time he wanted to see more on what had taken place, he realized that Wangwe's head had sustained a fracture and a lot of blood was coming out.

``My body was soaked in blood, but that blood was not mine but Wangwe`s,`` he said.

Commenting on Malya`s condition, Dodoma Regional Medical Officer Dr Godfrey Mtei said it was improving, adding that he was still undergoing treatment.

source; http://www.ippmedia.com/ipp/guardian...30/119515.html

Kama wewe peasant mimi farmer..Kaa kushoto na uache unafiki kama huna maswali ya msingi usiharibu!

Wewe una mawazo finyu...Ni wale watu waliokuwa wakisapoti vita ya Iraki licha ya wao kuwa waafrika!

Usilete ushambenga kwenye issue nyeti.Huyu mtu aliemtuma kijana mwenye jina la kichagga ana lake jambo.

Kama ni kweli chadema wamehusika...Na wakati huo huo wao wanaambiwa ni chama cha kichagga..Basi wasingemtumia kijana anayeitwa Mallya.

Huyu amepandikizwa na uchunguzi ni muhimu.

Mimi kusema alimwe risasi sikumaanisha hivyo...Na mimi nilishamema before...Inaelekea wewe ni mgeni hapa...LAKINI KILA AMBALO NIMEKUWA NIKITABIRI HUTOKEA...Liwe zuri ama baya..Imekuwa ikionekana kama ninajuwa something..Lakini ukweli mimi sina influence yoyote..Mimi ni mwananchi wa kawaida...Ila mwene uwezo wa kufanya reserach za nguvu na analysis xenye kumake sense...Hilo huitaji kupinga...Hapa jf ni mashahidi wangu...Kila kitu mpaka saa nyingine najiogopa mwenyewe.

Na ndio maana nikasema ni muhimu tujuwe kile kilichotuleta hapa duniani.

Kwakuwa nilisema pia sisi sote ni wasafiri...Hawa chadema na wao bado wana siasa za kinafki zilizolicost taifa letu...Kama this time hawataenda kwenye target yenyewe...Basi hata wao wengine wataendelea kuuwawa tu.

Nawashangaa sana kwani ni wao walikuwa wakisema Mrehemu ana UHUSIANO NA ROSTAM AZIZ...Sasa badala a kuweka ushahidi wa mazungumzo ya watu hao na mambo mengine wao wanaondoa jicho kwenye target na kuwaomba polisi msaada...Polisi hao hao waliomkamata Kubenea kwa kusaidiana na hao wanausalama mafisadi...Ni polisi hao hao mnataka watowe ripoti?

Polisi hao hao waliomwua Kombe kwa kudhani ni JAMBAZI?

Huyo Mallya aliwapigia polisi simu...Nani alimpa namba huyo mtoto na kumwezesha kufanya mambo hayo yote?
Hapo FBI WAITWE.
 
Na yule MOD aliyenifungia kwa kusema marehemu alimwe risasi aulizwe...Huyo awe shahidi...NAWEKA KWENYE REKODI HII...KWANINI ALINIFUNGIA KAMA ALIKUWA HAJUI KUNA HATARI YA KUUWAWA KWA WANGWE?
Kwasababu kama ni vitisho si Kijakazi alivitowa kama hivyo?
Naomba sana huyo MOD anayeitwa silencer atowe maelezo ya ni kwanini aliona maisha ya Wangwe yako hatarini zaidi ya yale ya Zitto?
Kwanini ikawa CONICIDENCE?

MOD UNAYEJIITA SILENCER UJE HAPA KUJIBU KWANI NINA WASI WASI NA WEWE...WANA JF TUWE MAKINI KUNA MA SILENCER HUMU NDANI!
HAWA WATU WANAOJIUNGA KARIBUNI TU NA WANAKUWA MA MOD KUNA KILA HAKI YA KUWA NA WASI WASI NA MAISHA YETU!
KWANZA HILO NAKIRI WAZI SANA!
 
kama alikutwa na bastola, alishindwa kuwapundua vibaka kweli, kama kweli yanayosemwa, basi kuna lake jambo sirini hapo.
 
Hivi Mtanzania unaongea vitu gani?


Kwanza kabisa ungekuwa unasukumwa na kutaka kuujuwa ukweli na si mapenzi a chama..

Wala kina Slaa hawamjui huyo nyoka anayeitwa Deus Mallya na uhusiano wake na marehemu hautambuliwi na chadema na kwa hiyo wanataka kujuwa kulikoni mbunge na kiongozi wa chama chao alijihusisha vipi na huyo NYOKA NAYEITWA DEUS MALLYA?

