Mtikila anaweza kusema kitendo cha wangwe kufukuzwa chamani kilimuathiri kisaikolojia akawa disorganize.
Kidogo sounds interesting.
Huyu jamaa wakati baba wa Taifa alipofariki alisema kafariki kwa UKIMWI na walipomkamata akasema Rais Mkapa alitutangazia kuwa baba wa taifa anaumwa Mkanda wa Jeshi ambao husababishwa na kinga ya mwili kuwa chini. Sasa Ukimwi ni nini? ni Upungufu wa kinga mwilini. Jamaa wakamwachia. Tungoje tuone