Kijana Malya ambaye ni mnusurika wa ajali iliyo muua Mbunge wa Tarime Chacha Wangwe karibu miezi miwili hivyo iliyopita alijitambulisha kwa mwandishi mmoja wa gazeti la Mwanahalisi kuwa yeye ndiye "invisible" wa JF na ya kuwa yuko tayari kuwa anampositia material kwenye mtandao huu. Baada ya the real "slim shaddy" kupewa taarifa hiyo, akaunganishwa na simu na "Malya" ambaye baada ya kubanwa na kukemewa aliambiwa aache mara moja kujihusisha na JF na kujifanya ni "Invisible".
Baada ya ajali kutokea, Bw. Malya alikuwa kwa hakika aruhusiwe kuondoka eneo hilo lakini kutokana na hofu ya internal bleeding akapelekwa hospitali. Na mmoja wa maafisa wa ngazi za juu wa Chadema alituma ujumbe usio na utata kuwa kijana huyo aendelee kuwa katika uangalizi wa Polisi ili kuweza kusaidia kupata majibu. Siku ya leo Polisi wamejifunza mengi sana.
Ka nzi kameruka tena! ....
Hizi dalili kwamba huyu jamaa ni msanii fulani, na ndio maana kuna migongano ya kauli baada ya ajali: moja ikionyesha kwamba alikuwa hai na nyingine akiwa amepoteza fahamu!!!! Na kwamba alikaa seat ya nyuma wakati damu nyingi inaonekana kwenye seat ya abiria is very questionable! Ana maswali mengi sana ya kujibu kwa kweli.
Wapi nimesema hatuhitaji uchunguzi wowote? Kifo chochote lazima kichunguzwe mpaka ukweli wote ujulikane. Hiyo ndio kazi ya polisi. Polisi ambao wanafanya chochote tofauti na hicho, wanakiuka maadili ya kazi zao na wanahitaji kulaumiwa na ikiwezekana hata kufukuzwa kazi.
Huu ndiyo undumilakuwili wa SIRI KALI ambao Watanzania wengi tunauchukia!!! Iko wapi autopsy report kuhusiana na vifo vya Ballali, Amina Chifupa, Mama Mbatia ambao wote vifo vyao vilikuwa vimegubikwa na utata mkubwa? Au autopsy inafanywa pale tu aliyefariki ni kutoka chama cha upinzani? 😕😕😕[/B]
[COLOR="DarkRed"]Hapa alarm ya hatari inalia, kuna uwezekano kuwa wamekimbilia kufanya autopsy ili kutoa taarifa ya kuzima mjadala baadae. This is a possible new tactic ya mafisadi kunyamazisha watu, kweli sasa ni wakati wa kumpa mchawi akulindie mwanao, Polisi lazima wawape ulinzi wabunge wanaoonekana ni mwiba kwa mafisadi bila kujali wanatoka chama gani[/COLOR]
Mtanzania...ccm wajanja kama nyie...Mnang'ang'ania kuwa ni ajali tu ya kawaida...Hata hivyo ujanja huo una athirika na maswali magumu magumu ya mara kwa mara kwasababu mmeonekana kumtetea huyo Mallya kuliko ilivyo kwa chadema ambao hata hawamjui.
Sidhani kama ni hivyo HT. Mbona hawakuwa wepesi katika maamuzi yao kuhakikisha autopsy report ya vifo vya Ballali, Amina Chifupa na Mama Mbatia zinatolewa hadharani ili kuondoa utata wowote uliokuwepo kuhusiana na vifo vyao. Pia ukumbuke kwamba Watanzania wengi tuliomba report hizo lakini SIRI KALI ikapata kigugumizi. Itakuwa si vibaya SIRI KALI ikatoa autopsy report ya vifo vya watu hawa ambao bado kuna maswali mengi kuhusiana na vifo vyao.
....BUT MwKjj. i don't suppose U mind my asking: hawa 'Polisi' ni hawa wetu wa kawaida au???. Na mmoja wa maafisa wa ngazi za juu wa Chadema alituma ujumbe usio na utata kuwa kijana huyo aendelee kuwa katika uangalizi wa Polisi ili kuweza kusaidia kupata majibu. Siku ya leo Polisi wamejifunza mengi sana.
Ka nzi kameruka tena! ....