Na hata Zitto alivyolazwa siku ambayo alikuwa akazungumzie mambo ya madini mliona ni kitu kidogo nyie mamluki!?

Hamuoni nchi iko hatarini hiyo?


Jesus christ...Watanzania amkeni.

Hapo tutajadili nini? Niletee kadi ya chama kama unajua mapenzi yangu kwa chama chochote. Mapenzi yangu ni kwenye ukweli na kuwa tayari kusema hata yale ambayo wengine wangeogopa kwa hofu ya kushambuliwa.

Ulisema Chacha atwangwe risasi, sasa unasema huyo kijana ni nyoka? Una ushahidi gani?

Hakuna hata mtu ambaye anaongelea well-beings za huyo kijana ambaye si ajabu ni victim tu katika mchezo huu unaoitwa siasa.
 
Duh, sas naanza kuchoka mwenyewe!!! Nafikiri tunahitaji msaada wa Scotland Yard Bongo!!!!!
 
I'll tell you one thing. Anayedhania Polisi are willing, able, and determined to find out the truth anaota njozi. Tukubali tu yaishe. Believe me, "mapenzi ya Mungu" yataimbwa kama wimbo wa "Kasuku". You know what, I'm so done, sitoingia zaidi ya nilivyoingia, it is very dangerous.
Anayeamini ajali aendelee asiyeamini lwake!

MJJ,
Nakubaliana na wewe. Alipokufa Sokoine nilijua kuwa watasema ni nani alimuuwa Pm wetu. Niliamini kuwa ALIFIA Dodoma na kupelekwa Kongwa huko huko na huko jamaa wakaset ajali. Niliamini kuwa wamemuulia Dodoma kwa sababu moja tu. Siku hiyo nilikuwa Dodoma na niliiona kwa macho yangu ndege ya Rais imekuja kumchukua Sokoine. Nilishangaa na ukali wake wote Sokoine kuruhusu ndege ije hadi Dodoma na halafu ikifika aseme "Sitaki ndege na nitarudi kwa gari na wenzangu..". Kwa ndege angelisafiri na rafiki wengi tu zaidi ya kusafiri kwa gari ambalo anakuwa peke yake, safari ni ndefu na wastage of FUEL and time which is equal to money, tena hela za walipa kodi ambazo huyu jamaa alikuwa na uchungu nazo saana.
Hili nalo naliona liko hivihivi. Nilitaka kuandika kwenye makala ya kifo cha Wangwe ila nikasita. Nilitaka kuandika sentesi moja tu kuwa KAMPENI ZA UCHAGUZI ZIMEANZA. Safari hii naona mambo yatakuwa na uzito wa Marcury.
 
Ajali imeshatoka Chacha hatunaye tena ila-

Ningeshauri huyo kijana achunguzwe ameumia ndani ya gari ama nje ya gari.

Pia na ngoja nitoe hisia zangu kama kawaida ya mwanadamu yeyote kama ajali hii ni ya kutengenezwa mshukiwa mkuu lazima atakuwa ndani ya CHADEMA wala si kwingineko.
 
Ajali imeshatoka Chacha hatunaye tena ila-

Ningeshauri huyo kijana achunguzwe ameumia ndani ya gari ama nje ya gari.

Pia na ngoja nitoe hisia zangu kama kawaida ya mwanadamu yeyote kama ajali hii ni ya kutengenezwa mshukiwa mkuu lazima atakuwa ndani ya CHADEMA wala si kwingineko.

Haya umeyajuaje wewe?
 
Maskini, sasa hivi sisi tutaanza lini kupata ukweli wa haya mambo? Tuanze kujiuzulu hawa polisi wetu wapo kwa ajili ya nani hasa? Inawezekana adui wetu hatujamlenga.

Ni vigumu mno kuendelea kuandika chochote...

Mtanzania bado unasema hii ni ajali ya kawaida na hatuhitaji uchunguzi wowote? Umeona sasa kwa nini watu tulikuwa tuna wasiwasi na aliyekuwa dereva, kumbe ni huyu kijana ambaye hajulikani kwa chadema wala familia, na kumbe alikuwa na bastola? Makubwa
 
Mwanakijiji: Ubarikiwa sana ndugu yangu, ulituambia wakati wa Amina hatukusikia na tukakuona mshambenga tu, haya sasa na tena unatuletea mambo makubwa...
 
Ajali imeshatoka Chacha hatunaye tena ila-

Ningeshauri huyo kijana achunguzwe ameumia ndani ya gari ama nje ya gari.

Pia na ngoja nitoe hisia zangu kama kawaida ya mwanadamu yeyote kama ajali hii ni ya kutengenezwa mshukiwa mkuu lazima atakuwa ndani ya CHADEMA wala si kwingineko.[/QUOTE]

Dai zito sana hilo. Una ka-ushahidi kokote kuthibitisha hili?
 
wangwecar.jpg

The car in which Tarime MP Chacha Wangwe (inset) died on Monday evening is towed from the accident scene in Kongwa, near Dodoma, yesterday.

By Samuel Kamndaya, Dodoma, and Beatus Kagashe, Dar
THE CITIZEN

The opposition Chadema yesterday ruled out foul play in the death of Mr Chacha Wangwe, and called for peaceful mourning of the MP who died on Monday night in a car crash.

The party's headquarters said the death of Mr Wangwe, who was recently suspended as party�s vice-chairman, should not be linked to his leadership row with Chadema chairman Freeman Mbowe.

Chadema's acting deputy secretary-general and director of youth affairs, Mr John Mnyika, told reporters that Mr Mbowe was cutting short his trip to South Africa to join other Tanzanians in mourning our departed hero.

Mr Mnyika said Chadema believed the death of the Tarime MP had nothing to do with his recent suspension as vice-chairman or claims of a power struggle in the party.

The remarks were in response to rumours surrounding the accident which took place at the height of tensions within Chadema.

Following his suspension last month by the party's politburo, the Tarime MP declared his intention to oppose Mr Mbowe when internal elections were called.

His death shocked and galvanised the country with President Jakaya Kikwete yesterday leading MPs, top government officials and other members of the public in paying their last respects at parliament grounds in Dodoma.

President Kikwete did not speak in Dodoma, but sent a message in which he condoled MPs, Tarime constituents and Chadema.

Through you, I would like to pass my sincere condolences to all members of the parliament for the loss of their colleague at a time when they are fulfilling their obligations in national representation, said the President in the note to the Speaker, Mr Samuel Sitta.

Mr Sitta was overcome with emotion earlier in the morning and openly shed tears as he adjourned business for the day to mourn Mr Wangwe, whom he described as a lively character.

The responsibilities are once again upon my shoulders to announce to you the tragic news. Honourable Chacha Wangwe, our comrade, the Tarime MP, passed away yesterday (Monday) at around 8.55pm in a car accident, said Mr Sitta while wiping away tears.

It was the fifth that had had announced the death of an MP in Parliament since the 2005 elections following the demise of former Cabinet minister Juma Akukweti, deputy minister Salome Mbatia and MPs Amina Chifupa and Benedict Losurutia.

In accordance to new parliamentary standing orders, Mr Wangwe's body was taken through the debating parliament chamber in poignant remembrance of the deceased�s hearty and sometimes fiery contributions in debates.

The body was to spend the night at his residence in Dodoma before being flown today to Dar es Salaam from where it will be transported again to Tarime for burial tomorrow in his home village of Kemakorere.

Many other MPs, including Mr Kabwe Zitto and Mr Iddi Azzan, were seen wiping tears as Mr Sitta postponed parliamentary proceedings and called an emergency meeting of the parliamentary leadership committee to work on burial procedures.

Dressed in black, MPs gathered in groups outside the parliament building discussing in disbelief the untimely death of Mr Wangwe.

We will miss his courage. He was a man who never gave up on what he believed was right. It will be a hard task to fill the gap that he has left behind, said Ms Susan Lyimo (Special Seats-Chadema).

Other MPs said they would miss Mr Wangwe's easy-going nature. He was from the Opposition camp, but he was good at socializing with people across the political divide, said Capt John Komba (Mbinga West-CCM).

Some were overheard wondering why the National Assembly usually lost a lawmaker during its budget sessions. Ms Chifupa died during last year's budget session.

Home Affairs minister Lawrence Masha was yesterday scheduled to present his ministry's budget estimates before business was adjourned. Mr Wangwe's contribution to the debate on the ministry's budget was being eagerly awaited.

He had always been vocal over repeated inter-clan clashes in Tarime Dictrict and his fellow MPs had expected that he would put the Home Affairs Ministry to task over its failure to contain insecurity in the area.

He had also prepared a private motion on the same clashes and cattle rustling according to deputy speaker Ms Anna Makinda who said she had on Friday helped the MP in procedures to file the motion.

According to Susan Lyimo, Mr Wangwe's fellow opposition MPs will go on with the motion that he has left behind. Twenty MPs led by Bumbuli MP William Shelukindo will represent their colleagues at the burial.

Meanwhile Chadema asked all its branches countrywide to fly their flags half mast for a week as a sign of respect for Mr Wangwe who worked tirelessly to build the party in Mara region.

Mr Mbowe, who is expected to arrive today, will lead a team of party officials to the burial tomorrow, according to Mr Mnyika.
 