Kijana Malya ambaye ni mnusurika wa ajali iliyo muua Mbunge wa Tarime Chacha Wangwe karibu miezi miwili hivyo iliyopita alijitambulisha kwa mwandishi mmoja wa gazeti la Mwanahalisi kuwa yeye ndiye "invisible" wa JF na ya kuwa yuko tayari kuwa anampositia material kwenye mtandao huu. Baada ya the real "slim shaddy" kupewa taarifa hiyo, akaunganishwa na simu na "Malya" ambaye baada ya kubanwa na kukemewa aliambiwa aache mara moja kujihusisha na JF na kujifanya ni "Invisible".
Baada ya ajali kutokea, Bw. Malya alikuwa kwa hakika aruhusiwe kuondoka eneo hilo lakini kutokana na hofu ya internal bleeding akapelekwa hospitali. Na mmoja wa maafisa wa ngazi za juu wa Chadema alituma ujumbe usio na utata kuwa kijana huyo aendelee kuwa katika uangalizi wa Polisi ili kuweza kusaidia kupata majibu. Siku ya leo Polisi wamejifunza mengi sana.
Ka nzi kameruka tena! ....
How interesting and sad. Witherto Tanzania !! The country has surely gone to the dogs - now, what next. My heart cries for a revolution but, alas am but a poor soul with no past or future - for it has all been taken away from me by evil forces that thrive on the plight of the helpless wananchi. How I wait for the new day when the people will rise up and with deafening voices proclaim - enough is enough. No more of this tomfool hardy, no more of this chicanery and no more of this subterfuge. Fellow Tanzanians we are in for a ride and what a ride it must be for with our eyes blindfolded, we can not see leave alone guess where wea are heading. The bitter truth is - we are heading NOWHERE and it is all like a DREAM.
Hey, we need to wake up and throw away the yokes of bondage. We are being led by a band of blood-thirsty individuals that will not rest rest till we are all sucked dry. The fact that at the helm we have a leader (or dont we?) going by the name of Jakaya Mrisho Kikwete, should be enough to motivate and wise us up. It is never too late to do something only the sooner the better.
Nasikia Tarime hawataki kuwaona Dr Slaa na Rais Mbowe wahudhurie mazishi ya marehemu Wangwe. Ni kweli?
Ni kweli. Ni baada ya propaganda za Waziri Wasira na Kabaka kupitia kwa makada wao vijiweni huko Tarime kuwa hao ndio wamesababisha Chacha afe. Mama Kabaka alikuwa analitaka jimbo hilo siku nyingi lakini kwa kuwa ni mbunge tayari wanapanga kumwachia Profesa Samuel Wangwe. Sasa tatizo ni kuwa Tarime ni kama Pemba, hawataki kitu kinachoitwa CCM. Kwa hiyo lazima waichafue CHADEMA kwa nguvu zote
PM
Kati ya wewe na huyo kijana nani anatakiwa kuchunguzwa?
Hivi mtu uliyesema achapwe risasi leo una majonzi gani kama sio ya mamba? Unafiki ndugu yangu kitu kibaya mno!
Ni kweli. Ni baada ya propaganda za Waziri Wasira na Kabaka kupitia kwa makada wao vijiweni huko Tarime kuwa hao ndio wamesababisha Chacha afe. Mama Kabaka alikuwa analitaka jimbo hilo siku nyingi lakini kwa kuwa ni mbunge tayari wanapanga kumwachia Profesa Samuel Wangwe. Sasa tatizo ni kuwa Tarime ni kama Pemba, hawataki kitu kinachoitwa CCM. Kwa hiyo lazima waichafue CHADEMA kwa nguvu zote
PM
Nasikia Tarime hawataki kuwaona Dr Slaa na Rais Mbowe wahudhurie mazishi ya marehemu Wangwe. Ni kweli?
Paparazi.. hili la Wangwe litaangusha watu; NIngekuwa mimi nisingetaka Polisi hawa kuendelea na uchunguzi kwa kudai sina imani nao; ningeomba hata wapelelezi toka Afrika ya Kusini kama NSY hatuwataki. Lakini hili ni kubwa; nina breaking news ambayo hata kuweka leo naogopa. People can't handle this much twist and turns... kama wewe na miye ngoja nisiseme mengi.