Siisemei CHADEMA wala Zitto wala Slaa wala Mnyika wala Mpaka Kieleweke bali natoa hisia zangu mwenyewe kuhusu kifo cha Wangwe.

Ni ukweli usiofichika kuwa kuna dalili za zengwe kwenye kifo hiki. Nazo zimejikita kwenye nafasi ya:
1. Kijana huyu Deus ambaye sijajua kwa nini alisafiri na Chacha, ana
uhusiano gani naye na ni uhusiano wa muda gani? Kwenye uhusiano wao
ni lipi Chacha anajua na ni yapi yaliyo siri dhidi ya Chacha. Kwa taarifa
tulizo nazo huyu kijana ndiye aliyeshawishi safari ifanyike.

2. Ni nguvu gani ilikuwa nyuma ya Chacha ya
kumlazimisha/kumharakisha/kumshawishi Chacha kwamba kwa lazima
aende DSM siku ile ile licha ya kuugua sana na familia yake kumzuia
kusafiri. Najua kuwa kesho yake alikuwa ahudhuria mazishi ya Mzee
Munanka. Lakini bado sijajiridhisha kuwa hilo lilikuwa na ulazima na
umuhimu kiasi cha kuweka mbali vikwazo vyote vya safari vilivyotokea
kwake siku hiyo.

3. Niliwasikiliza TBC1 wakicover habari ya kifo cha Chacha Wangwe jana
asubuhi. katika mzungumzo yao walikuwa wakiconclude kuwa Kifo hiki
kimetokea siku chache baada ya Wangwe kuwa na mgogoro na chama
chake. NIliwaelwa vibaya sana TBC 1. Kwani inaonekana wazi kuwa nia ya
yao ilikuwa kuhusianisha kifo hicho na mgogoro wa chama. Sentensi hiyo
haikuwa na umuhimu wowote katika kumtambulisha Chacha kwa umma.

Mambo haya yameniweka mimi kwenye wasiwasi wa haki kwenye kifo cha Wangwe.
All in all nakubaliana na wote kuwa hiki ni kifo cha kawaida kabisa kilichotokana na ajali ya barabarani ingawaje naamini kuwa uchunguzi wa kina ukifanyika tutaweza kupata kahabari ambako kataonyesha kuwa vita ile ile ya kupambana na WM Pinda, Sayeed Kubenea na Spika Sitta na wakweli wengine wote ndani na nje ya bunge inaendelea kwa namna hii.

Mathalan itamsikitisha yeyote mwenye utashi wa kiutu na akili ya kawaida ya kiwango cha kupembua mambo ya kisiasa kwamba eti CHADEMA wanahusishwa na kifo hiki. Huu ni utoto, upotoshaji, uvivu wa kufikiria, ushambenga na kwa hakika ni dhuluma kubwa kwa umma wa watanzania.

Jukwaa hili haliwezi kujicontradict kiasi hicho. Eti para hii inaelezea kuwa CHADEMA ni mtambo wa kupambana na mafisadi halafu para nyingine inaelezea kuwa CHADEMA ni kinyongeo cha wapambanaji. Please people be fair. Take more time to swim in reality.

The war against graft is not that much easy. It takes a lot of risk to combatants. And I admit this is just one of them. The corrupt are as brave and smart. they know how to smash any move against them. They are also very smart in creating implications against their enemies. Discussants in JF be watchfull.

Haya!!!!!!!!

could be conspiracy ya chama ambacho kimekosa muelekeo kwa wananchi, sasa ili kuwa vurugia wengine ndio wamefanya hivyo? kwa nini TBC1 waseme maneno hayo ya uchochezi?
 
I'll tell you one thing. Anayedhania Polisi are willing, able, and determined to find out the truth anaota njozi. Tukubali tu yaishe. Believe me, "mapenzi ya Mungu" yataimbwa kama wimbo wa "Kasuku". You know what, I'm so done, sitoingia zaidi ya nilivyoingia, it is very dangerous.

Anayeamini ajali aendelee asiyeamini lwake!

Mzee Mwanakijiji,

Unayoyaandika na hasa hili la Mallya kukubalia kuwa ni yeye alikuwa dereva wa gari hivyo kupingana na maelezo ya awali ni mambo ya muhimu sana. Si lazima wote tukubaliane kwenye hili ila maswali yako yanaonekana kuwa ni muhimu sana kwenye hili swala. Upande wako, mtizamo wako, hoja zako, na hasa, hii ya kutoa habari bila kuweka lawama kwa yoyote yule kama TBC na magazeti ya habari corp wanavyojaribu kufanya sasa ni hivi ni muhimu sana.

Endeleza kazi mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom